akajasembamba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 1,179
- 1,794
Hongera IDF kwa utaalamu wa kuwasaka na kuwaua viongozi wa Magaidi huko walipo tofauti na wao wahuni wanaoteka vibibi vizee na meli za kiraia. RIP Mollel na Mtenga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshaua mtoto wa kike nani anakuja kuwa mama wa badae?Kwani watu wakifa hua hawazaliwi wengine
Sasa hapo mie na wewe nani ana PhD ya ujinga?
Nani watazaa na umesema watoto wakike walikuwa wanauliwaKwani watu wakifa hua hawazaliwi wengine
Apa Kuna point kubwa nyingine uislam haukuwepo kabla ya Muhammad , ulikuja ukamkuta mwanamke anadhalilishwa ..Bila uislamu kua imara hata wewe leo pengine usingekuwepo uislam ulikuja ukamkuta mwanamke anadhalilishwa ana dunishwa anaonekana sii lolote wengine watoto wakike wakizaliwa tu wanauliwa uislamu ukaja ukaondoa huu ujinga
Hilo tego tu,huyo ataliwa kichwa akionana tu na hao jamaa.France official Na Blinken wametangaza kukutana Na Hassan Nasrallah kiongozi Wa Hizbollah ili kuzuia mashambulizi
Hahahahaha mpaka mseme nyie magaidi wa kiislamuTaqbir, tunatangaza Fatwa dhidi ya Mayahudi.
Kama walijua Hilo vizuri.Vitani vifo haviepukiki, idadi ya wanaokufa ndio hasara.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
DOH!Hilo tego tu,huyo ataliwa kichwa akionana tu na hao jamaa.
Nyie kobaz akili zenu zinawaza biriani tu na bikra ahera.
Watasema Israel ambao washahamisha watu toka mpakani mpaka Karibu Na miji ya kanda ya Kati ya Israel Kwa kukimbia Hizbollah.Hahahahaha mpaka mseme nyie magaidi wa kiislamu
😂😂😂Dunia iwazuie hawa mayahudi. Wameua yena Kamanda Mwandamizi (Senior Commander) wa Hezbollah huko Lebanon.
Jamaa wanapiga kila sehemu hawa Waisrael nashindwa waelewa. Wanaenda piga kuua maadui hadi nchi nyingine? Dunia inaangalia tu. Ni nini hiki jamani? Hali ni mbaya kwa sasa jamaa wameamua kupiga kila anapoonekana adui. Nauliza ni suala la mateka tu au jingine? Mbona ni kama wana hasira sana? Russia na China ingilieni please. Iran unasubiri nini wewe Taifa kubwa?
Hawa Mayazuni wameyatimba sasa.... Nakuambia watakwisha. Makafir hawa wanatunyanya hivi? Hatutaacha kupambana nao kwenye mitandao mpaka nao waishe.
Ritz Malaria 2 ChoiceVariable tusikate tamaa ndugu zanguni. Nasi tulipize humu JF tusiwaache wenzetu ukiwa. Mpaka makafir waombe poooh.
====
A senior Hezbollah commander was killed in an Israeli drone strike on his car in southern Lebanon, a Lebanese security source told CNN on Monday, as fears of a wider regional conflict escalate.
The official, Wissam Tawil, is the most senior member of the Shiite militant group to be killed in an Israeli strike since Hezbollah and Israel began trading fire across the Lebanese-Israeli border on October 8, the day after Hamas carried out the deadliest terror attack in Israel’s history.
In a statement, Hezbollah also acknowledged the death of Tawil, who also went by the nom de guerre Hajj Jawad, in an Israeli attack. The paramilitary group shared pictures of him alongside other top Hezbollah officials and Qasem Soleimani, the former commander of the Iranian elite unit that handles the country’s overseas operations who was killed in a US airstrike fouryears ago, an apparent indication of Tawil’s stature.
Israel later claimed responsibility for Tawil’s death. “As for the hit in south Lebanon, we did take responsibility,” Israel’s foreign minister Israel Katz said in an interview with Israel’s Channel 14, “This is part of our war.”
“We are targeting Hezbollah’s people, the infrastructure, the systems they managed to put in place in order to deter Israel,” Katz said.
“We make them pay a price; we did not set a goal to thwart 150,000 missiles. We set a goal to restore security to the residents of the north, to restore security to the residents of the south and to the state of Israel,” the minister said.
CCN
wewe mchambia rungu za wenzio muliopewa baraka ewe mbarikiwa endelea kuchambia rungu za wenzioHahahahaha mpaka mseme nyie magaidi wa kiislamu
Kuna sehemu uliambiwa waliuliwa wote?Umeshaua mtoto wa kike nani anakuja kuwa mama wa badae?
Kwa bahati mbaya ama nzuri wala haikua wakati wa nabii Muhammad s.a.wNani watazaa na umesema watoto wakike walikuwa wanauliwa
Embu elezea huo uongo wa Muhammad nikuelewe au wanaume walikuwa wanazaa
Adam a.s ambae ndio binaadam wakwanza alikua muislamApa Kuna point kubwa nyingine uislam haukuwepo kabla ya Muhammad , ulikuja ukamkuta mwanamke anadhalilishwa ..
Watoto wa kike wakizaliwa tu wanauliwa , SWALI BINADAMU WALIONGEZEKA VIPI KAMA WATOTO WA KIKE WAKIZALIWA TU WANAULIWA
Ni wa aina gani walikuwa wanauliwa? Na kwa Nini?Kuna sehemu uliambiwa waliuliwa wote?
Kwa hiyo uislam ulikuwepo na watoto wa kike walikuwa wanauliwa?Adam a.s ambae ndio binaadam wakwanza alikua muislam
Kuhusiana na watoto kuuliwa walikua wanauliwa nakuuliwa mpaka wakaja kukomeshwa na uislam kupitia nabii Mussa a.s kwahio uzao ukawa unaendelea mpaka leo hii
Kwa hiyo uislam ulianza na nabii wa Allah aliekuwa anaitwa musa ? Kwa hiyo uislam ulivyo anzishwa tu na nabii musa muislamu ndio wakakomesha kuuwa watoto wakike?Kuhusiana na watoto kuuliwa walikua wanauliwa nakuuliwa mpaka wakaja kukomeshwa na uislam kupitia nabii Mussa a.s kwahio uzao ukawa unaendelea mpaka leo hii
Niwatoto wakike ndio walikua wanauliwaNi wa aina gani walikuwa wanauliwa? Na kwa Nini?
Uislamu ulikuepo kuna kipindi ukapoteza nguvu na hapa yakafanyika mabalaa yaliofanyika kabla ya kuja kupata tena nguvu nakueka mambo sawaKwa hiyo uislam ulikuwepo na watoto wa kike walikuwa wanauliwa?