Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,709
Huyu kafiwa juzi tuu lakini sasa hivi ana zunguka kila media kusema Diamond hakwenda msibani! Huyu mzima kweli?
Hazimtoshi kabisaa....nimemdharau yani. Badala ya kuugulia uchungu anazurura kuwasemanga wanaume wenzie...
Angekuwa mlalamikaji kweli angelalamika viongozi wa kitaifa kutofika msibani, nani asiyejua harakati za ukoo wa Sykes katika kudai Uhuru? Lenyewe limekalia Diamond, Diamond......mxiuuuuuu zake