Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Nyie upinzani mna ajenda yenu katika kusaka madaraka. Nyie hamuwezi kuleta maendeleo kwa sababu wazembe wa kufikiri. Watanzania twendeni na mwendo huu huu kwa sababu shida ya Tanzania ni watanzania wenyewe. Siku wakibadilika basi kila kitu kitabadilika, ila kwa sasa bado sana na misingi ya kuing'oa ccm sijaona kwa sasa.