Dunia iingilie kati, wameua tena Kamanda wa Hezbollah Lebanon

Dunia iingilie kati, wameua tena Kamanda wa Hezbollah Lebanon

Kwa hiyo uislam ulianza na nabii wa Allah aliekuwa anaitwa musa ? Kwa hiyo uislam ulivyo anzishwa tu na nabii musa muislamu ndio wakakomesha kuuwa watoto wakike?

Swali ni kwamba watu waliongezeka vipi kama kila mtoto mwanamke aliuwawa?
Uislam ulianza na nabii wa Allah aloitwa adam

Mussa ni miongoni mwa manabii wamwisho mwisho tena huko kama sijakosea baada ya nabii mussa ndio akaja issa akamalizia Muhammad s.a.w

Jibu la swali lako watoto wapya waliokua wanazliwa ndio walikua wanauliwa sio wanawake wote

Kuna watu walizaa wakaficha watoto zao kuna wengine wakauliwa kuna wengine walizaa wanaume

Kabla ya uislam kuja kueka uhuru rasmi kwamba watoto wote ni sawa wazaliwe na waishi kwa usawa
 
Uislam ulianza na nabii wa Allah aloitwa adam

Mussa ni miongoni mwa manabii wamwisho mwisho tena huko kama sijakosea baada ya nabii mussa ndio akaja issa akamalizia Muhammad s.a.w

Jibu la swali lako watoto wapya waliokua wanazliwa ndio walikua wanauliwa sio wanawake wote

Kuna watu walizaa wakaficha watoto zao kuna wengine wakauliwa kuna wengine walizaa wanaume

Kabla ya uislam kuja kueka uhuru rasmi kwamba watoto wote ni sawa wazaliwe na waishi kwa usawa
Kutetea uongo wa pedophile Muhammad ni kazi sana
 
Hezbollah walianza hii michezo ya kurusha rusha viroketi vya Israel wakaonywa na Israel hawasikii sasa majibu ya Israel yameanza kuonekana mdogo mdogo ila Hezbollah wasijitutumue kuendelea kupimana na Israel kumbuka Israel ni taifa la nuklia na ni taifa la technology na Benjamin Netanyahuu huwa hacheki na kima anaweza akapeleka misiba mizito huko Lebanon
waarab wanajisibu kuwa na kaka mkubwa wao SA , hawa waarab ni hamnazo
 
Hata Arafat alisema hivyo ila alikubali kusaini Oslo accord na akina Sharon wakatoka Gaza shida ni akina Netanyahu yeye haaminj two state solution na anaona military solution hamas wamefikia hivyo kwa kuwa hakuna political solution siku ikipatikana basi watakubali dialogue mfano mzuri ni zile majadiliano ya kisiasa kuhusu kusimamisha vita na kuachia mateka alikubali na kuachia mateka na kusimamisha cha ajabu kwa nini israel waliweza kukubali kujadiliana hilo ila majadiliano ya two state hawayataki siku zote hakuna amani ya kutishia kutokuwepo kwa mwenzako israel na palestine ni lazima zote ziwepo bila kunyanyasana ndio msingi mkuu wa amani na pia nchi kama iran zisitishiwe amani au vikwazo basi pale middle east patatulia la sivyo tutaenda hivi for next 75years tena generation hadi generation ni kuuana this cycle of maddness should stop.
hv hamjioni tabia zenu , hamuwez kuish jiran na wasio iman yenu , Chad alisaidia na akina Bokasa ila alilipa kwa kufadhiri ugaidi hapo Afrika ya kati mwaka 2013
 
Kwa kuwa Balfour declaration ilianzia oktoba 2023 au ??
wewe jitie mwehu waarab wameanza siku zote wavamia waarab na hayo maazimio mnayaombaga baada ya kudundwa na kisha mnayavunja nyie wenyew , mtu asiyewajuwa waislam anaeza pata tabu saba , mnapenda kuhadithia upande wa simulizi unaowabeba
 
Ungejibu hoja , ilikuwaje dini yake ikapotea , na ilimchukua mda gani kuirudisha tena
Hoja hujibiwa ikiulizwa sasa utajibiwaje kitu usichouliza

Unataka kujua wakati gani sasa baada ya s.a.w ama kabla ya s.a.w???
 
wewe jitie mwehu waarab wameanza siku zote wavamia waarab na hayo maazimio mnayaombaga baada ya kudundwa na kisha mnayavunja nyie wenyew , mtu asiyewajuwa waislam anaeza pata tabu saba , mnapenda kuhadithia upande wa simulizi unaowabeba
Braza mimi mambo ya udini sijadili by the way hivi akina mandela na wao qalikuwa waislamu walipokuwa wanawasaidia wapalestina akina fidel castro nao walikuwa waislamu miaka ile ya 1970 to 80 wahafidhina akina Netanyahu waliona shida ni ujamaa kqa kuwa wajamaa waliwasapoti wapalestina kwa nguvu zao zote wakatumia malobbyist wao huko usa mpaka wakasaidia kusambaratisha kitovu cha ujamaa ili wapalestina wakose support na nguvu ya kuunda two state ipoteee ila baada ya kuanguka ujamaa wanaona kilichobakia ni uislam ndio unatoa support wasichoelewa ni kuwa the existing order sasa iko challenged kila kona na itaanguka na kuzaliwa multipolar order hapo ndio wanaweweseka sasa kama unakalia kwenye udini endelea lakini hii inaonyesha kuwa hujui unachojadili
Kafanye rejeo la jinsi zionist walifanikiwa kupata Balfour declaration na ndio imeleta shida hadi .
Mwisho amani ni zao la dialogue na the best victory ni bila kurusha hata bullet wapalestina wanatKa taifa lao na waisrael wawe na taifa lao dialogue inaweza solve hilo na wala sio vita .
 
hv hamjioni tabia zenu , hamuwez kuish jiran na wasio iman yenu , Chad alisaidia na akina Bokasa ila alilipa kwa kufadhiri ugaidi hapo Afrika ya kati mwaka 2013
Acha udini ndugu jadili hoja hapa sio kanisani wala msikitini kuwa tunatafuta namna ya kutafuta mema ya kwenda mbinguni jadili ya ulimwengu kama yalivyo lete hoja tujadili na sio vioja vya udini usituchanganyie habari au kama unatafuta exit arena kila la heri
 
Dunia iwazuie hawa mayahudi. Wameua yena Kamanda Mwandamizi (Senior Commander) wa Hezbollah huko Lebanon.

Jamaa wanapiga kila sehemu hawa Waisrael nashindwa waelewa. Wanaenda piga kuua maadui hadi nchi nyingine? Dunia inaangalia tu. Ni nini hiki jamani? Hali ni mbaya kwa sasa jamaa wameamua kupiga kila anapoonekana adui. Nauliza ni suala la mateka tu au jingine? Mbona ni kama wana hasira sana? Russia na China ingilieni please. Iran unasubiri nini wewe Taifa kubwa?

Hawa Mayazuni wameyatimba sasa.... Nakuambia watakwisha. Makafir hawa wanatunyanya hivi? Hatutaacha kupambana nao kwenye mitandao mpaka nao waishe.

Ritz Malaria 2 ChoiceVariable tusikate tamaa ndugu zanguni. Nasi tulipize humu JF tusiwaache wenzetu ukiwa. Mpaka makafir waombe poooh.

====
A senior Hezbollah commander was killed in an Israeli drone strike on his car in southern Lebanon, a Lebanese security source told CNN on Monday, as fears of a wider regional conflict escalate.

The official, Wissam Tawil, is the most senior member of the Shiite militant group to be killed in an Israeli strike since Hezbollah and Israel began trading fire across the Lebanese-Israeli border on October 8, the day after Hamas carried out the deadliest terror attack in Israel’s history.

In a statement, Hezbollah also acknowledged the death of Tawil, who also went by the nom de guerre Hajj Jawad, in an Israeli attack. The paramilitary group shared pictures of him alongside other top Hezbollah officials and Qasem Soleimani, the former commander of the Iranian elite unit that handles the country’s overseas operations who was killed in a US airstrike fouryears ago, an apparent indication of Tawil’s stature.

Israel later claimed responsibility for Tawil’s death. “As for the hit in south Lebanon, we did take responsibility,” Israel’s foreign minister Israel Katz said in an interview with Israel’s Channel 14, “This is part of our war.”

“We are targeting Hezbollah’s people, the infrastructure, the systems they managed to put in place in order to deter Israel,” Katz said.

“We make them pay a price; we did not set a goal to thwart 150,000 missiles. We set a goal to restore security to the residents of the north, to restore security to the residents of the south and to the state of Israel,” the minister said.

CCN

IMG_4799.jpg

mabwana zako wanachezea kichapo
 
Kwa tumbo na ugali wa mlenda hoyeeh
In Magufuli voice
Sasa kazi ya forum kama hii ni nini
Huna cha kujadili huna maoni kichwani tulia tuuh mwananzengo. Acha wenye cha kujadili waseme wewe wengine watakusaidia kukuzungumzia ni hulka yako kuongozwa tu.
Dunderhead

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wanafurahia binadamu wengine kuuawa tena kikatil kisa tu mihemko ya kidini ,acheni uhuni jamii ya waarabu pale middle east hasa Palestine wanapigwa kila upande na wanaangamia mamia kila cku ,wew unaeshabikia hii vita huna akili .
 
Back
Top Bottom