EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 10,576 Reaction score 16,644 Jan 5, 2023 #81 Dah jamaa kizibo kitakuwa kimeshafyatuliwa huko aliko
Mnyanyembe wa Mboka JF-Expert Member Joined Feb 10, 2017 Posts 2,348 Reaction score 3,038 Jan 5, 2023 #82 Saguda47 said: Relax maisha yana ups and downs, kawaida hiyo kikubwa ni kuzingatia utu ukipata cheo. Kama unavyoshangaa utapigwa butwaa ukiona tena BASHITE kasimama au SABAYA mambo yakinyoka. Hivyo ndivyo safari ya maisha ilivyo. Click to expand... Wahenga walishasema bahati haiji marabili Tatizo walijiona wanaakili sana wakasahau ni bahati tu ndio iliwafikisha pale IMEISHA HIYOOO!!?
Saguda47 said: Relax maisha yana ups and downs, kawaida hiyo kikubwa ni kuzingatia utu ukipata cheo. Kama unavyoshangaa utapigwa butwaa ukiona tena BASHITE kasimama au SABAYA mambo yakinyoka. Hivyo ndivyo safari ya maisha ilivyo. Click to expand... Wahenga walishasema bahati haiji marabili Tatizo walijiona wanaakili sana wakasahau ni bahati tu ndio iliwafikisha pale IMEISHA HIYOOO!!?
Sugar dady Senior Member Joined Dec 6, 2018 Posts 131 Reaction score 194 Jan 5, 2023 #83 Magufuli analiwa na funza tu huko aliko,daah!!Maisha haya noma sana yani..
T TikTok2021 JF-Expert Member Joined Nov 14, 2022 Posts 690 Reaction score 1,060 Jan 5, 2023 #84 hata usipofanya chochote kama unavyoeleza uzi wako hubadilishi chochote kama Makonda naendele vizuri na maisha yake hana njaa yoyote nadhani juzi umeona familia yake we endelea kuhaha mitandaoni
hata usipofanya chochote kama unavyoeleza uzi wako hubadilishi chochote kama Makonda naendele vizuri na maisha yake hana njaa yoyote nadhani juzi umeona familia yake we endelea kuhaha mitandaoni
Black Mirror JF-Expert Member Joined Oct 17, 2019 Posts 919 Reaction score 1,192 Jan 5, 2023 #85 Maisha ni somo tosha