Dully alaumu wasanii ambao hawakuja kumzika baba yake

Dully alaumu wasanii ambao hawakuja kumzika baba yake

Huyu kafiwa juzi tuu lakini sasa hivi ana zunguka kila media kusema Diamond hakwenda msibani! Huyu mzima kweli?

Hazimtoshi kabisaa....nimemdharau yani. Badala ya kuugulia uchungu anazurura kuwasemanga wanaume wenzie...

Angekuwa mlalamikaji kweli angelalamika viongozi wa kitaifa kutofika msibani, nani asiyejua harakati za ukoo wa Sykes katika kudai Uhuru? Lenyewe limekalia Diamond, Diamond......mxiuuuuuu zake
 
Hawa wasanii kweli ni wasanii.
Siyo kila rafiki yako atakuja kwenye msiba wako;
naye ni binadamu hujui yuko kwenye hali gani
wakati huo.

Kama maisha ndo hayo hata mitaani tusingesalimiana,
kuna mambo mengi tu ya kijamii huwa hatushiriki.
 
Hazimtoshi kabisaa....nimemdharau yani. Badala ya kuugulia uchungu anazurura kuwasemanga wanaume wenzie...

Angekuwa mlalamikaji kweli angelalamika viongozi wa kitaifa kutofika msibani, nani asiyejua harakati za ukoo wa Sykes katika kudai Uhuru? Lenyewe limekalia Diamond, Diamond......mxiuuuuuu zake

Duh, basi inaonyesha jamaa anamfeel sana Diamond kiasi kwamba kama wangeongozana Diamond na JK kwenda msibani, jamaa angemkimbilia Diamond.
 
Dully kazingua kichizii! Hakupaswa kusema hili angepiga kimya kwa busara. Ila namkubali sana huyu jamaa hachuji.
 
Yeye huwa anaenda kuzika kila msiba?

Imagine!!
Yeye ni naaani mpk kila mtu aje kwenye msiba wa baba yake!!
Hapo akili zote kwa Diamond !!
Yani ---- kweli hili kwa hio alikuwa analia huku anaangalia getini kujua nani kaingia??
Mxxxxxxxxxiou!!
 
Kufiwa ni jambo la kawaida, na kifo huwa hakitoi taarifa huwa kinashitukiza na swala la kuhan ni swala kawaida na hajui penhine anaowaita mabrother hajui kwa kipindi hicho walikuwa na ratiba gan? Kwa hiyo aache kulaumu pole unaweza kupokea hata kwa simu au kutoa chochote si lazima kufika
 
Jinsi Dully alivyowasaidia wasanii wengi walipokuwa undergrounds namulewa sana akilalamika
 
Dully anachefua ati! Nimesikia muda si mrefu kwenye kipindi gani sijui clouds Fm, eti anasema inamuuma ukizingatia huwa anampenda sana diamond! Chinekeeeeeeee! ! Cc. Dinazarde Kim nana Ruttashobolwa
binti kiziwi, tell me you're kidding! Ni kweli Dully alitamka hayo maneno kwenye red? Ina maana kumbe ni kweli yeye lawama zake ni kwa Diaomond??!! Kumbe wasanii wengine hawapendi lakini Diamond ndo anampenda ndo maana ameumia kutokwenda kwake!!!
 
Alijua diamond atatoa rambirambi ya maana sio hao wasanii wengine wanatoa buku buku
 
Na wakati msiba wa Sharo alisema hakwenda coz ameogopa angeenda msibani angezimia....

Sasa akidanja yeye na mahudhurio yasiridhishe nadhani huko akhera itawabidi wamuINJECT valium kila baada ya saa kadhaa alale, coz kila akizinduka itakuwa ni complain.

Hahaha sure
 
Back
Top Bottom