Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
INTRODUCTION:-
Sina mengi, hebu soma hizi screenshots..!!!
SCENARIOS:-
PISI YA KWANZA.
School mate wa Advance PCB,
Nilipost picha Insta nipo nanenane na wateja (waliohudhuria banda letu la maonyesho) nawaelezea fursa mbalimbali.
Wakati nafundisha/naelekeza raia, Afisa Habari wetu akanipiga picha, ile picha nikaipenda na kuipost Insta.
Pisi moja niliyosoma nayo Dar Advance msuli mnene PCB akaiona.
Pisi ipo Chunya, ni MD huko wa kituo cha Afya.
Anataka kuja kuniona ila NITUME NAULI..!!!
Yaani yeye ndio kaiona picha, akanifata PM, akaniuliza kama niko mbeya.
Anahamu ya kuniona, ila nitume nauli aje kukaa siku mbili ..!!
Shida zake ila mimi ndio NIGHARAMIE..!!!
PISI YA PILI.
Hii ni pisi yangu ya miaka hiyo (2020).
Yupo Mbozi, ila tushaachanaga zamani.
Ni PS wa moja wapo ya Idara pale Mbozi Halmashauri.
Anataka kabla sijaondoka Mbeya nimuite aje anione halafu nifanye kama picha inavyosema.
Sasa najiuliza, ""huyu Mnyia tokea 2020 tuachane mpaka leo HANA MUME?""
Anataka kuja kulala nami Mbeya, kwake ataaga vipi??
PISI 3.
Hii ni Pisi ipo Mbeya Mjini.
Hii Pisi inafanya kazi Private company kubwa tu Mbeya.
Wakati wa kukaribia kwa sikukuu za nanenane alinitafuta na kuniuliza kama nakuja nanenane Mbeya.
Nilimwambia nakuja.
Siku mbili kabla ya nanenane nilimwambia nakuja ila hatujalipwa (tulilipwa tokea 27/07).
Kwahiyo nilitengeneza mazingira ya kwamba nakuja ila sina hela..!!
Sababu namjua sanaa tabia zake kwenye hela.
Na tokea nifike Mbeya ""Namkwepa sanaa, maana huyu mngoni ni gold digger balaaa""
Kwahiyo tunaishia kuchat tu..!!!
Sitaki nimuone.
Sasa mimi naishi mbali nae, nimekuja Mbeya kwa kipindi tu ""KWANI HANA MWANA ANAYE MKULA HAPA MBEYA??""
PISI YA 4.
Pisi ya kinyamwanga, ila anaishi Mbeya.
Ni pisi yangu, tulionana 2023 Tunduma boda kwenye msala wa kukamatiwa Appy Pine zangu pale Tunduma Custom.
Na yeye alikuwa na vitenge vyake.
Tulikuwa tunahangaika kuvikomboa, tukaunda team ili kurahisisha jambo.
Baada ya kumchunguza, ni mtumishi wa serikali katika moja ya vyuo vikuu vya serikali Mbeya.
Huyu yeye tokea nifike Mbeya
1. Anataka ajue niko wapi wakati wote
2. Kila nikiwa nakula bata, anataka tuwe wote, yaani kama anilinde/anichunge hivi
Ana mtoto (single maza) anaishi na mwanae.
Wakati nakuja Mbeya, alitaka nifikie kwake ili mtoto anizoeee.
Cha ajabu huwa nakujaga Mbeya mara moja moja sanaa..!!!
Ila anataka kunitawala.
Nilisahahu na hii ...
PISI YA TANO
PISI 5.
Huyu alikuwa baby mama.
Anaishi Chimala.
Mara zote nikija Mbeya nilikuwa najilia tu.
Mwaka jana (2023) mwezi 5 alipost picha kavaa shela kapendeza.
Nikaingia PM, kumuhoji kumbe kafanyiwa Sendoff ila hakunitaarifa.
Alisema ""Si uliniambia wewe huoi, mi naona bora niolewe tu umri unaenda""
Nilimpongeza tukaishia hapo na namba ya simu nikafuta.
Nikamsahau kabisaaaaaa.
Jana kanitafuta baada ya kuona picha yangu INSTA.
Akaniuliza: ""Upo Mbeya, nataka kukuona?""
Sikutaka mengi niliiju nia yake, Nikamjibu: ""Nilikuja Mbeya kuleta wajasiriamali na kuondoka, sikukaaa.""
Akasema: ""Unanidanganya, upo Mbeya nataka tuonane""
Na ni ukweli nipo Mbeya
Nikajibu kwa kumuuliza ""Wewe sasa hivi si mke wa mtu? Siwezi kuwa na uhusiano na wewe, maana ni mali ya mtu na umeolewa ndoa takatifu.""
Cheki alichonijibu??
CONCLUSION.
Bila hata kuficha hawa wote wanauhusiano mwengine.
Na hawa wote wana ajira zao tena asilimia kubwa ni serikalini..!!!
Ila ni full OMBAOMBA kama MATONYA..!!!
Kumbuka:
Mimi nimekuja Mbeya kuhudhuria nanenane tu na ikiisha narudi hukoo ndichi ambapo nitakuwa mbali nao.
Na hawa ndio WAKE ZENU.
Na hawa ndio WAKE ZENU WATARAJIWA.
NDOA TAMUUU.
NB:-
Muogope sanaa
1. X wa mkeo
2. Mchungaji wangu wa mkeo
3. Bodaboda wangu wa mkeo
4. School mate wa mkeo.
#YNWA
#YANGA_BINGWA