Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Huu ndiyo ukweli hata kama ni mchungu.
Siku Urusi au Uchina, au Iran mojawapo ikawa ndiyo inasimamia maslahi ya ulimwengu wetu huu, dunia itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana na mwenye nguvu mpishe apite.
Unamaanisha mtoa mada anaweza kutafunwa???Ukiwambia hivyo wairaq na walibya wanaweza kukugeuza kitoeo
Ndio mkuu anaweza geuzwa ubwabwa naziUnamaanisha mtoa mada anaweza kutafunwa???
Assume Afghanistan iwe kiranja wa hii Dunia hali itakuwaje?Wote tutavalushwa surui fupi na kobasi.
Walio muua Gaddafi pale kwenye mtaro wabarabara ni walibya wenyewe tena wakawa wanambuluza kama kibaka sijaona mzungu pale inasikitisha sana japo USA katoa support ila wajinga niwalibya wenyewe wangempenda rais wao walingekubali kushawishiwa... Kwanzia tripol, benghaz, banwarid, silte kote huko walibya walitoa support jamaa auaweKwani Libya, Iraq, Syria, Vietnam na kwingineko USA na washirika wao walipozivamia na kujaribu kuwaondoa na kuwaua viongozi na raia wasio na hatia, walikuwa viranja wa dunia?
Kote USA na washirika wake walipopita wameacha maafa maakubwa, na hizo nchi hakuna amani wala utulivu tena.
Allen Kilewella huo ukiranja unaompamba nao USA ni huo wakumpa uhuru mke wako au kijana wako akaolewe na jinsi yake? Vipi siku mke wako akaomba talaka ili akaolewe na mwanamke mwenzake, utarudi hapo kumsifia?
Kwani hapo ndiyo mwisho Wa dunia?
Yaani jibu lako linaonesha uhaalisia wako,Historia gani nisiyoijua?
Hapa hatuongelei historia bali jambo halisi linalotokea sasa!!
Unajua content ya marekani. Au u ajua marekani ni physical body. Ile ni spirit you have to bow to the owl mzeeHuu ndiyo ukweli hata kama ni mchungu.
Siku Urusi au Uchina, au Iran mojawapo ikawa ndiyo inasimamia maslahi ya ulimwengu wetu huu, dunia itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana na mwenye nguvu mpishe apite.
Mataifa ya kiarabu kama syria, Libya, Afghanistan, n.k wanaweza kuwa na mawazo tofauti.Tangu Marekani iwe kiranja dunia imekuwa na amani, maendeleo, utangamano na mafanikio zaidi kuliko wakati wowote hii ni pamoja na madhaifu na matatizo yote ambayo Marekani inatuhumiwa nayo.
Kuanzia baada ya WWII hadi karne ya 21 ndicho kipindi dunia imezidi kuboreka zaidi kuliko karne nyingine zozote.
Ajabu sana.Majibu yako yapo shallow mno.
Unajibu bora liende tu.
Nimekuuliza kwanini unajibu eti kulingana na yanayoendelea!!!! This is a childish answer. Mtu msomi na GT hawezi akajibu kizembe hivi. Mada umeianzisha imekushinda uwezo.
Ukiulizwa kwanini lazima utoe sababu za:-
1. Kijamii
2. Kiuchumi
3. Kisiasa.
Ueleze kiundani kwanini unasema dunia itakuwa uwanja wa kuchinjana?
Toa mifano kwa kutumia statistical data.
Leta references ku support majibu yako.
Leta mlinganisho kuanzia baada ya vita vya pili vya dunia mpaka sasa nchi zipi zimeua watu wengi ndipo uweze fanya forecast ya future.
Ukianzisha topic nzito usilete majibu mepesi kama mtoto wa chekechea.
Hilo ni swali moja nahitaji elaboration kabla hatujaendelea na maswali mengine.
Karibu ujibu........
💣💣🔥🔥Hivi hapo juu umetoa hoja wewe? Elimu elimu elimu, mimi nimejibu statement yako, wewe unadai hoja? Najibuje oja kwenye Ngonjera?
Au hoja ni:
"Mwenye nguvu mpishe"?
Ngoja nijibu:
Sitaki mpisha, Hana nguvu.
Usikonde hao hawataweza kwa sababu bila democracy huwezi tawala duniani. Wamebakia na udikteta wao na ujinga wa kufikiri watatawala fikra za watu kitu ambacho hakiwezekaniHuu ndiyo ukweli hata kama ni mchungu.
Siku Urusi au Uchina, au Iran mojawapo ikawa ndiyo inasimamia maslahi ya ulimwengu wetu huu, dunia itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana na mwenye nguvu mpishe apite.
Kama kashoghi na wengine wengiKuchinjana ndio kunakuwa vipi ? fafanua
Kama watu wa Ruanda wanachukiana kiasi hicho na kuchinjana wenyewe kama kuku unataka Marekani aingilie ya nini kwanza waafrika wanahitaji kujielimisha na kujiheshimu sio kila kitu MarekaniYeye si anasifiwa kiranja na mleta amani sasa ameshindwa vipi kuzuia ,kama kiranja haijalishi ameta au hajaleta kazi yake ni kuweka mambo sawa.
Huko Rwanda mfano CIA walikuwa na information kuhusu kila kitu kinachoendelea na kipi kitakuja kutokea lakini hawakufanya lolote la maana mpaka yakatokea yaliyotokea , USA ni kiranja wa mchong.
Genocide ya rwanda ilitemdeka ndani ya siku 90 na inakadiriwa kuwa watu zaidi ya laki moja walipoteza maisha .yani ilikuwa ni wastani mauaji ya watu 1000 kwa siku!!Walikuwa wapi Rwanda mpaka wanachinjana ,DRC kukosa amani ,mauaji ya kutisha vita vya Bosnia mpaka kambi ya wakimbizi iliyokuwa chini ya UN kupigwa bomu na kuua innocent civilians ? tena baada ya tension ya Bosnia kuwa kubwa na mauaji ya kutisha Bill Clinton akajitokeza kupatanisha wakati damu nyingi zishamwagika.