Dume rijali la JF. Hajibu SMS zangu, nifanyaje jamaniii?

1academ

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
2,316
Reaction score
3,567
mimi ni dume rijali, la mbegu, la j.f miaka 35 sijaoa,miezi kama miwili iliyopita nikampata binti baada ya kuongea nae akakubali tuwe wachumba ila muda mwingi sipo nae karibu anaishi kwa wazazi wake..

Tatizo linakuja nikimpigia simu anajibu kwa mkato, ana kazi. inafika kipindi namtumia sms asubuhi anajibu jioni, nikiuliza anadai kazi nyingi.. je kuna mapenzi kweli hapo? tukikutana anaongea sana nashindwa kumwelewa kuwa ni uvivu wa mawasiliano au ana mtu wake,na mimi nilimgomea mapenzi hadi tupime kwanza.jee nifanyeje .

picha zaidi za huyo bint zipo kwenye comment
 
FB_IMG_1740429071244.jpg
 
Mv
mimi ni dume rijali la j.f miaka 35 sijaoa,miezi kama miwili iliyopita nikampata binti baada ya kuongea nae akakubali tuwe wachumba ila muda mwingi sipo nae karibu anaishi kwa wazazi wake..

Mvumilivu hula mbivu,vumilia tuu!
 
Jioni marhaba huyooo mkuu

Nikimwangalia usimwache ana nyota

Hawa unakuta HATA form six awajafika lakn ukiliweka ndani

Unatoboa kimaisha

Shika shikamana
 
Back
Top Bottom