Dunia bila ya Ukiranja wa Marekani itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana

Gaddafi hakuwahi kuipenda afrika alitaka kuwatumia waafrika kwa manufaa yake ya kisiasa na kiuchumi,ndiye aliyekuwa mfadhili mkuu wa vikundi vya kigaidi. Bora alinyongwa mbwa yule.
Mkumbushe tu kuwa wakati tunapambana na uganda vita ya kagera gaddafi ndo alikuwa ni mfadhili wa uganda.
 

Wewe si ndio kila siku unalalama usa kuingilia masuala ya ndani ya nchi,acha unafiki.
 
Mataifa ya kiarabu kama syria, Libya, Afghanistan, n.k wanaweza kuwa na mawazo tofauti.
Au wao sio eneo la dunia?
Hata taifa lako linaweza kuwa na mawazo tofauti.
 
Hata taifa lako linaweza kuwa na mawazo tofauti.
Ndio.
Umetumia sababu zipi kuhitimisha kwamba dunia bila ya Ukiranja wa Marekani itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana ilhali kuna mataifa mengi yamekwisha experiance huko "kuchinjana" marekani akiwa kiranja?
 
Mbona sasahivi unalazimishwa kukazana wanaume kwa wanaume
Sasa nchi kama Iran ndo iwe superpower nazani kile wanachofanyiwa wandamanaji wakuvaa hijab ndo ingekua lifestyle.... Mashia wangetamba sunni wangeisoma
 
U
Huu ndiyo ukweli hata kama ni mchungu.

Siku Urusi au Uchina, au Iran mojawapo ikawa ndiyo inasimamia maslahi ya ulimwengu wetu huu, dunia itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana na mwenye nguvu mpishe apite.
Ujunga ukikaa unageuka maradhi
 
Ukishapinga andika kile unachokiona sahihi na siyo ubabaishaji asee!.

Sikubaliani maana yake ni ambacho kaandika, na ninakubaliana na vinginevyo, ni basi tu unakuwa mjuaji.
 
Bila Marekani imara Putin angeshachukua Ukraine zamani mno, saiz angekuwa anamalizia kuzitwaa Poland, Lithium, nk
 
Mchawi lugha
 
Huu ndiyo ukweli hata kama ni mchungu.

Siku Urusi au Uchina, au Iran mojawapo ikawa ndiyo inasimamia maslahi ya ulimwengu wetu huu, dunia itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana na mwenye nguvu mpishe apite.
Bila marekani Ardhi itajaa damu.

Kuna watu wanajali madaraka kuliko hata Wazazi wao.
 
Kuna shetani anaitwa Putin au Jom Kin hawa Mungu abaki nao huko huko tu.
 
Hivi hapo juu umetoa hoja wewe? Elimu elimu elimu, mimi nimejibu statement yako, wewe unadai hoja? Najibuje oja kwenye Ngonjera?

Au hoja ni:

"Mwenye nguvu mpishe"?

Ngoja nijibu:

Sitaki mpisha, Hana nguvu.
Boss mbona povu hivi...
"Why so attacking?"

Ngoja nikusaidie ......

""Hapo juu umetoa hoja wewe?
mimi nimejibu statement yako, wewe unadai hoja?
Najibuje hoja kwenye Ngonjera?""

Safi kabisaa NO NEGATIVE ATTACK.


#YNWA
 
Huu ndiyo ukweli hata kama ni mchungu.

Siku Urusi au Uchina, au Iran mojawapo ikawa ndiyo inasimamia maslahi ya ulimwengu wetu huu, dunia itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana na mwenye nguvu mpishe apite.
Sikubaliana na wewe na pia una unazi ndo maana unawafagilia
 
Kwa majibu haya uliyojibu nahitimisha kuwa wewe ni juha usiyejitambua huku duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…