Dunia haiko fair, leo mtoto wa Nyerere analalamika watu Serikali hawapokei simu za familia ya Nyerere

Kuna Tabia moja inafaa tuikatae wa TZ kuwa baba awe Raisi na mtoto awe Raisi huu ni ujinga sana san au mtoto awe mbunge au wazirii huu ni upumbavu wa hali ya juu hii kitu naichukia sana .Hawa mawaziri Family na wabunge Family na Maraisi tuwakateeni kwa nguvu zoteeeee hii nchi wameifanya yao sasa.
 
Wakristo wanasimamia sheria!

Waislam wanabebana bila kujali sheria!

Matokeo yake tunashindwa kutengeneza taasisi tunabaki kujuana tu!

Mkapa alipiga KAZI na jpm pia!

Kikwete aliboresha maisha akakuza ufisadi na kujuana!
Kuvuruga maisha ya watu ndio kusimamia sheria? Sheria kama zinaleta uharibifu zinakuwa na Msaada gani?

Waislamu endeleeni kutuletea Neema ,hao wengine ni wapuuzi ndio maana Watoto wao wandhalilika saizi.
 
Hii akili usivuke nayo barabara
 



Tatizo wewe unaongea mambo ya kutunga .

Watoto wa Nyerere ukitaka kuwajua vizuri waulize MTU Kama

Pascal Mayalla
 
Familia ya Nyerere haina njaa na haiwezi kuwa na njaaaa sema wameridhika na siyo mafisadi. Makongoro na Mbowe ni washikaji wamecheza kombolela pamoja, simu moja tu kwa Mbowe anamrushia milioni kumi za mafuta bia na nyama choma.
 
Ishi maisha Yako acha shobo
Nenda huko na ww...mbona una kisirani kama mwanamke mwenye mimba changa?? Kilichokuudhi hapo nini mpk utoe maneno ya kupanick hivyo? Kwani hujawahi kusikia misemo kuwa marehemu hasemwi vibaya...sijaona kitu cha kukutoa mate hapo...au ww ni mdada?maana ndo najua hizo tabia zetu za kuchambana...
 
We shoga narudia tena acha shobo maisha Yako hiyo michezo ya kichoko Mimi sitaki hata wewe ni marehemu mtarajiwa Kuna jipya Gani hapo mbwa we
 
Afu replica wao Stive Nyerere anaizunguka Dunia tu kwa lodi za wadanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…