Mambo ya FB haya sawa dogo... 😂😂😂
Mvumilivu hula mbivu,vumilia tuu!mimi ni dume rijali la j.f miaka 35 sijaoa,miezi kama miwili iliyopita nikampata binti baada ya kuongea nae akakubali tuwe wachumba ila muda mwingi sipo nae karibu anaishi kwa wazazi wake..
Tatizo linakuja nikimpigia simu anajibu kwa mkato, ana kazi. inafika kipindi namtumia sms asubuhi anajibu jioni, nikiuliza anadai kazi nyingi.. je kuna mapenzi kweli hapo? tukikutana anaongea sana nashindwa kumwelewa kuwa ni uvivu wa mawasiliano au ana mtu wake,na mimi nilimgomea mapenzi hadi tupime kwanza.jee nifanyeje .
picha zaidi za huyo bint zipo kwenye comment
kabila gani ww?
Jioni marhaba huyooo mkuumimi ni dume rijali la j.f miaka 35 sijaoa,miezi kama miwili iliyopita nikampata binti baada ya kuongea nae akakubali tuwe wachumba ila muda mwingi sipo nae karibu anaishi kwa wazazi wake..
Tatizo linakuja nikimpigia simu anajibu kwa mkato, ana kazi. inafika kipindi namtumia sms asubuhi anajibu jioni, nikiuliza anadai kazi nyingi.. je kuna mapenzi kweli hapo? tukikutana anaongea sana nashindwa kumwelewa kuwa ni uvivu wa mawasiliano au ana mtu wake,na mimi nilimgomea mapenzi hadi tupime kwanza.jee nifanyeje .
picha zaidi za huyo bint zipo kwenye comment
Tatizo linakuja nikimpigia simu anajibu kwa mkato, ana kazi. inafika kipindi namtumia sms asubuhi anajibu jioni, nikiuliza anadai kazi nyingi.. je kuna mapenzi kweli hapo?
Ndio mpenzi mwenyewe huyu?