F9T
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,677
- 4,959
Hayupo muislamu asiyejua kushika mtutu 🤣🤣Nasrallah sheikh tu Kama sheikh Yasin,sidhani Kama anajua hata kushika bunduki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayupo muislamu asiyejua kushika mtutu 🤣🤣Nasrallah sheikh tu Kama sheikh Yasin,sidhani Kama anajua hata kushika bunduki
Sasa kama waisrael wanaendelea kufa Kwa wingi mbona mnawalalamikia vita waisitishe?🤣🤣Hezbollah hata akiuawa askari mdogo au mkubwa wanatangaza hila israel wanaficha hata idadi ya majeruhi na km israel wangekuwa wana tangaza idadi yao waliokufa km hezbollah mngewahurumia badala ya kuwasifia mfano oficer wa mossad alieuwawa bomu la kutega kwenye gari tel aviv mpk leo israel hata jina hawajamtaja na vyombo vya israel wamepgwa mkwara wasitaje lakini tunajua wengi tu washakufa na wataendelea kufa
Sasa kwanini mkayatimba? Yaani ufanye ugomvi na mtoa roho unataka nini wewe?Ivi watu wanavyosema Israel mtoa roho mnafikiri walikuwa wanamaanisha nini
Israel wanamsemo wao "WE NEVER FORGET" wakimaanisha HATUSAHAUngoja wavunje miguu yake kwanza ikifika kichwa bas kujirud kama zaman inakuwa ngumu
Unaiamini qur an?Ardhi ya watu ni ipi? Kwani Palestine ilishawahi kuwepo mbona hata Quran hakuna sehemu imelitaja taifa la wapalestina ila Israel imetajwa kwenye Quran sasa sijui huwa ni ardhi ipi ya wapalestina huwa mnadai labda Gaza ndio saizi yao
Kama huoni itakua umekua kipofu kijana hayo majengo yanafugiwa kuku?Humu mlituambia Israel inawaogopa Hezbollah kama ukoma Leo Hezbollah wanatandikwa kila uchwao na viongozi wao wa ngazi za juu wauawa lakini hatuoni jibu LA maana zaidi ya kurusha vijiroketi na kuharibu majengo[emoji23][emoji23][emoji23].
Kwani mna fesi ngapi[emoji1787]Mbona wapo hapo Gaza wanaendelea kuigeuza Gaza kuwa majivu na kuteka maeneo ya Hamas na kuuawa viongozi Hamas phase 3 ndio tutawaokoa mateka tunajua wapo nje ya Gaza
Ili kuepuka lawama lazima apate sababu.Sidhanii kama israhell kama walikua wanatafuta sababu
Israhell chini ya mama ake uk na ant yake us akiamua kufanya anafanya tuuu
Israhell haiogopi lawama kudhania israhell inaogopa lawama nikujidanganyaIli kuepuka lawama lazima apate sababu.
Na kashaipata sasa ni kutembeza kipigo tu.
Akishakufa kibudu watampiga picha wakiwa wanamlilia
Unaongea kishambengaDunia iwazuie hawa mayahudi. Wameua yena Kamanda Mwandamizi (Senior Commander) wa Hezbollah huko Lebanon.
Jamaa wanapiga kila sehemu hawa Waisrael nashindwa waelewa. Wanaenda piga kuua maadui hadi nchi nyingine? Dunia inaangalia tu. Ni nini hiki jamani? Hali ni mbaya kwa sasa jamaa wameamua kupiga kila anapoonekana adui. Nauliza ni suala la mateka tu au jingine? Mbona ni kama wana hasira sana? Russia na China ingilieni please. Iran unasubiri nini wewe Taifa kubwa?
Hawa Mayazuni wameyatimba sasa.... Nakuambia watakwisha. Makafir hawa wanatunyanya hivi? Hatutaacha kupambana nao kwenye mitandao mpaka nao waishe.
Ritz Malaria 2 ChoiceVariable tusikate tamaa ndugu zanguni. Nasi tulipize humu JF tusiwaache wenzetu ukiwa. Mpaka makafir waombe poooh.
====
A senior Hezbollah commander was killed in an Israeli drone strike on his car in southern Lebanon, a Lebanese security source told CNN on Monday, as fears of a wider regional conflict escalate.
The official, Wissam Tawil, is the most senior member of the Shiite militant group to be killed in an Israeli strike since Hezbollah and Israel began trading fire across the Lebanese-Israeli border on October 8, the day after Hamas carried out the deadliest terror attack in Israel’s history.
In a statement, Hezbollah also acknowledged the death of Tawil, who also went by the nom de guerre Hajj Jawad, in an Israeli attack. The paramilitary group shared pictures of him alongside other top Hezbollah officials and Qasem Soleimani, the former commander of the Iranian elite unit that handles the country’s overseas operations who was killed in a US airstrike fouryears ago, an apparent indication of Tawil’s stature.
Israel later claimed responsibility for Tawil’s death. “As for the hit in south Lebanon, we did take responsibility,” Israel’s foreign minister Israel Katz said in an interview with Israel’s Channel 14, “This is part of our war.”
“We are targeting Hezbollah’s people, the infrastructure, the systems they managed to put in place in order to deter Israel,” Katz said.
“We make them pay a price; we did not set a goal to thwart 150,000 missiles. We set a goal to restore security to the residents of the north, to restore security to the residents of the south and to the state of Israel,” the minister said.
CCN
hao waolia ni waizraeliSi wanasema waisraeli wamezidiwa
Hiyo ndio intelijensia katika ubora wake, ukiona kamanda mkubwa anauliwa,ujue kuna intelijensia kubwa imefanyika kujua mienendo yake, hapo utakuta, Mpishi wake, au, baadhi ya walinzi, wake, ni maspy wa Mossad, au utakuta yule kiongozi wao mkubwa anayevaa vilemba na madela, ndio spy wa mossad,Dunia iwazuie hawa mayahudi. Wameua yena Kamanda Mwandamizi (Senior Commander) wa Hezbollah huko Lebanon.
Jamaa wanapiga kila sehemu hawa Waisrael nashindwa waelewa. Wanaenda piga kuua maadui hadi nchi nyingine? Dunia inaangalia tu. Ni nini hiki jamani? Hali ni mbaya kwa sasa jamaa wameamua kupiga kila anapoonekana adui. Nauliza ni suala la mateka tu au jingine? Mbona ni kama wana hasira sana? Russia na China ingilieni please. Iran unasubiri nini wewe Taifa kubwa?
Hawa Mayazuni wameyatimba sasa.... Nakuambia watakwisha. Makafir hawa wanatunyanya hivi? Hatutaacha kupambana nao kwenye mitandao mpaka nao waishe.
Ritz Malaria 2 ChoiceVariable tusikate tamaa ndugu zanguni. Nasi tulipize humu JF tusiwaache wenzetu ukiwa. Mpaka makafir waombe poooh.
====
A senior Hezbollah commander was killed in an Israeli drone strike on his car in southern Lebanon, a Lebanese security source told CNN on Monday, as fears of a wider regional conflict escalate.
The official, Wissam Tawil, is the most senior member of the Shiite militant group to be killed in an Israeli strike since Hezbollah and Israel began trading fire across the Lebanese-Israeli border on October 8, the day after Hamas carried out the deadliest terror attack in Israel’s history.
In a statement, Hezbollah also acknowledged the death of Tawil, who also went by the nom de guerre Hajj Jawad, in an Israeli attack. The paramilitary group shared pictures of him alongside other top Hezbollah officials and Qasem Soleimani, the former commander of the Iranian elite unit that handles the country’s overseas operations who was killed in a US airstrike fouryears ago, an apparent indication of Tawil’s stature.
Israel later claimed responsibility for Tawil’s death. “As for the hit in south Lebanon, we did take responsibility,” Israel’s foreign minister Israel Katz said in an interview with Israel’s Channel 14, “This is part of our war.”
“We are targeting Hezbollah’s people, the infrastructure, the systems they managed to put in place in order to deter Israel,” Katz said.
“We make them pay a price; we did not set a goal to thwart 150,000 missiles. We set a goal to restore security to the residents of the north, to restore security to the residents of the south and to the state of Israel,” the minister said.
CCN
Ndo inakuaje hivyo?Unaongea kishambenga
Mtu kajishibia ugali wa mlenda huko maeneo ya kwa Tumbo, anatoa ushauri wa kivita kwa Israeli.Bora wakubali kushindwa kudogo kuliko kungangania watapata aibu kubwa zaidi they lost it kujipanga upya si ujinga wakafanye dialogue ya peace na wapalestina hususani hao hamas na other actors kwa kuwa inachoonekana hamas na wenzao wamejitengenezea kasystem kakupambana na kanahusisha sehemu kubwa Yemen na kwingineko hii sio vita ya kupigana unapigana ktk eneo kubwa sana na watu wengi sana na wengine wanaminya kasehemu kadogo tu wanakupiga tu na huwafanyi kitu ikishakuwa hivyo kama wapo wenye akili watasimamisha hii vita na kurudi kwenye dialogue .
Israeli hatangazi idadi ila wewe unaijua, hoja nyingine vichekesho.Hezbollah hata akiuawa askari mdogo au mkubwa wanatangaza hila israel wanaficha hata idadi ya majeruhi na km israel wangekuwa wana tangaza idadi yao waliokufa km hezbollah mngewahurumia badala ya kuwasifia mfano oficer wa mossad alieuwawa bomu la kutega kwenye gari tel aviv mpk leo israel hata jina hawajamtaja na vyombo vya israel wamepgwa mkwara wasitaje lakini tunajua wengi tu washakufa na wataendelea kufa
Wacha maneno weka evidence. Mbona evidence za Israel zinawekwa!!!Kama huoni itakua umekua kipofu kijana hayo majengo yanafugiwa kuku?