Dunia haiko fair, leo mtoto wa Nyerere analalamika watu Serikali hawapokei simu za familia ya Nyerere

Dunia haiko fair, leo mtoto wa Nyerere analalamika watu Serikali hawapokei simu za familia ya Nyerere

Hivi nyie mnaifahamu familia ya Nyerere au mpo hapa kuchangamsha genge? Familia ya Nyerere haina shida na kamwe haitakuja kuwa na shida. Hao watoto wanapiga kelele kwa shida moja tu ya kutaka kusikilizwa na sio shida ya njaa ya hela. Mwanao unaweza kumpa kila kitu lakini akikuita 'baba! Baba!" alafu ukampotezea utakuwa umemuumiza sana na kumnyanyasa kisaikolojia. Watoto wa Nyerere wanataka kila wakikohoa watetemekewe kitu ambacho hakiwezekani. Kuhusu kufanikiwa, Nyerere amefanikiwa sana na ataendelea kufanikiwa na kuenziwa vizazi hadi vizazi pindi nchi idumupo! Legacy yake inaishi katika nyanja zote kisiasa, kielimu, kiuchumi, kiungozi, kiuzalendo, nk. Hakutatokea mtu nchi hii akashika dola hasipotembelea nyota ya Nyerere!
Wasikilizwe Kwa input gani hasa waliyonayo hao vilaza? Ni sawa na kusema usikilize Watoto wa Mwendazake Magu ambao waliopata zero 🤪🤪
 
nadhani mwalimu Nyerere alifanikiwa sana katika siasa nakuacha legacy kubwa tu .

Ila Mungu hawezi kukupa kila kitu
Kwenye upande wa familia hakufanikiwa Sana .

Ukitazama Nyerere na ukasikiliza watoto wake yaani hamna mfanano wowote hata kuelekeana.

Mambo mengine Kama ambavyo watu husema tuyaache Ila naamini neno kujitoa kwa nchi alilitimiza na nahisi labda majukumu ya kuipambania Tanzania na Africa yalimnyima muda wa kuwa karibu na familia yake.

Nilishangaa Sana kusikia habari za jina na nishangaa kuona watoto wababa wa Taifa wanagombea ubunge na kukatwa na wajumbe

Inafikirisha

Rip nyerere
Kizazi Cha Nyerere kimehujumiwa sana hasa na wanamtandao!!

2015 jina la kwanza kikwete kulikata kwenye urais ni la Makongoro nyerere!

CCM ya kizazi kipya Cha wanamtandao hawakumpenda nyerere na ndio walioua vipaji vya watoto wa Nyerere!

Mbona Dr. Husein Mwinyi amelelewa na system Hadi akashika urais,Ina maana system imeshindwa kumlea hasta mjukuu TU was Nyerere au mtoto mmoja akawa hats pm!!?

CCM YA WANAOJIITA "CCM INA WENYEWE"INA KINYONGO NA HII FAMILIA!!

NIKIPENYA NITAWARUDISHA WAJUKUU WA NYERERE KUNDINI HATA RAIS KUTOKEA ILE FAMILIA NITAMWANDAA POLE POLE!!!

NACHUKIA SANA,NATAMANI KUMZABA KIKWETE KIBAO,SIO KWA CHUKI HIZI!!!
 
Uwe kilaza mwenyewe uje kukaumu wengine? Mwinyi ni kilaza kama wale wachekwshaji kina Makongolo?
 
Uwe kilaza mwenyewe uje kukaumu wengine? Mwinyi ni kilaza kama wale wachekwshaji kina Makongolo?
Kuna hafla fulani Mwinyi aliiandaa ,makongoro alipopewa maiki atoe nasaha zake,

Akasema"hongera husein wewe uliepuka marafiki wabaya"marafiki wabaya waliharibu maono!

Maana yake nini hasa!!?

Makongoro hawakumuandaa na ndoto yoyote kama system yaani angeandaliwa angejua anachopigania!!

Huyo Mwinyi alijua mapema ye atakuja kuwa nani na akaanza kuiishi ndoto!

Bila maono mtu anaharibika kabisa ndicho walichofanyiwa vijana was nyerere!!

Watu huandaliwa na kuambiwa wajiandae na ukuu waishi ndoto hizo Hadi wanakua wakuu!huwezi ishi jambo usilolijua mkuu!

HUSSEIN MWINYI ALIISHI UKUU AKIJUA MUDA UTAFIKA NA ATAKUA MKUU AKAISHI IPADAVYO!!!
 
Hii familia inapewa kila kitu na wanapata pesa ngingi kupitia jina la baba yao .

Fatilia vizuri utajua ukweli .

Hao watoto hawajui shida

Huyo jamaa ambaye sasa hivi ni kiongozi alisoma na mzee wangu darasa moja
muhusika analalamika hawapewi mzigo

wewe wa nje unasema wanapewa ko tukuamini ww
 
Kuna hafla fulani Mwinyi aliiandaa ,makongoro alipopewa maiki atoe nasaha zake,

Akasema"hongera husein wewe uliepuka marafiki wabaya"marafiki wabaya waliharibu maono!

Maana yake nini hasa!!?

Makongoro hawakumuandaa na ndoto yoyote kama system yaani angeandaliwa angejua anachopigania!!

Huyo Mwinyi alijua mapema ye atakuja kuwa nani na akaanza kuiishi ndoto!

Bila maono mtu anaharibika kabisa ndicho walichofanyiwa vijana was nyerere!!

Watu huandaliwa na kuambiwa wajiandae na ukuu waishi ndoto hizo Hadi wanakua wakuu!huwezi ishi jambo usilolijua mkuu!

HUSSEIN MWINYI ALIISHI UKUU AKIJUA MUDA UTAFIKA NA ATAKUA MKUU AKAISHI IPADAVYO!!!
Nani Sasa hakumuandaa? Si alaumu familia yake?

In fact Viongozi wa Kikristo Huwa ni wajinga sana,Huwa wanafurahia sana Kuharibu maisha ya watu.

Ndio maana wanaenziwa mdomoni ila kivitendo hakuna mtu atafuata ujinga wao.
 
Familia ya Nyerere hawataweza kufanikiwa Kwa sababu za kiroho

Kulalamika -hii ni nguvu ambayo huwa inamfanya MTU akae pale pale milele watu wanaolalamika duniani kote huwa hawafanikiwi.

MTU umezaliwa na kumkuta baba yako ni rais

Unakula bure
Umesomeshwa bure tena ulaya

Kazi mmepewa bure

Kila kitu mnacho bado hela za foundation za mzee

Then mnalalamika ili iweje?
 
Fundiasho:
Mungu atusaidie wazaz tuwekeze mufa kwa watoto wetu kuwafabya wawe kama vile tunavyotaka sisi wawe..

Kaa na mwanao, mfundishe, mjue akili yake angalau kwa 90% na ujue njia sahihi ya kumwelekeza apite.
Tusitumike taifa tu au makampunibyetu au ajira zetu tukasahau vina mwisho ila generation yako haina mwisho ,so iandae ili ku take over when you are done.

Watoto wanajengwa, sio kuwalea tu kwa kuwapa chakula na mavaz na malazi, watengeneze watoto ukae ukiwa na matumain kuwa hata kama wataanza 0 they surely can make it through.
 
Nani Sasa hakumuandaa? Si alaumu familia yake?

In fact Viongozi wa Kikristo Huwa ni wajinga sana,Huwa wanafurahia sana Kuharibu maisha ya watu.

Ndio maana wanaenziwa mdomoni ila kivitendo hakuna mtu atafuata ujinga wao.
Wakristo wanasimamia sheria!

Waislam wanabebana bila kujali sheria!

Matokeo yake tunashindwa kutengeneza taasisi tunabaki kujuana tu!

Mkapa alipiga KAZI na jpm pia!

Kikwete aliboresha maisha akakuza ufisadi na kujuana!
 
Back
Top Bottom