Dunia hii! Sabaya Yuko Jela, Makonda hajulikani aliko, Magufuli kaburini, Mbowe anakula ubwabwa Ikulu

Pamoja na kwamba Makonda hasikiki ila bado yuko kwenye mrija wa kula!

Pamoja na kwamba Sabaya yuko jela ila soon atatoka na bado hamtalingana kimaisha, wakati yeye anakula atakacho wewe unakula unachopata.!

Pamoja na kwamba Magufuli kafa ila hajafa masikini, na wewe ukifa hutaacha legacy yoyote kwa taifa kama ilivyo kwake.
Umesahau kumwambia pia, Japokuwa Magufuli yupo kaburini ipo siku Gwajima atamfufua na atarudi Ikulu
 
Naomba niseme wazi,

Sishabikii Kifo Cha Rais wetu Mzilankende, Ta Mwami Magufuli Joseph pombe na haitokaa itokee nishabikie kamwe, niseme pia sitokaa nimwombee Kwa Mungu eti amweke Pahala pema peponi.

Niseme pia sishambikii Ole Sabaya kuwa jera, na hakika stokaa kamwe nimwombee kama niombeavyo wafungwa sitokaa nimwombee.

Nasema Tena siitaji kujua Pauli Chritiani Makonda A.K.A Bashite yupo wapi na anafanya Nini. Kwa kuwa sijui aliko na anafanya Nini siwezi mwombea miongoni mwa watu wasio kazi swezi mwombea kamwe na Sito Kaa nimwombee

Leo nimewaza dhidi ya matendo ya Mungu Kwa wanandamu ebu msomaji tutafakari pamoja kweli_

Leo hii Mbowe anakula Ubwabwa wa Ikulu ya magogoni Ili Hali hii miamba GEU GEU nareje Tena miamba GEUGEU Iko Iko iliko?

Wanadamu tutende mema Dunia ni hadaa!

Asubuh njema!
Bashite yuko hapa njiro Arusha ila anaishi kama digidigi!
 
Uzi mtamu sana ila mfupi!! Nilitaka uniwekee pamoja na akina Bashiru Ally, Deus Kakoko, Dotto James na Job Ndugai, Mnyeti na Gambo

Hawa walikuwa wana pepo yao enzi za dikteta Magufuli
 
Naomba niseme wazi,

Sishabikii Kifo Cha Rais wetu Mzilankende, Ta Mwami Magufuli Joseph pombe na haitokaa itokee nishabikie kamwe, niseme pia sitokaa nimwombee Kwa Mungu eti amweke Pahala pema peponi.

Niseme pia sishambikii Ole Sabaya kuwa jera, na hakika stokaa kamwe nimwombee kama niombeavyo wafungwa sitokaa nimwombee.

Nasema Tena siitaji kujua Pauli Chritiani Makonda A.K.A Bashite yupo wapi na anafanya Nini. Kwa kuwa sijui aliko na anafanya Nini siwezi mwombea miongoni mwa watu wasio kazi swezi mwombea kamwe na Sito Kaa nimwombee

Leo nimewaza dhidi ya matendo ya Mungu Kwa wanandamu ebu msomaji tutafakari pamoja kweli_

Leo hii Mbowe anakula Ubwabwa wa Ikulu ya magogoni Ili Hali hii miamba GEU GEU nareje Tena miamba GEUGEU Iko Iko iliko?

Wanadamu tutende mema Dunia ni hadaa!

Asubuh njema!
DUNIA TAMBALA BOVU.

DUNIA HADAA ULIMWENGU SHUJAA
 
Kutesa kwa zamu

Kila awamu lazima watakuwepo wale wanao tesa

Kuna ambao walitesa wakati wa Nyerere,wakaja wakati wa mwinyi,wakaja wakati wa mkapa,wakaja wakati wa kikwete,
Wakaja wakati wa magufuli,sahv wapo wanaotesa wakati wa SSH

OVA
 
Relax maisha yana ups and downs, kawaida hiyo kikubwa ni kuzingatia utu ukipata cheo.

Kama unavyoshangaa utapigwa butwaa ukiona tena BASHITE kasimama au SABAYA mambo yakinyoka.

Hivyo ndivyo safari ya maisha ilivyo.
Kwanini wasihukumiwe kunyongwa hao watu?
 
Pamoja na kwamba Makonda hasikiki ila bado yuko kwenye mrija wa kula!

Pamoja na kwamba Sabaya yuko jela ila soon atatoka na bado hamtalingana kimaisha, wakati yeye anakula atakacho wewe unakula unachopata.!

Pamoja na kwamba Magufuli kafa ila hajafa masikini, na wewe ukifa hutaacha legacy yoyote kwa taifa kama ilivyo kwake.
Sukuma gang mtapata tabu sana, naomba Mama awafyekelee mbali nyie wote, natumai kufika July mtakuwa mmeisha wote, mlifanya nchi mali yenu.
 
Tofauti ni kuwa wale walifanya kwa niaba ya watanzania wengi. Hawa wanafanya kwa niaba yao na washkaji zao.

Ndio wale akiwemo Magu bado wanaishi kwa watanzania. Wakati hawa japo wapo na ni wazima hawapo kwenye mioyo ya watanzania.
Wewe nawe ni li Sukuma gang tu, watu mpaka walichinja ng'ombe kufurahi kuondolewa kwa lili shetani ila wewe unasema anaishi mioyoni mwao. Labda kama anaishi kwako na Sukuma gang wenzako
 
Usipambane na watu utaahibika...

Nenda IG ukamuone Makonda anaishi bila wasi na anafahamika alipo na kutembelea wazee wenye busara ktk nchi bila shida
Hivi kwanini Bashite hatiwi ndani?
 
Back
Top Bottom