Dukuduku la mapenzi na mahusiano - njoo tuteme nyongo ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ na tuzogoe!

Nimekumbuka
 
Umembiwa ulete dukuduku, wewe unaanza kumtetea mtu anayemwaga baada ya sekunde 40.
Au na wewe upo kwenye kundi hilo?
 
Hii ni chai jaba...
Tena ya mabele kabisa.

Huwezi first time ya kupelekewa moto uwe rider na mtundu lazima uwe na kitete..
Usinifananishe na wanawake zako unaowaokotaga mitaroni huko!
Ila kwa namna unavyo ongea ukute ndo Nyinyi mnao lala kama magogo kitandani.
Huna akili!
Nilipigwa tukio nikapitia depression mbaya na kidogo nife kabisa, ila baada ya kupona nayaona mapenzi kama sacred space sitaki kuyapaparukia.
Usingepona tu!
 
Daaah, hii mbaya, pole sana mwaya. Vipi alikuambia kwamba ni bikra kabla hamjakutana?
No hakuwa. Kabla yangu alishawahi luwa na wanawake wengine, sasa sijui walikuwa wanafanya nini.
Kwa experience ya Luna, nimejua kwanini nyie wanaume mabikra mabinti huwa wanawakataa.
Hahahaaaa! Learner hapana, sio poa kabisa.
 
๐Ÿซฉ๐Ÿซฉ๐Ÿซฉ๐Ÿซฉ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ