johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tanganyika ndio nini meku?MR BEN muulize Duni kama ACT wanataka huo muungano wa upinzanj upande Zanzibar pia au ni upande wa Tanganyika tu
Ni upande wa bara pekeeMR BEN muulize Duni kama ACT wanataka huo muungano wa upinzanj upande Zanzibar pia au ni upande wa Tanganyika tu
Zitto Kabwe ni kijana wa Freeman Mbowe!Huyu mzee ni 50 x 50, tatizo ni Zito hana tofauti na Lipumba ni mapandikizi ya CCM
Hata Petrol alikuwa kijana wa YesuZitto Kabwe ni kijana wa Freeman Mbowe!
Upande wa Zanzibar napo hawana chao maana CUF imefufuka huku bara CHADEMA bado ni mwalimu waoAlikuwepo cdm akapewa nafasi ya kuwa mgombea mwenza, lakini aliondoka kwa kusema kila mtu ni kambale. Sasa huo umoja anautaka wa nini? Wamegundua ACT haina ushawishi huku bara, sasa anataka muungano utakaowapandisha wao. Acha ccm itawale hiyo miaka 1,000 lakini sio kwa ridhaa ya umma.
Akaachiwa Kanisa!Hata Petrol alikuwa kijana wa Yesu
Lipi?Akaachiwa Kanisa!
Chadema ipi hiyo?!Upande wa Zanzibar napo hawana chao maana CUF imefufuka huku bara CHADEMA bado ni mwalimu wao
Ukishapata posho unaikana CHADEMAChadema ipi hiyo?!
Cathoric na Apostorico!Lipi?
Hata Petrol alikuwa kijana wa Yesu
Typing error lakini ujumbe umefikaPetrol ??!!🤣
Chadema ipi hiyo?!
Siyo yeye mbege hiyo haijamtoka kichwani!Petrol ??!!🤣
Zitto Kabwe ataachiwa Chadema!Sister acha kuongea mambo usiyoyajua
Wapinzani wa kweli ni Chadema pekee.Mwenyekiti wa ACT - Wazalendo mzee Juma Duni Haji amesema endapo Wapinzani hawataamka kutoka usingizini na kuungana basi CCM itaendelea kutawala kwa zaidi ya miaka 100 ijayo...