Dunia haiko fair, leo mtoto wa Nyerere analalamika watu Serikali hawapokei simu za familia ya Nyerere

Wasikilizwe Kwa input gani hasa waliyonayo hao vilaza? Ni sawa na kusema usikilize Watoto wa Mwendazake Magu ambao waliopata zero 🤪🤪
 
Kizazi Cha Nyerere kimehujumiwa sana hasa na wanamtandao!!

2015 jina la kwanza kikwete kulikata kwenye urais ni la Makongoro nyerere!

CCM ya kizazi kipya Cha wanamtandao hawakumpenda nyerere na ndio walioua vipaji vya watoto wa Nyerere!

Mbona Dr. Husein Mwinyi amelelewa na system Hadi akashika urais,Ina maana system imeshindwa kumlea hasta mjukuu TU was Nyerere au mtoto mmoja akawa hats pm!!?

CCM YA WANAOJIITA "CCM INA WENYEWE"INA KINYONGO NA HII FAMILIA!!

NIKIPENYA NITAWARUDISHA WAJUKUU WA NYERERE KUNDINI HATA RAIS KUTOKEA ILE FAMILIA NITAMWANDAA POLE POLE!!!

NACHUKIA SANA,NATAMANI KUMZABA KIKWETE KIBAO,SIO KWA CHUKI HIZI!!!
 
Uwe kilaza mwenyewe uje kukaumu wengine? Mwinyi ni kilaza kama wale wachekwshaji kina Makongolo?
 
Uwe kilaza mwenyewe uje kukaumu wengine? Mwinyi ni kilaza kama wale wachekwshaji kina Makongolo?
Kuna hafla fulani Mwinyi aliiandaa ,makongoro alipopewa maiki atoe nasaha zake,

Akasema"hongera husein wewe uliepuka marafiki wabaya"marafiki wabaya waliharibu maono!

Maana yake nini hasa!!?

Makongoro hawakumuandaa na ndoto yoyote kama system yaani angeandaliwa angejua anachopigania!!

Huyo Mwinyi alijua mapema ye atakuja kuwa nani na akaanza kuiishi ndoto!

Bila maono mtu anaharibika kabisa ndicho walichofanyiwa vijana was nyerere!!

Watu huandaliwa na kuambiwa wajiandae na ukuu waishi ndoto hizo Hadi wanakua wakuu!huwezi ishi jambo usilolijua mkuu!

HUSSEIN MWINYI ALIISHI UKUU AKIJUA MUDA UTAFIKA NA ATAKUA MKUU AKAISHI IPADAVYO!!!
 
Hii familia inapewa kila kitu na wanapata pesa ngingi kupitia jina la baba yao .

Fatilia vizuri utajua ukweli .

Hao watoto hawajui shida

Huyo jamaa ambaye sasa hivi ni kiongozi alisoma na mzee wangu darasa moja
muhusika analalamika hawapewi mzigo

wewe wa nje unasema wanapewa ko tukuamini ww
 
Nani Sasa hakumuandaa? Si alaumu familia yake?

In fact Viongozi wa Kikristo Huwa ni wajinga sana,Huwa wanafurahia sana Kuharibu maisha ya watu.

Ndio maana wanaenziwa mdomoni ila kivitendo hakuna mtu atafuata ujinga wao.
 
Familia ya Nyerere hawataweza kufanikiwa Kwa sababu za kiroho

Kulalamika -hii ni nguvu ambayo huwa inamfanya MTU akae pale pale milele watu wanaolalamika duniani kote huwa hawafanikiwi.

MTU umezaliwa na kumkuta baba yako ni rais

Unakula bure
Umesomeshwa bure tena ulaya

Kazi mmepewa bure

Kila kitu mnacho bado hela za foundation za mzee

Then mnalalamika ili iweje?
 
Fundiasho:
Mungu atusaidie wazaz tuwekeze mufa kwa watoto wetu kuwafabya wawe kama vile tunavyotaka sisi wawe..

Kaa na mwanao, mfundishe, mjue akili yake angalau kwa 90% na ujue njia sahihi ya kumwelekeza apite.
Tusitumike taifa tu au makampunibyetu au ajira zetu tukasahau vina mwisho ila generation yako haina mwisho ,so iandae ili ku take over when you are done.

Watoto wanajengwa, sio kuwalea tu kwa kuwapa chakula na mavaz na malazi, watengeneze watoto ukae ukiwa na matumain kuwa hata kama wataanza 0 they surely can make it through.
 
Nani Sasa hakumuandaa? Si alaumu familia yake?

In fact Viongozi wa Kikristo Huwa ni wajinga sana,Huwa wanafurahia sana Kuharibu maisha ya watu.

Ndio maana wanaenziwa mdomoni ila kivitendo hakuna mtu atafuata ujinga wao.
Wakristo wanasimamia sheria!

Waislam wanabebana bila kujali sheria!

Matokeo yake tunashindwa kutengeneza taasisi tunabaki kujuana tu!

Mkapa alipiga KAZI na jpm pia!

Kikwete aliboresha maisha akakuza ufisadi na kujuana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…