Huyu kafiwa juzi tuu lakini sasa hivi ana zunguka kila media kusema Diamond hakwenda msibani! Huyu mzima kweli?
Hazimtoshi kabisaa....nimemdharau yani. Badala ya kuugulia uchungu anazurura kuwasemanga wanaume wenzie...
Angekuwa mlalamikaji kweli angelalamika viongozi wa kitaifa kutofika msibani, nani asiyejua harakati za ukoo wa Sykes katika kudai Uhuru? Lenyewe limekalia Diamond, Diamond......mxiuuuuuu zake
tatizo #nyota
Huyu kafiwa juzi tuu lakini sasa hivi ana zunguka kila media kusema Diamond hakwenda msibani! Huyu mzima kweli?
Yeye huwa anaenda kuzika kila msiba?
binti kiziwi, tell me you're kidding! Ni kweli Dully alitamka hayo maneno kwenye red? Ina maana kumbe ni kweli yeye lawama zake ni kwa Diaomond??!! Kumbe wasanii wengine hawapendi lakini Diamond ndo anampenda ndo maana ameumia kutokwenda kwake!!!Dully anachefua ati! Nimesikia muda si mrefu kwenye kipindi gani sijui clouds Fm, eti anasema inamuuma ukizingatia huwa anampenda sana diamond! Chinekeeeeeeee! ! Cc. Dinazarde Kim nana Ruttashobolwa
Na wakati msiba wa Sharo alisema hakwenda coz ameogopa angeenda msibani angezimia....
Sasa akidanja yeye na mahudhurio yasiridhishe nadhani huko akhera itawabidi wamuINJECT valium kila baada ya saa kadhaa alale, coz kila akizinduka itakuwa ni complain.