Dunia iingilie kati, wameua tena Kamanda wa Hezbollah Lebanon

Dunia iingilie kati, wameua tena Kamanda wa Hezbollah Lebanon

Hapana mkuu; Vita ipo na inaendelea kwani wahusika wamesema hayo wao wenyewe i.e. From the Horse's mouth. Sasa hawa watoa taarifa (Media) ya ni nini kinaendelea ndo shida.
Sasa hao waliotoa taarifa wewe mlaji ulizila kupitia nini si hizo hizo media mzee au ulizilaje?

Kwenye media ukweli upo ila uongo upo sana hasa kwenye suala la vita

Inatakiwa ufanye mchujo sana kupata taarifa sahihi

Mchujo unaufanyaje ama unaupataje unapitia vyombo ama media zaidi ya moja za mirengo yote west east na ambavyo vipo haviegemei popote

Naelewa hofu na mashaka yako pia naungana nayo
 
Dunia iwazuie hawa mayahudi. Wameua yena Kamanda Mwandamizi (Senior Commander) wa Hezbollah huko Lebanon.

Jamaa wanapiga kila sehemu hawa Waisrael nashindwa waelewa. Wanaenda piga kuua maadui hadi nchi nyingine? Dunia inaangalia tu. Ni nini hiki jamani? Hali ni mbaya kwa sasa jamaa wameamua kupiga kila anapoonekana adui. Nauliza ni suala la mateka tu au jingine? Mbona ni kama wana hasira sana? Russia na China ingilieni please. Iran unasubiri nini wewe Taifa kubwa?

Hawa Mayazuni wameyatimba sasa.... Nakuambia watakwisha. Makafir hawa wanatunyanya hivi? Hatutaacha kupambana nao kwenye mitandao mpaka nao waishe.

Ritz Malaria 2 ChoiceVariable tusikate tamaa ndugu zanguni. Nasi tulipize humu JF tusiwaache wenzetu ukiwa. Mpaka makafir waombe poooh.

====
A senior Hezbollah commander was killed in an Israeli drone strike on his car in southern Lebanon, a Lebanese security source told CNN on Monday, as fears of a wider regional conflict escalate.

The official, Wissam Tawil, is the most senior member of the Shiite militant group to be killed in an Israeli strike since Hezbollah and Israel began trading fire across the Lebanese-Israeli border on October 8, the day after Hamas carried out the deadliest terror attack in Israel’s history.

In a statement, Hezbollah also acknowledged the death of Tawil, who also went by the nom de guerre Hajj Jawad, in an Israeli attack. The paramilitary group shared pictures of him alongside other top Hezbollah officials and Qasem Soleimani, the former commander of the Iranian elite unit that handles the country’s overseas operations who was killed in a US airstrike fouryears ago, an apparent indication of Tawil’s stature.

Israel later claimed responsibility for Tawil’s death. “As for the hit in south Lebanon, we did take responsibility,” Israel’s foreign minister Israel Katz said in an interview with Israel’s Channel 14, “This is part of our war.”

“We are targeting Hezbollah’s people, the infrastructure, the systems they managed to put in place in order to deter Israel,” Katz said.

“We make them pay a price; we did not set a goal to thwart 150,000 missiles. We set a goal to restore security to the residents of the north, to restore security to the residents of the south and to the state of Israel,” the minister said.

CCN
Wewe ni mpalestina,muirani,mlebanoni au ni muathirika tu wa ukoloni wa kiarabu?
 
Sasa hao waliotoa taarifa wewe mlaji ulizila kupitia nini si hizo hizo media mzee au ulizilaje?

Kwenye media ukweli upo ila uongo upo sana hasa kwenye suala la vita

Inatakiwa ufanye mchujo sana kupata taarifa sahihi

Mchujo unaufanyaje ama unaupataje unapitia vyombo ama media zaidi ya moja za mirengo yote west east na ambavyo vipo haviegemei popote

Naelewa hofu na mashaka yako pia naungana nayo
Tuko pamoja mkuu.
 
Wao wanaua mtu mmoja Hizbullah wenzao wanakunja kambi nzima

Halaf idadi wanawaachieni wenyewe mkitoa msitoe shauri zenu
Endeleeni kujifariji na ujinga wakati wenzenu huko Palestina wanapukutika kama nzige. Viongozi wa magaidi wanauawawa kila leo, halafu utegemee kuna uhai wa hivyo vikundi vya kigaidi kweli?
 
Wao wanaua mtu mmoja Hizbullah wenzao wanakunja kambi nzima

Halaf idadi wanawaachieni wenyewe mkitoa msitoe shauri zenu
Imeandikwa( nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika)

Hii maana yake ukimpiga kongozi unaua uelekeo wa genge..
Umeua maono ya genge
Umevunja kiungo cha genge
Umeharibu mrija wa ufadhili.
Umesambaratisha kundi.

Subiria viongozi wote wamalizwe
 
Mitandaoni huko wanasema wamelipiza kwa kupiga idf northern command headquarter hao hizbullah wanaguts wao wakipiga individuals wao wanafumua structure ya jeshi na mifumo yake ili kikiwaka waanze kutafutana
Suluhisho ni amani dialogue hizi piga nikupige zinafanya idf izoelekee na kuonekana si chochote si lolote wao akina Netanyahu na usa wakaombe pooh kwa wairan wazungumze wasitishie usalama wa existence ya islamic govt ya wairan hapo ndio wataenjoy peace middle east la sivyo itakuwa kuwindana kila siku piga nikupige.

Nasikia mifumo ya mawasiliano imepigwa tena ile kubwa 😁😁
 
Leo mayahudi weusi wanajifanya kubadili dini
Kwa unafiki hamjambo
Ila mayahudi idadi zao ni siri
Sijui wale wanawake wa kiyahudi waliokamatwa walikuwa ni shemale au
Maana kuna mashoga zaidi ya straight kwa sasa
 
Lile jengo walilokua wanafugia kuku

Uzuri nikwamba hakuna siku kambi za mazayuni na marekani zinapigwa zikaua watu

Siku zote hua zinaharibu majengo tu kwahio acha tu Hizbullah waendelee kuyaharibu hayo hayo majengo sio mbaya wala nini

Kama yanaharibu majengo tu waregesheni wale wazayuni kule kaskazini walipo hama msiwarundike sehem moja kama nyanya
Tofauti ya hebollah, Hamas na Israel ni kuwa Israel imewekeza kulinda raia wake lakini Hezbollah na Hamas wanawatumia raia kama kinga
 
Ivi watu wanavyosema Israel mtoa roho mnafikiri walikuwa wanamaanisha nini

Ndiyo hapo Sasa , walifikiri wamejiandaa vya kutosha yale mahandaki yamewadanganya , wamechokoza muziki wenyewe , sasa watacheza nao !
 
Dunia iwe inaingilia kati kwa usawa yanapotokea kwa wayahudi na Gaza


Yaani uchokoze halafu utegemee dunia iingilie kwa usawa , usawa upi pale , I feel sorry for children and innocent people of Gaza , Hamas wamewaponza !
 
Ni Kweli Wabishi Hawaishi lakini hawadumu Bora Uwe Mpole Uzeeke Na Amani
Hio nidhamu ya uoga tunayo mimi na wewe mzeee
Kuna watu kwakua wanaamini kufa kupo basi utakufa tu hata iweje
Tena wanaamini unaweza ukawa mpole na ukafa kikatili hata huo uzee usiufikie wala kuukaribia
Tena wanaamini ukifa unakipambania chako katika umri wowote ule nibora kuliko kufa kitandani kwa maradhi
 
Endeleeni kujifariji na ujinga wakati wenzenu huko Palestina wanapukutika kama nzige. Viongozi wa magaidi wanauawawa kila leo, halafu utegemee kuna uhai wa hivyo vikundi vya kigaidi kweli?
Endelea kuimba imba taarab jiulize muasisi wa hamas yuko wapi halaf baada ya kufa yeye hamas leo iko wapi

Suala la kuifuta hamas mtaliota mpaka mnaingia kaburini hamas ipo sana

Kama unadhani kuifuta hamas inawezekana tuendelee kuuomba uhai na uzima tuone mwisho wa hii mbungi uone kama kuna hamas itayofutwa

Mwisho unadhani mie na wewe tutaishi milele kwakua eti hatupo ghaza pole sana kijana
 
Maliza magaidi yote ya kiislamu.
Wakat huo wewe upo zako kwenye kibod nenda kawasaidie wazayuni wenzako ila ubaya nikwamba hata mshirikiane dunia nzima kama mfanyavyo sasa

Suala la kuumaliza uislamu na waislamu yaani halipo kabisaaaa

Uislam upo upo sanaaaaaaaa
 
Tofauti ya hebollah, Hamas na Israel ni kuwa Israel imewekeza kulinda raia wake lakini Hezbollah na Hamas wanawatumia raia kama kinga
Kama wangekua wanaweza kulinda raia wake wangeenda kuwaokoa kwanza magaidi wao waliotekwa
 
Back
Top Bottom