sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Naomba niseme wazi,
Sishabikii Kifo Cha Rais wetu Mzilankende, Ta Mwami Magufuli Joseph pombe na haitokaa itokee nishabikie kamwe, niseme pia sitokaa nimwombee Kwa Mungu eti amweke Pahala pema peponi.
Niseme pia sishambikii Ole Sabaya kuwa jera, na hakika stokaa kamwe nimwombee kama niombeavyo wafungwa sitokaa nimwombee.
Nasema Tena siitaji kujua Pauli Chritiani Makonda A.K.A Bashite yupo wapi na anafanya Nini. Kwa kuwa sijui aliko na anafanya Nini siwezi mwombea miongoni mwa watu wasio kazi swezi mwombea kamwe na Sito Kaa nimwombee
Leo nimewaza dhidi ya matendo ya Mungu Kwa wanandamu ebu msomaji tutafakari pamoja kweli_
Leo hii Mbowe anakula Ubwabwa wa Ikulu ya magogoni Ili Hali hii miamba GEU GEU nareje Tena miamba GEUGEU Iko Iko iliko?
Wanadamu tutende mema Dunia ni hadaa!
Asubuh njema!