Hicho ni chombo cha biashara na sio cha msaada, unakosea sana kumu attack mtu, dullah ni presenter tu sio mkuu wa vipindi, hana mamlaka hayo, usifikiri kwamba watangazaji wanaamua tu kupiga nyimbo au kutopiga, kila nyimbo inayoenda hewani na imeenda mara ngapi per day inakuwa counted, media zote kubwa huwa zina watu wanaondaa playlist, Dulah anaongea kile tu alichoambiwa aongee, sijui kama unafahami jinsi media zinavofanya kazi.
Anyway, Clouds wana karibia miaka mitano tangu waache kupiga nyimbo za lady jaydee, ni uhamuzi wao lakini media zingine zinapiga, mbona hulalamiki redio imani hawapigi nyimbo ya msanii yoyote? Hayo ni maamuzi ya media husika na sio lazima......kumbuka pia maneno ya diamond aliyoyasema kuhusu eatv na earedio, aliongea shit kwa vile ye ni msanii mkubwa na akajiona ni mkubwa kuliko hiyo media, so ulitaka eatv wafanyeje? Wakampigie magoti au wakamuombe awape nyimbo zake wapige?