Dunia hii! Sabaya Yuko Jela, Makonda hajulikani aliko, Magufuli kaburini, Mbowe anakula ubwabwa Ikulu

Naomba niseme wazi,
Sishabikii Kifo Cha Rais wetu Mzilankende, Ta Mwami Magufuli Joseph pombe na haitokaa itokee nishabikie kamwe, niseme pia stokaa nimwombee Kwa Mungu eti amweke Pahala pema peponi stokaa.

Niseme pia sishambikii Ole Sabaya kuwa jera,na hakika stokaa kamwe nimwombee kama niombeavyo wafungwa sitokaa nimwombee.

Nasema Tena siitaji kujua Pauli Chritiani Makonda A.K.A Bashite yupo wapi na anafanya Nini,Kwa kuwa sijui aliko,na anafanya Nini siwezi mwombea miongoni mwa watu wasio kazi swezi mwombea kamwe na Sito Kaa nimwombee
Leo nimewaza dhidi ya matendo ya Mungu Kwa wanandamu ebu msomaji tutafakari pamoja kweli_
Leo hii Mbowe anakula Ubwabwa wa Ikulu ya magogoni Ili Hali hii miamba GEU GEU nareje Tena miamba GEUGEU Iko Iko iliko?

Wanandamu tutende mema Dunia ni Adaa!

Asubuh njema!
Na huenda mambo yasiishie hapo. Kuna siku utasikia, Mbowe au Lisu Rais, Sabaya (mtesaji wa Mbowe) na Makonda (muuaji aliyeksudia kumwua Lisu), wataomba ardhi iwafunike.
 
Relax maisha yana ups and downs, kawaida hiyo kikubwa ni kuzingatia utu ukipata cheo.

Kama unavyoshangaa utapigwa butwaa ukiona tena BASHITE kasimama au SABAYA mambo yakinyoka.

Hivyo ndivyo safari ya maisha ilivyo.
Kawaida ya shetani hukupumbaza na vitu ambavyo wakati wa uovu uvione ni vizuri sana, lakini mwishoni lazima akuangamize. Hawa muda wao wa kuoumbazwa na shetani umepata, sasa wapo kwenye trajectory ya kuangamia. Hawanyanyuki, hapai, maana ndiyo kanuni ya shetani.

Ingekuwa wameshushwa tu, ingeweza kutokea. Lakini hawa wametenda uovu uzaao laana. Sasa wapi katika laana.
 
Pamoja na kwamba Makonda hasikiki ila bado yuko kwenye mrija wa kula!

Pamoja na kwamba Sabaya yuko jela ila soon atatoka na bado hamtalingana kimaisha, wakati yeye anakula atakacho wewe unakula unachopata.!

Pamoja na kwamba Magufuli kafa ila hajafa masikini, na wewe ukifa hutaacha legacy yoyote kwa taifa kama ilivyo kwake.
 
Naomba niseme wazi,
Sishabikii Kifo Cha Rais wetu Mzilankende, Ta Mwami Magufuli Joseph pombe na haitokaa itokee nishabikie kamwe, niseme pia stokaa nimwombee Kwa Mungu eti amweke Pahala pema peponi stokaa.

Niseme pia sishambikii Ole Sabaya kuwa jera,na hakika stokaa kamwe nimwombee kama niombeavyo wafungwa sitokaa nimwombee.

Nasema Tena siitaji kujua Pauli Chritiani Makonda A.K.A Bashite yupo wapi na anafanya Nini,Kwa kuwa sijui aliko,na anafanya Nini siwezi mwombea miongoni mwa watu wasio kazi swezi mwombea kamwe na Sito Kaa nimwombee
Leo nimewaza dhidi ya matendo ya Mungu Kwa wanandamu ebu msomaji tutafakari pamoja kweli_
Leo hii Mbowe anakula Ubwabwa wa Ikulu ya magogoni Ili Hali hii miamba GEU GEU nareje Tena miamba GEUGEU Iko Iko iliko?

Wanandamu tutende mema Dunia ni Adaa!

Asubuh njema!
Tofauti ni kuwa wale walifanya kwa niaba ya watanzania wengi. Hawa wanafanya kwa niaba yao na washkaji zao.

Ndio wale akiwemo Magu bado wanaishi kwa watanzania. Wakati hawa japo wapo na ni wazima hawapo kwenye mioyo ya watanzania.
 
Usipambane na watu utaahibika...

Nenda IG ukamuone Makonda anaishi bila wasi na anafahamika alipo na kutembelea wazee wenye busara ktk nchi bila shida
 
Naomba niseme wazi,
Sishabikii Kifo Cha Rais wetu Mzilankende, Ta Mwami Magufuli Joseph pombe na haitokaa itokee nishabikie kamwe, niseme pia stokaa nimwombee Kwa Mungu eti amweke Pahala pema peponi stokaa.

Niseme pia sishambikii Ole Sabaya kuwa jera,na hakika stokaa kamwe nimwombee kama niombeavyo wafungwa sitokaa nimwombee.

Nasema Tena siitaji kujua Pauli Chritiani Makonda A.K.A Bashite yupo wapi na anafanya Nini,Kwa kuwa sijui aliko,na anafanya Nini siwezi mwombea miongoni mwa watu wasio kazi swezi mwombea kamwe na Sito Kaa nimwombee
Leo nimewaza dhidi ya matendo ya Mungu Kwa wanandamu ebu msomaji tutafakari pamoja kweli_
Leo hii Mbowe anakula Ubwabwa wa Ikulu ya magogoni Ili Hali hii miamba GEU GEU nareje Tena miamba GEUGEU Iko Iko iliko?

Wanandamu tutende mema Dunia ni Adaa!

Asubuh njema!
Kuna mahala inaonekana ulitegea shule kujifunza mambo ya msingi katika lugha yako ya Kiswahili. Jionee aibu kwenye hili kwanza, na mengine yatakaa sawa!
 
Majira na nyakati
Sasa tulia kwa hili ujifunze kuwa,Hakuna marefu yasiyo na ncha,Cheo ni Dhamana Sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.Cheo ni Mungu hutoa Vile vile wakati wowote ule Mungu anaweza akakunyang'anya usipokitumia vizuri.
 
Analiwa na mchwa.
Pamoja na kwamba Makonda hasikiki ila bado yuko kwenye mrija wa kula!

Pamoja na kwamba Sabaya yuko jela ila soon atatoka na bado hamtalingana kimaisha, wakati yeye anakula atakacho wewe unakula unachopata.!

Pamoja na kwamba Magufuli kafa ila hajafa masikini, na wewe ukifa hutaacha legacy yoyote kwa taifa kama ilivyo kwake.
 
Sasa tulia kwa hili ujifunze kuwa,Hakuna marefu yasiyo na ncha,Cheo ni Dhamana Sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.Cheo ni Mungu hutoa Vile vile wakati wowote ule Mungu anaweza akakunyang'anya usipokitumia vizuri.

Vyote vinaeleweka na Sote tunajifunza kila siku

Cheo ni dhamana kweli na atoae ni Mungu kwa majira na nyakati zake
 
Ukitaka kuandika jaribu kutulia! Unakuwa kama kuku aliyekatwa kichwa ghafla!
Magufuki× ni Magufuli✓, jera×ni jela✓
 
Toho
Relax maisha yana ups and downs, kawaida hiyo kikubwa ni kuzingatia utu ukipata cheo.

Kama unavyoshangaa utapigwa butwaa ukiona tena BASHITE kasimama au SABAYA mambo yakinyoka.

Hivyo ndivyo safari ya maisha iliv

Pamoja na kwamba Makonda hasikiki ila bado yuko kwenye mrija wa kula!

Pamoja na kwamba Sabaya yuko jela ila soon atatoka na bado hamtalingana kimaisha, wakati yeye anakula atakacho wewe unakula unachopata.!

Pamoja na kwamba Magufuli kafa ila hajafa masikini, na wewe ukifa hutaacha legacy yoyote kwa taifa kama ilivyo kwake.
Unajiliwaza tu,lakini ukweli ndiyo huyo,wameshuka na wamelowa,kibaya zaidi walimtegemea mtu baadala ya Mungu
 
Back
Top Bottom