AH forever
Member
- Sep 9, 2024
- 27
- 49
Wakati Mchongameno anapambana kitaifa mpaka kimataifa ili kuleta uhuru,baba/babu yako alikuwa na impact gani kuanzia palepale mtaani kwenu?Mchongameno alifeli kwanzia kuongoza nchi hadi familia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati Mchongameno anapambana kitaifa mpaka kimataifa ili kuleta uhuru,baba/babu yako alikuwa na impact gani kuanzia palepale mtaani kwenu?Mchongameno alifeli kwanzia kuongoza nchi hadi familia
Kuvuruga maisha ya watu ndio kusimamia sheria? Sheria kama zinaleta uharibifu zinakuwa na Msaada gani?Wakristo wanasimamia sheria!
Waislam wanabebana bila kujali sheria!
Matokeo yake tunashindwa kutengeneza taasisi tunabaki kujuana tu!
Mkapa alipiga KAZI na jpm pia!
Kikwete aliboresha maisha akakuza ufisadi na kujuana!
Maneno yako hayashangazi. Hata Bwana Yesu, pamoja na mazuri yote, bado ALIUAWA!Tapeli tu huyo ndio kaleta ujinga na umasikini Kwa watanzania
Mwalimu Nyerere yupo Kwa Mungu.Ulimuona? Kama haifai wangekuwa wanalialia hao vifaranga wake?
True wanapata sema pombe wamebweteka SanaHii familia inapewa kila kitu na wanapata pesa ngingi kupitia jina la baba yao .
Fatilia vizuri utajua ukweli .
Hao watoto hawajui shida
Huyo jamaa ambaye sasa hivi ni kiongozi alisoma na mzee wangu darasa moja
Kuwa na adabu basi kwa marehemu...Tapeli tu huyo ndio kaleta ujinga na umasikini Kwa watanzania
Adabu kuwa nayo wewe acha shobo usinipangie hujaja na Mimi duniani Nyerere kwangu ni mbwa tuKuwa na adabu basi kwa marehemu...
🙄🙄🙄🙄🙄Adabu kuwa nayo wewe acha shobo usinipangie hujaja na Mimi duniani Nyerere kwangu ni mbwa tu
Kizazi Cha Nyerere kimehujumiwa sana hasa na wanamtandao!!
2015 jina la kwanza kikwete kulikata kwenye urais ni la Makongoro nyerere!
CCM ya kizazi kipya Cha wanamtandao hawakumpenda nyerere na ndio walioua vipaji vya watoto wa Nyerere!
Mbona Dr. Husein Mwinyi amelelewa na system Hadi akashika urais,Ina maana system imeshindwa kumlea hasta mjukuu TU was Nyerere au mtoto mmoja akawa hats pm!!?
CCM YA WANAOJIITA "CCM INA WENYEWE"INA KINYONGO NA HII FAMILIA!!
NIKIPENYA NITAWARUDISHA WAJUKUU WA NYERERE KUNDINI HATA RAIS KUTOKEA ILE FAMILIA NITAMWANDAA POLE POLE!!!
NACHUKIA SANA,NATAMANI KUMZABA KIKWETE KIBAO,SIO KWA CHUKI HIZI!!!
Pombe siku zote hazina rafiki.True wanapata sema pombe wamebweteka Sana
Ishi maisha Yako acha shobo🙄🙄🙄🙄🙄
Choo cha kike hiki...
Kizazi Cha Nyerere kimehujumiwa sana hasa na wanamtandao!!
2015 jina la kwanza kikwete kulikata kwenye urais ni la Makongoro nyerere!
CCM ya kizazi kipya Cha wanamtandao hawakumpenda nyerere na ndio walioua vipaji vya watoto wa Nyerere!
Mbona Dr. Husein Mwinyi amelelewa na system Hadi akashika urais,Ina maana system imeshindwa kumlea hasta mjukuu TU was Nyerere au mtoto mmoja akawa hats pm!!?
CCM YA WANAOJIITA "CCM INA WENYEWE"INA KINYONGO NA HII FAMILIA!!
NIKIPENYA NITAWARUDISHA WAJUKUU WA NYERERE KUNDINI HATA RAIS KUTOKEA ILE FAMILIA NITAMWANDAA POLE POLE!!!
NACHUKIA SANA,NATAMANI KUMZABA KIKWETE KIBAO,SIO KWA CHUKI HIZI!!!
Nenda huko na ww...mbona una kisirani kama mwanamke mwenye mimba changa?? Kilichokuudhi hapo nini mpk utoe maneno ya kupanick hivyo? Kwani hujawahi kusikia misemo kuwa marehemu hasemwi vibaya...sijaona kitu cha kukutoa mate hapo...au ww ni mdada?maana ndo najua hizo tabia zetu za kuchambana...Ishi maisha Yako acha shobo
We shoga narudia tena acha shobo maisha Yako hiyo michezo ya kichoko Mimi sitaki hata wewe ni marehemu mtarajiwa Kuna jipya Gani hapo mbwa weNenda huko na ww...mbona una kisirani kama mwanamke mwenye mimba changa?? Kilichokuudhi hapo nini mpk utoe maneno ya kupanick hivyo? Kwani hujawahi kusikia misemo kuwa marehemu hasemwi vibaya...sijaona kitu cha kukutoa mate hapo...au ww ni mdada?maana ndo najua hizo tabia zetu za kuchambana...
Afu replica wao Stive Nyerere anaizunguka Dunia tu kwa lodi za wadanganyika.Nilimsikiliza Bwana Madaraka Nyerere akilalamika kwamba muda Huwa awanapiga simu na viongozi wa serikali kama DC, RC, DED, mawaziri n.k hawapokelei simu
Hadi analalamika wasanii kutumia jina la baba yake, Mbona familia ya Dangote hawalalamiki Kwa Diamond platnumZ, Mbona familia ya Bakhresa hawalalamiki Kwa Harmonize.
Yaani Nyerere ambaye kila pesa ina picha yake, watoto wake hawapati ushirikiano na pesa wanaotafuta na wanaiomba bila shaka wananyimwa
Tuseme kama Leo RC kama Bashite, Sabaya, Jokate,Chalamika hawapokei simu za watoto wa Nyerere au mama Maria Nyerere😅.
Nyerere tunaambiwa ndo baba wa Taifa, na kila siku viongozi wanamuimba kuwa ndo kila kitu.
Soma Pia: Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao
Chonde chonde nyie viongozi pokeeni simu za familia ya Nyerere. Wapeni msaada na kila kitu, maana baba yake ndo aliweka misingi ya vyote hivi
Ahahaha naona nimegusa penyewe...hii sio hali ya kawaida...haya shoga angu naona uko kwny siku zako ngoja nikuache....We shoga narudia tena acha shobo maisha Yako hiyo michezo ya kichoko Mimi sitaki
Narudia tena acha shobo sababu Mimi sijakushokeaAhahaha naona nimegusa penyewe...hii sio hali ya kawaida...haya shoga angu naona uko kwny siku zako ngoja nikuache....