Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Umesahau kumwambia pia, Japokuwa Magufuli yupo kaburini ipo siku Gwajima atamfufua na atarudi IkuluPamoja na kwamba Makonda hasikiki ila bado yuko kwenye mrija wa kula!
Pamoja na kwamba Sabaya yuko jela ila soon atatoka na bado hamtalingana kimaisha, wakati yeye anakula atakacho wewe unakula unachopata.!
Pamoja na kwamba Magufuli kafa ila hajafa masikini, na wewe ukifa hutaacha legacy yoyote kwa taifa kama ilivyo kwake.
Bashite yuko hapa njiro Arusha ila anaishi kama digidigi!Naomba niseme wazi,
Sishabikii Kifo Cha Rais wetu Mzilankende, Ta Mwami Magufuli Joseph pombe na haitokaa itokee nishabikie kamwe, niseme pia sitokaa nimwombee Kwa Mungu eti amweke Pahala pema peponi.
Niseme pia sishambikii Ole Sabaya kuwa jera, na hakika stokaa kamwe nimwombee kama niombeavyo wafungwa sitokaa nimwombee.
Nasema Tena siitaji kujua Pauli Chritiani Makonda A.K.A Bashite yupo wapi na anafanya Nini. Kwa kuwa sijui aliko na anafanya Nini siwezi mwombea miongoni mwa watu wasio kazi swezi mwombea kamwe na Sito Kaa nimwombee
Leo nimewaza dhidi ya matendo ya Mungu Kwa wanandamu ebu msomaji tutafakari pamoja kweli_
Leo hii Mbowe anakula Ubwabwa wa Ikulu ya magogoni Ili Hali hii miamba GEU GEU nareje Tena miamba GEUGEU Iko Iko iliko?
Wanadamu tutende mema Dunia ni hadaa!
Asubuh njema!
Kenge wewe!Kesi ya ugaidi iko palepale, ngoja aje Rais mwingine.
Huwezi kupanga njama za kuuwa viongozi wa serikali alafu ukaachwa hivi hivi tu.
Uzi mtamu sana ila mfupi!! Nilitaka uniwekee pamoja na akina Bashiru Ally, Deus Kakoko, Dotto James na Job Ndugai, Mnyeti na GamboNaomba niseme wazi,
Sishabikii Kifo Cha Rais wetu Mzilankende, Ta Mwami Magufuli Joseph pombe na haitokaa itokee nishabikie kamwe, niseme pia sitokaa nimwombee Kwa Mungu eti amweke Pahala pema peponi.
Niseme pia sishambikii Ole Sabaya kuwa jera, na hakika stokaa kamwe nimwombee kama niombeavyo wafungwa sitokaa nimwombee.
Nasema Tena siitaji kujua Pauli Chritiani Makonda A.K.A Bashite yupo wapi na anafanya Nini. Kwa kuwa sijui aliko na anafanya Nini siwezi mwombea miongoni mwa watu wasio kazi swezi mwombea kamwe na Sito Kaa nimwombee
Leo nimewaza dhidi ya matendo ya Mungu Kwa wanandamu ebu msomaji tutafakari pamoja kweli_
Leo hii Mbowe anakula Ubwabwa wa Ikulu ya magogoni Ili Hali hii miamba GEU GEU nareje Tena miamba GEUGEU Iko Iko iliko?
Wanadamu tutende mema Dunia ni hadaa!
Asubuh njema!
Unamaana magu alikuwa sponsoredTukumbuke ....sponsor hufariki
Hiyo yako ....babaUnamaana magu alikuwa sponsored
DUNIA TAMBALA BOVU.Naomba niseme wazi,
Sishabikii Kifo Cha Rais wetu Mzilankende, Ta Mwami Magufuli Joseph pombe na haitokaa itokee nishabikie kamwe, niseme pia sitokaa nimwombee Kwa Mungu eti amweke Pahala pema peponi.
Niseme pia sishambikii Ole Sabaya kuwa jera, na hakika stokaa kamwe nimwombee kama niombeavyo wafungwa sitokaa nimwombee.
Nasema Tena siitaji kujua Pauli Chritiani Makonda A.K.A Bashite yupo wapi na anafanya Nini. Kwa kuwa sijui aliko na anafanya Nini siwezi mwombea miongoni mwa watu wasio kazi swezi mwombea kamwe na Sito Kaa nimwombee
Leo nimewaza dhidi ya matendo ya Mungu Kwa wanandamu ebu msomaji tutafakari pamoja kweli_
Leo hii Mbowe anakula Ubwabwa wa Ikulu ya magogoni Ili Hali hii miamba GEU GEU nareje Tena miamba GEUGEU Iko Iko iliko?
Wanadamu tutende mema Dunia ni hadaa!
Asubuh njema!
Tulia weweHiyo yako ....baba
Kuna jamaa alikua anaitwa MUSIBAwapi kabudi, wapi lukuvi, wapi job, wapi bushiru, wapi mwalimu wa darasa la uongozi ? tumewamiss sana hawa mwamba.
Kamjulie hali na kuchangia jela hukoTulia wewe
Kwanini wasihukumiwe kunyongwa hao watu?Relax maisha yana ups and downs, kawaida hiyo kikubwa ni kuzingatia utu ukipata cheo.
Kama unavyoshangaa utapigwa butwaa ukiona tena BASHITE kasimama au SABAYA mambo yakinyoka.
Hivyo ndivyo safari ya maisha ilivyo.
Sukuma gang mtapata tabu sana, naomba Mama awafyekelee mbali nyie wote, natumai kufika July mtakuwa mmeisha wote, mlifanya nchi mali yenu.Pamoja na kwamba Makonda hasikiki ila bado yuko kwenye mrija wa kula!
Pamoja na kwamba Sabaya yuko jela ila soon atatoka na bado hamtalingana kimaisha, wakati yeye anakula atakacho wewe unakula unachopata.!
Pamoja na kwamba Magufuli kafa ila hajafa masikini, na wewe ukifa hutaacha legacy yoyote kwa taifa kama ilivyo kwake.
Wewe nawe ni li Sukuma gang tu, watu mpaka walichinja ng'ombe kufurahi kuondolewa kwa lili shetani ila wewe unasema anaishi mioyoni mwao. Labda kama anaishi kwako na Sukuma gang wenzakoTofauti ni kuwa wale walifanya kwa niaba ya watanzania wengi. Hawa wanafanya kwa niaba yao na washkaji zao.
Ndio wale akiwemo Magu bado wanaishi kwa watanzania. Wakati hawa japo wapo na ni wazima hawapo kwenye mioyo ya watanzania.
Hivi kwanini Bashite hatiwi ndani?Usipambane na watu utaahibika...
Nenda IG ukamuone Makonda anaishi bila wasi na anafahamika alipo na kutembelea wazee wenye busara ktk nchi bila shida