Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,265
- 201,451
Mbona
alie olewa hapo ni mmoja tuHuu uzi usomwe kwenye jalada la KATAA NDOA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alie olewa hapo ni mmoja tuHuu uzi usomwe kwenye jalada la KATAA NDOA
Tukifurahi sisi ni kama mmefurahi nyieLa muhimu ni kukumbuka dunia haihitaji furaha ya mwanaume wala haipo tayari kumpa furaha mwanaume.
Hawa unaokutana nao ni Malaya,kitaalamu wanaitwa ni"transactional sexual workers",na kwa nchi masikini sub-saharaa African na East Asia,"Transactional sectual intercourse" ni leading sexual behaviour ya HIV transmission ,zaidi ya sexual workers wa kawaida,na tofauti na sexua worker transactonal sexual behaviour,hapa unaweza kukuta daktari kama huyo,nesi,mwalimu,mbunge,mke wa mtu,wanafunzi wa vyuo etc etc......motive yao inakua tamaa ya kupata zaidi ya walicho nacho,....ni trend inayotrend sana Kwa wasichaa wa Tanzania,.....nadhani Kuna haya ya kuaianzishia uzi hapa Jamvini wati wawr aware nayoINTRODUCTION:-
Sina mengi, hebu soma hizi screenshots..!!!
SCENARIOS:-
PISI YA KWANZA.
School mate wa Advance PCB,
Nilipost picha Insta nipo nanenane na wateja (waliohudhuria banda letu la maonyesho) nawaelezea fursa mbalimbali.
Wakati nafundisha/naelekeza raia, Afisa Habari wetu akanipiga picha, ile picha nikaipenda na kuipost Insta.
Pisi moja niliyosoma nayo Dar Advance msuli mnene PCB akaiona.
Pisi ipo Chunya, ni MD huko wa kituo cha Afya.
Anataka kuja kuniona ila NITUME NAULI..!!!
View attachment 3064262
Yaani yeye ndio kaiona picha, akanifata PM, akaniuliza kama niko mbeya.
Anahamu ya kuniona, ila nitume nauli aje kukaa siku mbili ..!!
Shida zake ila mimi ndio NIGHARAMIE..!!!
PISI YA PILI.
Hii ni pisi yangu ya miaka hiyo (2020).
Yupo Mbozi, ila tushaachanaga zamani.
Ni PS wa moja wapo ya Idara pale Mbozi Halmashauri.
Anataka kabla sijaondoka Mbeya nimuite aje anione halafu nifanye kama picha inavyosema.
Sasa najiuliza, ""huyu Mnyia tokea 2020 tuachane mpaka leo HANA MUME?""
Anataka kuja kulala nami Mbeya, kwake ataaga vipi??
View attachment 3064264
PISI 3.
Hii ni Pisi ipo Mbeya Mjini.
Hii Pisi inafanya kazi Private company kubwa tu Mbeya.
Wakati wa kukaribia kwa sikukuu za nanenane alinitafuta na kuniuliza kama nakuja nanenane Mbeya.
Nilimwambia nakuja.
Siku mbili kabla ya nanenane nilimwambia nakuja ila hatujalipwa (tulilipwa tokea 27/07).
Kwahiyo nilitengeneza mazingira ya kwamba nakuja ila sina hela..!!
Sababu namjua sanaa tabia zake kwenye hela.
Na tokea nifike Mbeya ""Namkwepa sanaa, maana huyu mngoni ni gold digger balaaa""
Kwahiyo tunaishia kuchat tu..!!!
Sitaki nimuone.
Sasa mimi naishi mbali nae, nimekuja Mbeya kwa kipindi tu ""KWANI HANA MWANA ANAYE MKULA HAPA MBEYA??""
View attachment 3064266
PISI YA 4.
Pisi ya kinyamwanga, ila anaishi Mbeya.
Ni pisi yangu, tulionana 2023 Tunduma boda kwenye msala wa kukamatiwa Appy Pine zangu pale Tunduma Custom.
Na yeye alikuwa na vitenge vyake.
Tulikuwa tunahangaika kuvikomboa, tukaunda team ili kurahisisha jambo.
Baada ya kumchunguza, ni mtumishi wa serikali katika moja ya vyuo vikuu vya serikali Mbeya.
Huyu yeye tokea nifike Mbeya
1. Anataka ajue niko wapi wakati wote
2. Kila nikiwa nakula bata, anataka tuwe wote, yaani kama anilinde/anichunge hivi
Ana mtoto (single maza) anaishi na mwanae.
Wakati nakuja Mbeya, alitaka nifikie kwake ili mtoto anizoeee.
Cha ajabu huwa nakujaga Mbeya mara moja moja sanaa..!!!
Ila anataka kunitawala.
View attachment 3064270
Nilisahahu na hii ...
PISI YA TANO
PISI 5.
Huyu alikuwa baby mama.
Anaishi Chimala.
Mara zote nikija Mbeya nilikuwa najilia tu.
Mwaka jana (2023) mwezi 5 alipost picha kavaa shela kapendeza.
Nikaingia PM, kumuhoji kumbe kafanyiwa Sendoff ila hakunitaarifa.
Alisema ""Si uliniambia wewe huoi, mi naona bora niolewe tu umri unaenda""
Nilimpongeza tukaishia hapo na namba ya simu nikafuta.
Nikamsahau kabisaaaaaa.
Jana kanitafuta baada ya kuona picha yangu INSTA.
Akaniuliza: ""Upo Mbeya, nataka kukuona?""
Sikutaka mengi niliiju nia yake, Nikamjibu: ""Nilikuja Mbeya kuleta wajasiriamali na kuondoka, sikukaaa.""
Akasema: ""Unanidanganya, upo Mbeya nataka tuonane""
Na ni ukweli nipo Mbeya
Nikajibu kwa kumuuliza ""Wewe sasa hivi si mke wa mtu? Siwezi kuwa na uhusiano na wewe, maana ni mali ya mtu na umeolewa ndoa takatifu.""
Cheki alichonijibu??
View attachment 3064280
CONCLUSION.
Bila hata kuficha hawa wote wanauhusiano mwengine.
Na hawa wote wana ajira zao tena asilimia kubwa ni serikalini..!!!
Ila ni full OMBAOMBA kama MATONYA..!!!
Kumbuka:
Mimi nimekuja Mbeya kuhudhuria nanenane tu na ikiisha narudi hukoo ndichi ambapo nitakuwa mbali nao.
Na hawa ndio WAKE ZENU.
Na hawa ndio WAKE ZENU WATARAJIWA.
NDOA TAMUUU.
NB:-
Muogope sanaa
1. X wa mkeo
2. Mchungaji wangu wa mkeo
3. Bodaboda wangu wa mkeo
4. School mate wa mkeo.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Transaction sexual intercourse haina uhusiano wa moja Kwa Moja na umasikini,ni tabia kama kama ilivo utapeli,wizi etc,inahitajika awareness na mafunzo ya binti zako hasa sisi wazazi jinsi ya kuwa huru na kutofuata tabia za mikumbo,hii wameiweza sana wahindi,waarabu na wazunguKwanza kabisa nikupongeze kwa kuweza kuikwepa hiyo mikuki kishundu lakini zaidi ,hii habari yako inatuma ujumbe serikalini na kwa vijana wasaka ajira kuwa pambana uwezeavyo uanzishe hata biashara maana hta walio serikalini Wana njaa sana tu .
Kwahiyo kijana usijionee huruma kuwa huna ajira ya serikali basi maisha yatakuwa magumu sana sio kweli nao ni omba omba .
Mwisho ni serikali iwakumbuke watumishi wa halmashauri wananuka jasho la shida ndiyo maana mleta mada anawanyima Senti zake .
Lakini la zaidi ikiwa hautajali ndugu yangu ,rafiki yangu ,mdogo wangu bwana Liverpool VPN nisaidie namba ya dada wa chunya huyo MD ,Nina Jambo naweza kushare naye katika mambo ya afya
Kitendo cha kukutana na mwanamke Bar,na ukamuomba namba 98% huyo ni Malaya,badilisha focus ya wanawake unaopaswa kuhang nao,bado wanawake wazuri wapo wengi sana,......Kuna hii PISI bwana nilikutana nayo 31/07 Rombo Bar juzi nikachukua namba.
Tarehe 02/08 nikaitafuta na kuchat nayo.
Ikaniambia inataka hela ya Nanenane ikafanye shopping, nilimuahidi nitamkupa.
Sasa tokea asubuhi ameniganda, kwamba aje nanenane nimpe hela ye afanye shopping.
Nikaona anakomaa.
Sasa cheki jibu nililomjibu..!!
View attachment 3064492
Anaenda kupewa hela guest@Kabwe.
Yaani simjui HANIJUI, Anataka nimpe hela kirahisii kisa nimeomba namba.
#YNWA
#YANGA BINGWA.
You are what you hang on..............anazungukwa na Malaya,single mother,broken heart women,.........Abadilishe focus,Dunia ni kubwa sana hiiMzee unaombwaje hela kama unadaiwa? Yan anakwambia unanipa hela au hunipi? Serious bro? Na unajibu kwa heshima na stara. Anapata wapi audacity ya kuomba kwa style hiyo
Mkuu hawa wanawake unaochat nao naanza kupata picha namna gani wewe ulivyo.
Mhh!Tukifurahi sisi ni kama mmefurahi nyie
😀😀NDOA NI UTAPELIINTRODUCTION:-
Sina mengi, hebu soma hizi screenshots..!!!
SCENARIOS:-
PISI YA KWANZA.
School mate wa Advance PCB,
Nilipost picha Insta nipo nanenane na wateja (waliohudhuria banda letu la maonyesho) nawaelezea fursa mbalimbali.
Wakati nafundisha/naelekeza raia, Afisa Habari wetu akanipiga picha, ile picha nikaipenda na kuipost Insta.
Pisi moja niliyosoma nayo Dar Advance msuli mnene PCB akaiona.
Pisi ipo Chunya, ni MD huko wa kituo cha Afya.
Anataka kuja kuniona ila NITUME NAULI..!!!
View attachment 3064262
Yaani yeye ndio kaiona picha, akanifata PM, akaniuliza kama niko mbeya.
Anahamu ya kuniona, ila nitume nauli aje kukaa siku mbili ..!!
Shida zake ila mimi ndio NIGHARAMIE..!!!
PISI YA PILI.
Hii ni pisi yangu ya miaka hiyo (2020).
Yupo Mbozi, ila tushaachanaga zamani.
Ni PS wa moja wapo ya Idara pale Mbozi Halmashauri.
Anataka kabla sijaondoka Mbeya nimuite aje anione halafu nifanye kama picha inavyosema.
Sasa najiuliza, ""huyu Mnyia tokea 2020 tuachane mpaka leo HANA MUME?""
Anataka kuja kulala nami Mbeya, kwake ataaga vipi??
View attachment 3064264
PISI 3.
Hii ni Pisi ipo Mbeya Mjini.
Hii Pisi inafanya kazi Private company kubwa tu Mbeya.
Wakati wa kukaribia kwa sikukuu za nanenane alinitafuta na kuniuliza kama nakuja nanenane Mbeya.
Nilimwambia nakuja.
Siku mbili kabla ya nanenane nilimwambia nakuja ila hatujalipwa (tulilipwa tokea 27/07).
Kwahiyo nilitengeneza mazingira ya kwamba nakuja ila sina hela..!!
Sababu namjua sanaa tabia zake kwenye hela.
Na tokea nifike Mbeya ""Namkwepa sanaa, maana huyu mngoni ni gold digger balaaa""
Kwahiyo tunaishia kuchat tu..!!!
Sitaki nimuone.
Sasa mimi naishi mbali nae, nimekuja Mbeya kwa kipindi tu ""KWANI HANA MWANA ANAYE MKULA HAPA MBEYA??""
View attachment 3064266
PISI YA 4.
Pisi ya kinyamwanga, ila anaishi Mbeya.
Ni pisi yangu, tulionana 2023 Tunduma boda kwenye msala wa kukamatiwa Appy Pine zangu pale Tunduma Custom.
Na yeye alikuwa na vitenge vyake.
Tulikuwa tunahangaika kuvikomboa, tukaunda team ili kurahisisha jambo.
Baada ya kumchunguza, ni mtumishi wa serikali katika moja ya vyuo vikuu vya serikali Mbeya.
Huyu yeye tokea nifike Mbeya
1. Anataka ajue niko wapi wakati wote
2. Kila nikiwa nakula bata, anataka tuwe wote, yaani kama anilinde/anichunge hivi
Ana mtoto (single maza) anaishi na mwanae.
Wakati nakuja Mbeya, alitaka nifikie kwake ili mtoto anizoeee.
Cha ajabu huwa nakujaga Mbeya mara moja moja sanaa..!!!
Ila anataka kunitawala.
View attachment 3064270
Nilisahahu na hii ...
PISI YA TANO
PISI 5.
Huyu alikuwa baby mama.
Anaishi Chimala.
Mara zote nikija Mbeya nilikuwa najilia tu.
Mwaka jana (2023) mwezi 5 alipost picha kavaa shela kapendeza.
Nikaingia PM, kumuhoji kumbe kafanyiwa Sendoff ila hakunitaarifa.
Alisema ""Si uliniambia wewe huoi, mi naona bora niolewe tu umri unaenda""
Nilimpongeza tukaishia hapo na namba ya simu nikafuta.
Nikamsahau kabisaaaaaa.
Jana kanitafuta baada ya kuona picha yangu INSTA.
Akaniuliza: ""Upo Mbeya, nataka kukuona?""
Sikutaka mengi niliiju nia yake, Nikamjibu: ""Nilikuja Mbeya kuleta wajasiriamali na kuondoka, sikukaaa.""
Akasema: ""Unanidanganya, upo Mbeya nataka tuonane""
Na ni ukweli nipo Mbeya
Nikajibu kwa kumuuliza ""Wewe sasa hivi si mke wa mtu? Siwezi kuwa na uhusiano na wewe, maana ni mali ya mtu na umeolewa ndoa takatifu.""
Cheki alichonijibu??
View attachment 3064280
CONCLUSION.
Bila hata kuficha hawa wote wanauhusiano mwengine.
Na hawa wote wana ajira zao tena asilimia kubwa ni serikalini..!!!
Ila ni full OMBAOMBA kama MATONYA..!!!
Kumbuka:
Mimi nimekuja Mbeya kuhudhuria nanenane tu na ikiisha narudi hukoo ndichi ambapo nitakuwa mbali nao.
Na hawa ndio WAKE ZENU.
Na hawa ndio WAKE ZENU WATARAJIWA.
NDOA TAMUUU.
NB:-
Muogope sanaa
1. X wa mkeo
2. Mchungaji wangu wa mkeo
3. Bodaboda wangu wa mkeo
4. School mate wa mkeo.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
BooooomNacheza na mentality yake.
Nachotaka ni mbuny(e).
Huyu mi simjui, nilionana nae 31/07 Hukuhuku Mbeya.
Na-act mpole na viticm ili aingie line.
Akishaliwa na HABARI ITAISHIA HAPO.
NB:-
Nakushauri jifunze kucheza na akili zao.
#YNWA
Asa watu wana kazi zao na bado wanakuwa ombaombaHadithi Yako inatufundisha nini...?
NAKAZIAwatumishi wa halmashauri wananuka jasho la shida
Siku ukienda iringa au Moshi utupe na screen short za watumishi wa huko ..INTRODUCTION:-
Sina mengi, hebu soma hizi screenshots..!!!
SCENARIOS:-
PISI YA KWANZA.
School mate wa Advance PCB,
Nilipost picha Insta nipo nanenane na wateja (waliohudhuria banda letu la maonyesho) nawaelezea fursa mbalimbali.
Wakati nafundisha/naelekeza raia, Afisa Habari wetu akanipiga picha, ile picha nikaipenda na kuipost Insta.
Pisi moja niliyosoma nayo Dar Advance msuli mnene PCB akaiona.
Pisi ipo Chunya, ni MD huko wa kituo cha Afya.
Anataka kuja kuniona ila NITUME NAULI..!!!
View attachment 3064262
Yaani yeye ndio kaiona picha, akanifata PM, akaniuliza kama niko mbeya.
Anahamu ya kuniona, ila nitume nauli aje kukaa siku mbili ..!!
Shida zake ila mimi ndio NIGHARAMIE..!!!
PISI YA PILI.
Hii ni pisi yangu ya miaka hiyo (2020).
Yupo Mbozi, ila tushaachanaga zamani.
Ni PS wa moja wapo ya Idara pale Mbozi Halmashauri.
Anataka kabla sijaondoka Mbeya nimuite aje anione halafu nifanye kama picha inavyosema.
Sasa najiuliza, ""huyu Mnyia tokea 2020 tuachane mpaka leo HANA MUME?""
Anataka kuja kulala nami Mbeya, kwake ataaga vipi??
View attachment 3064264
PISI 3.
Hii ni Pisi ipo Mbeya Mjini.
Hii Pisi inafanya kazi Private company kubwa tu Mbeya.
Wakati wa kukaribia kwa sikukuu za nanenane alinitafuta na kuniuliza kama nakuja nanenane Mbeya.
Nilimwambia nakuja.
Siku mbili kabla ya nanenane nilimwambia nakuja ila hatujalipwa (tulilipwa tokea 27/07).
Kwahiyo nilitengeneza mazingira ya kwamba nakuja ila sina hela..!!
Sababu namjua sanaa tabia zake kwenye hela.
Na tokea nifike Mbeya ""Namkwepa sanaa, maana huyu mngoni ni gold digger balaaa""
Kwahiyo tunaishia kuchat tu..!!!
Sitaki nimuone.
Sasa mimi naishi mbali nae, nimekuja Mbeya kwa kipindi tu ""KWANI HANA MWANA ANAYE MKULA HAPA MBEYA??""
View attachment 3064266
PISI YA 4.
Pisi ya kinyamwanga, ila anaishi Mbeya.
Ni pisi yangu, tulionana 2023 Tunduma boda kwenye msala wa kukamatiwa Appy Pine zangu pale Tunduma Custom.
Na yeye alikuwa na vitenge vyake.
Tulikuwa tunahangaika kuvikomboa, tukaunda team ili kurahisisha jambo.
Baada ya kumchunguza, ni mtumishi wa serikali katika moja ya vyuo vikuu vya serikali Mbeya.
Huyu yeye tokea nifike Mbeya
1. Anataka ajue niko wapi wakati wote
2. Kila nikiwa nakula bata, anataka tuwe wote, yaani kama anilinde/anichunge hivi
Ana mtoto (single maza) anaishi na mwanae.
Wakati nakuja Mbeya, alitaka nifikie kwake ili mtoto anizoeee.
Cha ajabu huwa nakujaga Mbeya mara moja moja sanaa..!!!
Ila anataka kunitawala.
View attachment 3064270
Nilisahahu na hii ...
PISI YA TANO
PISI 5.
Huyu alikuwa baby mama.
Anaishi Chimala.
Mara zote nikija Mbeya nilikuwa najilia tu.
Mwaka jana (2023) mwezi 5 alipost picha kavaa shela kapendeza.
Nikaingia PM, kumuhoji kumbe kafanyiwa Sendoff ila hakunitaarifa.
Alisema ""Si uliniambia wewe huoi, mi naona bora niolewe tu umri unaenda""
Nilimpongeza tukaishia hapo na namba ya simu nikafuta.
Nikamsahau kabisaaaaaa.
Jana kanitafuta baada ya kuona picha yangu INSTA.
Akaniuliza: ""Upo Mbeya, nataka kukuona?""
Sikutaka mengi niliiju nia yake, Nikamjibu: ""Nilikuja Mbeya kuleta wajasiriamali na kuondoka, sikukaaa.""
Akasema: ""Unanidanganya, upo Mbeya nataka tuonane""
Na ni ukweli nipo Mbeya
Nikajibu kwa kumuuliza ""Wewe sasa hivi si mke wa mtu? Siwezi kuwa na uhusiano na wewe, maana ni mali ya mtu na umeolewa ndoa takatifu.""
Cheki alichonijibu??
View attachment 3064280
CONCLUSION.
Bila hata kuficha hawa wote wanauhusiano mwengine.
Na hawa wote wana ajira zao tena asilimia kubwa ni serikalini..!!!
Ila ni full OMBAOMBA kama MATONYA..!!!
Kumbuka:
Mimi nimekuja Mbeya kuhudhuria nanenane tu na ikiisha narudi hukoo ndichi ambapo nitakuwa mbali nao.
Na hawa ndio WAKE ZENU.
Na hawa ndio WAKE ZENU WATARAJIWA.
NDOA TAMUUU.
NB:-
Muogope sanaa
1. X wa mkeo
2. Mchungaji wangu wa mkeo
3. Bodaboda wangu wa mkeo
4. School mate wa mkeo.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
NakaziaSawa tumekuelewa. Ila kuoa tutaoa tu.
Hao shetani wawili, watatu hawawezi kututoa kwenye reli na kuwachafua malaika kibao tunaowajua na tusiowajua.
Yanga BINGWA brazaaSiku ukienda iringa au Moshi utupe na screen short za watumishi wa huko ..
Alaf mbona ujatuonesha picha za majibu yako..ukute ujamtumia hata mmoja afu unakuja kulalamika ujinga hapa