Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Utakuwa umeelewa lakini mkuu
Nimeelewa ila dunia inaenda kasi sana, think one year back, ujue mambo hubadilika kwa kasi sana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa umeelewa lakini mkuu
Ndiyo hivyoNimeelewa ila dunia inaenda kasi sana, think one year back, ujue mambo hubadilika kwa kasi sana..
Acha CCM itawale miaka 100 lkn siyo kwa kuungana na ACT.Acha CCM itawale hiyo miaka 1,000
Join the chainWewe utaachiwa CCM
Sawa dingiJoin the chain
Hatuna cathoric tuna catholic...kwa kiswahili huitwa katoliki.Hicho hicho meku!
Wazanzibar kwa sasa hutawasikia tena wakilalamika kama zamani. Uwepo wa Maza kwenye kiti kumewaridhisha kabisa...... Ni kama vile matatizo yao yameisha. Siku Maza akitoa waendelee hivyo hivyo wasituletee mambo yao ya Zanzibar yenye mamlaka kamili.Mwenyekiti wa ACT - Wazalendo mzee Juma Duni Haji amesema endapo Wapinzani hawataamka kutoka usingizini na kuungana basi CCM itaendelea kutawala kwa zaidi ya miaka 100 ijayo.
Mzee Duni amesema alichokiongea Zitto Kabwe pale Dodoma mbele ya Rais Samia ndio hicho hicho alichokiongea Tundu Lisu na Rais Samia kule Ubelgiji hivyo tofauti ni sehemu tu ya kuongelea.
Duni amesema kuwa chama kinara cha upinzani haisaidii chochote kwani NCCR ilishakuwa, CUF ilishakuwa na Chadema ilishakuwa lakini hakuna lolote la maana lililofanyika, so dawa ni kuungana tu.
Maendeleo hayana vyama!
c.c Pascal MayallaMwenyekiti wa ACT - Wazalendo mzee Juma Duni Haji amesema endapo Wapinzani hawataamka kutoka usingizini na kuungana basi CCM itaendelea kutawala kwa zaidi ya miaka 100 ijayo.
Mzee Duni amesema alichokiongea Zitto Kabwe pale Dodoma mbele ya Rais Samia ndio hicho hicho alichokiongea Tundu Lisu na Rais Samia kule Ubelgiji hivyo tofauti ni sehemu tu ya kuongelea.
Duni amesema kuwa chama kinara cha upinzani haisaidii chochote kwani NCCR ilishakuwa, CUF ilishakuwa na Chadema ilishakuwa lakini hakuna lolote la maana lililofanyika, so dawa ni kuungana tu.
Maendeleo hayana vyama!
Kwanza UkAWA ulikuwa ni umoja wa conveniences tuu za katiba Swali kwa Wana UKAWA: Is UKAWA for Real or Just A Marriage of Convenience?.-Ni Swali Tuu!. ila siku zote umoja ni nguvu!, utengano ni udhaifu!, anachoshauri Juma Duni ni kitu cha kweli, kwasababu Tanzania bado hatuna upinzani imara na makini, hivyo dawa pekee ni kwa wapinzani kuungana.c.c Pascal Mayalla
Mkuu
Vyama vya upinzani vikiungana na kuunda "UKAWA", je, itakuwa ni muarobaini wa kuzuia CCM isitawale miaka 100?
Wasalaam
mkuu Pascal MayallaKwanza UkAWA ulikuwa ni umoja wa conveniences tuu za katiba Swali kwa Wana UKAWA: Is UKAWA for Real or Just A Marriage of Convenience?.-Ni Swali Tuu!. ila siku zote umoja ni nguvu!, utengano ni udhaifu!, anachoshauri Juma Duni ni kitu cha kweli, kwasababu Tanzania bado hatuna upinzani imara na makini, hivyo dawa pekee ni kwa wapinzani kuungana.
Ila not for uchaguzi wa 2025, it's too little too late, projections zangu ilikuwa ni 2030 Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
p
Niliwahi kuajiriwa post ya Mshauri wa Siasa wa Ubalozi wa Uingereza kwa miaka 4. Nilikuwa nalipwa pesa ndefu kwa kutoa tuu ushauri, humu nawashauri bure hawa jamaa zetu humu, wanadharau sana na kunibeza, ila mwisho wa siku ukweli wanauona.mkuu Pascal Mayalla
Perspectives mujarabu sana hizi.
Muhimu zaidi ni hizi timelines unajazia. Nina-imagine unaona kitu kama dashboard hivi unaitazama.
Wanasiasa wetu wasione ugumu kupata wasaa kujadili masuala ya kisiasa ya nchi yetu pamoja nawe. Hii ni nchi yetu sote. Ninayo Imani kubwa kuwa unayo mengi yanayoweza kuifaa nchi yetu.
Nikutakie kila la kheri mkuu.
Heko sana mkuuNiliwahi kuajiriwa post ya Mshauri wa Siasa wa Ubalozi wa Uingereza kwa miaka 4. Nilikuwa nalipwa pesa ndefu kwa kutoa tuu ushauri, humu nawashauri bure hawa jamaa zetu humu, wanadharau sana na kunibeza, ila mwisho wa siku ukweli wanauona.
Chadema walikuwa wachukue nchi ile 2015 ila basi tuu!. Toka 2010 tumewashauri humu CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! 2012 tumewashauri tena Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
Matokeo yake ndio vile tena!.
P
unaungana na nani ,hapo ndipo panashida