Dullah Planet(EARADIO/EATV) weka wazi WCB wamekukosea nini?

Ulichokisema ni kweli kabisa,ila kwangu mimi naona kwa wao KUTOKUPIGA NYIMBO ZA WASANII WA WCB SI TATIZO,LAKINI TATIZO KUBWA WALILONALO HAO EATV/RADIO KUWA WACHONGANISHI BADALA YA KUBAKIA KIMYA KAMA RADIO AU TV ZINGINE ZINAVYOKUWAGA. Kwa mfano,Clouds wanapoamua kutokupiga nyimbo za msanii fulani huwa HATA HABARI ZAKE HAWAZIZUNGUMZI ZIWE MBAYA AU NZURI,LAKINI HAWA WENYEWE WAMEONA KUTOKUPIGA NYIMBO ZA DIAMOND HAWATAFANIKIWA LENGO LAO,BADALA YAKE WAMEAMUA KUTOKUPIGA NYIMBO ZA WCB KISHA KUCHUKUA HABARI MBAYA ZA DIAMOND (WCB) NDIO ZINAZOKUWA HOJA ZAO,LAKINI HABARI NZURI ZA DIAMOND (WCB)HAWANA MPANGO NAZO.
 
Mashabiki ndo mnatengeneza chuki siku hizo alafu wahusika wanafuata
 
Hatupangiwi kazi,Kodi yulipe sisi,kuajiri tuajiri sisi,Alafu utupangie nyimbo upendazo? Rudi kwenu matombo kachague nyimbo kwenye ile redio jamii!

Eti za Diamond na WCB!
Wanachokifanya EATV/RADIO si tu KUTOKUPIGA NYIMBO ZA WCB,ILA WENYEWE WAMEENDA MBALI ZAIDI KWA KUCHAGUA HABARI ZA KICHONGANISHI (na mara nyingi si za kweli) NDIO WANAZIFANYA MADA,LAKINI HABARI NZURI ZA WCB HAWANA MPANGO NAZO KITU AMBACHO NDIO WANAKOSEA KAMA WAMEAMUA KUTOKUPIGA NYIMBO ZA WCB WAACHANE KABISA NA HABARI ZOTE ZINAZOWAHUSU WCB HIVI NDIVYO INAVYOKUWA DUNIANI KOTE, UMENIKERA SIPIGI NYIMBO ZAKO NA SITANGAZI HABARI ZAKO ZOTE ZIWE MBAYA AU NZURI.
 
Ndio wakina nani hao wcb.
 
Hatupangiwi kazi,Kodi yulipe sisi,kuajiri tuajiri sisi,Alafu utupangie nyimbo upendazo? Rudi kwenu matombo kachague nyimbo kwenye ile redio jamii!

Eti za Diamond na WCB!
Mleta mada wala hawapangii kazi,ila wanachokifanya wanakosea. Kama umeamua KUTOKUPIGA NYIMBO ZANGU SI TATIZO,LAKINI TATIZO WALILONALO HAO EATV/RADIO NI TABIA YAO MBAYA YA "KICHONGANISHI" YA KUCHAGUA HABARI MBAYA ZA WCB (na mara nyingi si za kweli) NA KUZIFANYA NDIO MADA ZAO,LAKINI HABARI NZURI ZA WCB KWAO HAZIWAHUSU.Kama umeamua kutokupiga nyimbo zangu,basi achana hata na habari zangu wala usiwe unanitaja kabisa liwe baya au zuri langu katika radio/tv yako.
 
Hakika...
 
Dulla hausiki kwenye hilo tatizo ni la kimenejiment kumbuka hawa jamaa wamewahi kuandaa tuzo la wcb walichomoa kushiliki hizo tuzo tatizo lilianzia hapo
 
Ukifanya utafiti kama mimi utagundua kuwa Dullah pamoja kuwa ni mtangazaji wa kawaida lakini anao ushawishi mkubwa pale Earadio
Unapelekwa kwa hisia tu,nje dullah kua Mtangazaji yeye mfanyakazi wa kawaida kabisaa hauna ushawishi hata chembe.
 
bro hoja yako inaukweli lakin kusema dilla ndo chanzo sio kweli!inakua kilichomuondoa dj mafuvu eatv?.issue ulikua Ni utatatibu WA eatv kuwa Na playlist Yao hutakiwi kupoga wimbo ambao haupo kwenye playlist Yao,mafuvu alikiuka Na akaonekana mtovu WA nidham akapigwa chin,ishu ni uongoz Na sio dula
 
Kwani dulla kule ni kama Ruge?
 
Someni hiki na muelewe...

Eatv walianzisha Tuzo za Watu .. Neno lao lilikuwa Jipendekeze.. (Maana ake jipendelee wewe maana wao wakichagua itaonekana wamepanga) wasanii wengi walijitokeza kwenda kuchukua form wakajipendejeza kwenye vipengele walivoona vinafaa.. Hao wauza karanga wakajiona wao watabembelezwa .. Walipigiwa simu mara nyingi tu kwa ajili ya uwepo wao.. Mameneja nao wakajifanya ni mameneja pesa .. Mwisho wake tuzo zikafika wao hawakuchukua form ikaonekana wana dharau kile kinachoanzishwa kwa ajili ya wasanii sababu wao wanajiita intaneshino.. Wakapigwa Ban izo ni taratibu tu za chombo cha habari ukijifanya wewe mjuaji wao wanajua sana.. Dula hasilaumiwe yuko kazini..

Ova
 
Hawa eatv/radio na WCB ulianzia tokea kwenye zile tuzo zao eatv awards zilizofanyika mwaka jana Dec,..sabb wasafi.hawakushiliki ktk zoez lao la tuzo km walisusia iv sasa kile kitendo kiliwauzi wale jamaa eatv ndomana mpk leo si tv wala redio wanapiga nyimbo zao.
 
labda me na angalia EATV ya kenya maana hua hua naziona hizo nyimbo za WCB
 
Umeongea kwa jinsi vile uelewa wako ulivyofikia kikomo cha kuelewa si vibaya kila mtu ana uhuru wa kuongea,lakini JITAHIDI SANA KUJUA UKWELI KULIKO KUPELEKWA NA HISIA,TATIZO SI KUTOKUPIGA NYIMBO ZAO (maana hiyo ipo duniani kote msanii ukizinguana na media wenyewe hawachezi nyimbo zako) ILA TATIZO LA HAWA JAMAA WANAPENDA SANA TENA SANA KUONGELEA HABARI ZA ZA UONGO KUHUSU WCB,LAKINI ZILE ZA UKWELI NA NZURI HAWAONGELEI,SASA KAMA UMEAMUA KUTOKUPIGA NYIMBO ZANGU KWANINI UNIONGELEE TENA UNANIONGELEA KWENYE MABAYA TU AMBAYAO SI YA KWELI MBONA MAZURI YANGU UYAONGELEI ????
 
Si walisema watu wajipendekeze sasa wao kama hawakuona kuwa wanafaa kushindanishwa kuna tatizo?
Ina maana ni wao tu ambao hawakuchukua form, mbona wasanii wengi hawakuchukua kwanini iwe wcb tu ndiyo waonekane wamefanya kosa?
 
Jamaa umekuja Jijini lini? ugomvi ulianzia hapa sikumbuki ni lini haswa ila Diamond alipost instagram kwamba kwa level alioifikia hategemei TV za bongo kupromote kazi zake sasa hivi amejikita zaidi Instagram etc kwenye social media na international kupromote kazi zake sasa hapo ndo akina sam misago na dullah wakamind na Diamond amekaza kweli sasa jamaa ndo mpaka leo bifu linaendelea
 
Hata dj ommy crazy kawakimbia.... Kuhusu Dullah sijamsingizia fanya utafiti hadi clip zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…