Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Mwanangu una pesa kula kula kula tuu πππππππPISI 5
Umeielewa??
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanangu una pesa kula kula kula tuu πππππππPISI 5
Umeielewa??
#YNWA
Mkuu hata tukisoma wote na hawawezi kuisha lakini mkuu haibadilishi ukweli kwamba hawa watu wanatofautiana kama ambavyo hata sisi wanaume tuna tofautiana.Usisahau kusoma PISI 5.
Nyongeza
#YNWA
Usisahau - Ufunuo Choir
...
Usisahau hata kidogo, usisahau kumshukuru,
Yale yote Mungu aliyo, kutendea usisahau kumshukuru mungu,
usisahau hata kidogo, usisahau kumshukuru ,
Yale yote Mungu aliyo , kutendea usisahau kumshukuru mungu
Usisahau hata kidogo, usisahau kumshukuru ,
Yale yote Mungu aliyo , kutendea usisahau kumshukuru Mungu
Basi hapo, moyo wako wewe usiinuke ukamsahau Mungu wakoo aliye kutoa katika nchi ya misiri , aliye kutoa katika nyumba ya utumwa
basi hapo , moyo wako wewe usiinuke ukamsahau
Mungu wakoo aliye kutoa katika nchi ya misiri, aliye kutoa katika nyumba ya utumwa
aliye kuongoza katika jangwa Lile kubwa,
lenye vitisho lenye nyoka za moto,
lenye nge nchi yenye kiu, nchi isiyokua na maji,
aliyee kuongoza katika jangwa Lile kubwa
lenye vitisho lenye nyoka za moto
lenye nge nchi yenye kiu nchi isiyokua na maji
aliye kutolea maji katika mwamba mkuu saana
aliye kuongoza njia katika safari yako,aliye kulisha jangwani kwa maana maana usiyoijia baba zako......

aliye kuongoza njia katika safari yako,aliye kulisha jangwani kwa maana maana usiyoijua baba zako......

katika mema yako na katika mafanikio yako
wala usiseme moyoni mwako nguvu zangu na uwezo wangu ndio ulionipatia utajirii Mungu..

(bali mkumbuke),Bali mkumbuke bwana wako maana,(maaana maana )ndiye akupae nguvu za kupata utajiri (ili afanye) ili afanye imara agano lake bwana
bali mkumbuke),Bali mkumbuke bwana wako maana,(maaana maana )ndiye akupae nguvu za kupata utajiri (ili afanye) ili afanye imara agano lake bwana
Basi yatupasa kutambua bwana Mungu ndiye ndiye
atanguliaye mbele yako kama moto,
uteketezao na kuangamiza walio watesi wako
wako wako wakooo

wako wako wakooo,
katika mema yako na katika mafanikio yako,
wala usiseme moyoni mwako nguvu zangu,, na uwezo wangu ndio ulionipatia utajirii..mungu

bali mkumbuke bwana wako maana maana ndiye akupae nguvu za kupata utajiri ili afanye imara agano lake bwana

usisahau hata kidogo usisahau kumshukuru
Yale yote Mungu aliyo kutendea usisahau kumshukuru Mungu, usisahau hata kidogo
usisahau kumshukuru Yale yote Mungu aliyo kutendea usisahau kumshukuru Mungu
NomaUsisahau - Ufunuo Choir

Wacha nikae kimyaINTRODUCTION:-
Sina mengi, hebu soma hizi screenshots..!!!
SCENARIOS:-
PISI YA KWANZA.
School mate wa Advance PCB,
Nilipost picha Insta nipo nanenane na wateja (waliohudhuria banda letu la maonyesho) nawaelezea fursa mbalimbali.
Wakati nafundisha/naelekeza raia, Afisa Habari wetu akanipiga picha, ile picha nikaipenda na kuipost Insta.
Pisi moja niliyosoma nayo Dar Advance msuli mnene PCB akaiona.
Pisi ipo Chunya, ni MD huko wa kituo cha Afya.
Anataka kuja kuniona ila NITUME NAULI..!!!
View attachment 3064262
Yaani yeye ndio kaiona picha, akanifata PM, akaniuliza kama niko mbeya.
Anahamu ya kuniona, ila nitume nauli aje kukaa siku mbili ..!!
Shida zake ila mimi ndio NIGHARAMIE..!!!
PISI YA PILI.
Hii ni pisi yangu ya miaka hiyo (2020).
Yupo Mbozi, ila tushaachanaga zamani.
Ni PS wa moja wapo ya Idara pale Mbozi Halmashauri.
Anataka kabla sijaondoka Mbeya nimuite aje anione halafu nifanye kama picha inavyosema.
Sasa najiuliza, ""huyu Mnyia tokea 2020 tuachane mpaka leo HANA MUME?""
Anataka kuja kulala nami Mbeya, kwake ataaga vipi??
View attachment 3064264
PISI 3.
Hii ni Pisi ipo Mbeya Mjini.
Hii Pisi inafanya kazi Private company kubwa tu Mbeya.
Wakati wa kukaribia kwa sikukuu za nanenane alinitafuta na kuniuliza kama nakuja nanenane Mbeya.
Nilimwambia nakuja.
Siku mbili kabla ya nanenane nilimwambia nakuja ila hatujalipwa (tulilipwa tokea 27/07).
Kwahiyo nilitengeneza mazingira ya kwamba nakuja ila sina hela..!!
Sababu namjua sanaa tabia zake kwenye hela.
Na tokea nifike Mbeya ""Namkwepa sanaa, maana huyu mngoni ni gold digger balaaa""
Kwahiyo tunaishia kuchat tu..!!!
Sitaki nimuone.
Sasa mimi naishi mbali nae, nimekuja Mbeya kwa kipindi tu ""KWANI HANA MWANA ANAYE MKULA HAPA MBEYA??""
View attachment 3064266
PISI YA 4.
Pisi ya kinyamwanga, ila anaishi Mbeya.
Ni pisi yangu, tulionana 2023 Tunduma boda kwenye msala wa kukamatiwa Appy Pine zangu pale Tunduma Custom.
Na yeye alikuwa na vitenge vyake.
Tulikuwa tunahangaika kuvikomboa, tukaunda team ili kurahisisha jambo.
Baada ya kumchunguza, ni mtumishi wa serikali katika moja ya vyuo vikuu vya serikali Mbeya.
Huyu yeye tokea nifike Mbeya
1. Anataka ajue niko wapi wakati wote
2. Kila nikiwa nakula bata, anataka tuwe wote, yaani kama anilinde/anichunge hivi
Ana mtoto (single maza) anaishi na mwanae.
Wakati nakuja Mbeya, alitaka nifikie kwake ili mtoto anizoeee.
Cha ajabu huwa nakujaga Mbeya mara moja moja sanaa..!!!
Ila anataka kunitawala.
View attachment 3064270
Nilisahahu na hii ...
PISI YA TANO
PISI 5.
Huyu alikuwa baby mama.
Anaishi Chimala.
Mara zote nikija Mbeya nilikuwa najilia tu.
Mwaka jana (2023) mwezi 5 alipost picha kavaa shela kapendeza.
Nikaingia PM, kumuhoji kumbe kafanyiwa Sendoff ila hakunitaarifa.
Alisema ""Si uliniambia wewe huoi, mi naona bora niolewe tu umri unaenda""
Nilimpongeza tukaishia hapo na namba ya simu nikafuta.
Nikamsahau kabisaaaaaa.
Jana kanitafuta baada ya kuona picha yangu INSTA.
Akaniuliza: ""Upo Mbeya, nataka kukuona?""
Sikutaka mengi niliiju nia yake, Nikamjibu: ""Nilikuja Mbeya kuleta wajasiriamali na kuondoka, sikukaaa.""
Akasema: ""Unanidanganya, upo Mbeya nataka tuonane""
Na ni ukweli nipo Mbeya
Nikajibu kwa kumuuliza ""Wewe sasa hivi si mke wa mtu? Siwezi kuwa na uhusiano na wewe, maana ni mali ya mtu na umeolewa ndoa takatifu.""
Cheki alichonijibu??
View attachment 3064280
CONCLUSION.
Bila hata kuficha hawa wote wanauhusiano mwengine.
Na hawa wote wana ajira zao tena asilimia kubwa ni serikalini..!!!
Ila ni full OMBAOMBA kama MATONYA..!!!
Kumbuka:
Mimi nimekuja Mbeya kuhudhuria nanenane tu na ikiisha narudi hukoo ndichi ambapo nitakuwa mbali nao.
Na hawa ndio WAKE ZENU.
Na hawa ndio WAKE ZENU WATARAJIWA.
NDOA TAMUUU.
NB:-
Muogope sanaa
1. X wa mkeo
2. Mchungaji wangu wa mkeo
3. Bodaboda wangu wa mkeo
4. School mate wa mkeo.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Video yake nampenda yule albino anavyochezaDaah wew jamaa umefanya niimbe hii nyimbo halafu naipendaa mno ubarikiwe [emoji120]
Hahaaaaaa kijana acha hizo,unataka kutumia fursa hiyo adhimu...Kwanza kabisa nikupongeze kwa kuweza kuikwepa hiyo mikuki kishundu lakini zaidi ,hii habari yako inatuma ujumbe serikalini na kwa vijana wasaka ajira kuwa pambana uwezeavyo uanzishe hata biashara maana hta walio serikalini Wana njaa sana tu .
Kwahiyo kijana usijionee huruma kuwa huna ajira ya serikali basi maisha yatakuwa magumu sana sio kweli nao ni omba omba .
Mwisho ni serikali iwakumbuke watumishi wa halmashauri wananuka jasho la shida ndiyo maana mleta mada anawanyima Senti zake .
Lakini la zaidi ikiwa hautajali ndugu yangu ,rafiki yangu ,mdogo wangu bwana Liverpool VPN nisaidie namba ya dada wa chunya huyo MD ,Nina Jambo naweza kushare naye katika mambo ya afya
"Kataa ndoa wewe! Ndoa ni utapeli" Hii ni kauli kutoka kwa vijana wote wa kataa ndoa.Hadithi Yako inatufundisha nini...?
[emoji1635]Mkuu hata tukisoma wote na hawawezi kuisha lakini mkuu haibadilishi ukweli kwamba hawa watu wanatofautiana kama ambavyo hata sisi wanaume tuna tofautiana.
Seriously! Mi nirifikili unazungumzia ugumu wa kutafuta fweza na changamoto, kumbe ngono tu,!INTRODUCTION:-
Sina mengi, hebu soma hizi screenshots..!!!
SCENARIOS:-
PISI YA KWANZA.
School mate wa Advance PCB,
Nilipost picha Insta nipo nanenane na wateja (waliohudhuria banda letu la maonyesho) nawaelezea fursa mbalimbali.
Wakati nafundisha/naelekeza raia, Afisa Habari wetu akanipiga picha, ile picha nikaipenda na kuipost Insta.
Pisi moja niliyosoma nayo Dar Advance msuli mnene PCB akaiona.
Pisi ipo Chunya, ni MD huko wa kituo cha Afya.
Anataka kuja kuniona ila NITUME NAULI..!!!
View attachment 3064262
Yaani yeye ndio kaiona picha, akanifata PM, akaniuliza kama niko mbeya.
Anahamu ya kuniona, ila nitume nauli aje kukaa siku mbili ..!!
Shida zake ila mimi ndio NIGHARAMIE..!!!
PISI YA PILI.
Hii ni pisi yangu ya miaka hiyo (2020).
Yupo Mbozi, ila tushaachanaga zamani.
Ni PS wa moja wapo ya Idara pale Mbozi Halmashauri.
Anataka kabla sijaondoka Mbeya nimuite aje anione halafu nifanye kama picha inavyosema.
Sasa najiuliza, ""huyu Mnyia tokea 2020 tuachane mpaka leo HANA MUME?""
Anataka kuja kulala nami Mbeya, kwake ataaga vipi??
View attachment 3064264
PISI 3.
Hii ni Pisi ipo Mbeya Mjini.
Hii Pisi inafanya kazi Private company kubwa tu Mbeya.
Wakati wa kukaribia kwa sikukuu za nanenane alinitafuta na kuniuliza kama nakuja nanenane Mbeya.
Nilimwambia nakuja.
Siku mbili kabla ya nanenane nilimwambia nakuja ila hatujalipwa (tulilipwa tokea 27/07).
Kwahiyo nilitengeneza mazingira ya kwamba nakuja ila sina hela..!!
Sababu namjua sanaa tabia zake kwenye hela.
Na tokea nifike Mbeya ""Namkwepa sanaa, maana huyu mngoni ni gold digger balaaa""
Kwahiyo tunaishia kuchat tu..!!!
Sitaki nimuone.
Sasa mimi naishi mbali nae, nimekuja Mbeya kwa kipindi tu ""KWANI HANA MWANA ANAYE MKULA HAPA MBEYA??""
View attachment 3064266
PISI YA 4.
Pisi ya kinyamwanga, ila anaishi Mbeya.
Ni pisi yangu, tulionana 2023 Tunduma boda kwenye msala wa kukamatiwa Appy Pine zangu pale Tunduma Custom.
Na yeye alikuwa na vitenge vyake.
Tulikuwa tunahangaika kuvikomboa, tukaunda team ili kurahisisha jambo.
Baada ya kumchunguza, ni mtumishi wa serikali katika moja ya vyuo vikuu vya serikali Mbeya.
Huyu yeye tokea nifike Mbeya
1. Anataka ajue niko wapi wakati wote
2. Kila nikiwa nakula bata, anataka tuwe wote, yaani kama anilinde/anichunge hivi
Ana mtoto (single maza) anaishi na mwanae.
Wakati nakuja Mbeya, alitaka nifikie kwake ili mtoto anizoeee.
Cha ajabu huwa nakujaga Mbeya mara moja moja sanaa..!!!
Ila anataka kunitawala.
View attachment 3064270
Nilisahahu na hii ...
PISI YA TANO
PISI 5.
Huyu alikuwa baby mama.
Anaishi Chimala.
Mara zote nikija Mbeya nilikuwa najilia tu.
Mwaka jana (2023) mwezi 5 alipost picha kavaa shela kapendeza.
Nikaingia PM, kumuhoji kumbe kafanyiwa Sendoff ila hakunitaarifa.
Alisema ""Si uliniambia wewe huoi, mi naona bora niolewe tu umri unaenda""
Nilimpongeza tukaishia hapo na namba ya simu nikafuta.
Nikamsahau kabisaaaaaa.
Jana kanitafuta baada ya kuona picha yangu INSTA.
Akaniuliza: ""Upo Mbeya, nataka kukuona?""
Sikutaka mengi niliiju nia yake, Nikamjibu: ""Nilikuja Mbeya kuleta wajasiriamali na kuondoka, sikukaaa.""
Akasema: ""Unanidanganya, upo Mbeya nataka tuonane""
Na ni ukweli nipo Mbeya
Nikajibu kwa kumuuliza ""Wewe sasa hivi si mke wa mtu? Siwezi kuwa na uhusiano na wewe, maana ni mali ya mtu na umeolewa ndoa takatifu.""
Cheki alichonijibu??
View attachment 3064280
CONCLUSION.
Bila hata kuficha hawa wote wanauhusiano mwengine.
Na hawa wote wana ajira zao tena asilimia kubwa ni serikalini..!!!
Ila ni full OMBAOMBA kama MATONYA..!!!
Kumbuka:
Mimi nimekuja Mbeya kuhudhuria nanenane tu na ikiisha narudi hukoo ndichi ambapo nitakuwa mbali nao.
Na hawa ndio WAKE ZENU.
Na hawa ndio WAKE ZENU WATARAJIWA.
NDOA TAMUUU.
NB:-
Muogope sanaa
1. X wa mkeo
2. Mchungaji wangu wa mkeo
3. Bodaboda wangu wa mkeo
4. School mate wa mkeo.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Haha kama sijakosea wewe jamaa umesoma pandahillINTRODUCTION:-