Dunia iingilie kati, wameua tena Kamanda wa Hezbollah Lebanon

Wao wanaua mtu mmoja Hizbullah wenzao wanakunja kambi nzima

Halaf idadi wanawaachieni wenyewe mkitoa msitoe shauri zenu
Bora wakubali kushindwa kudogo kuliko kungangania watapata aibu kubwa zaidi they lost it kujipanga upya si ujinga wakafanye dialogue ya peace na wapalestina hususani hao hamas na other actors kwa kuwa inachoonekana hamas na wenzao wamejitengenezea kasystem kakupambana na kanahusisha sehemu kubwa Yemen na kwingineko hii sio vita ya kupigana unapigana ktk eneo kubwa sana na watu wengi sana na wengine wanaminya kasehemu kadogo tu wanakupiga tu na huwafanyi kitu ikishakuwa hivyo kama wapo wenye akili watasimamisha hii vita na kurudi kwenye dialogue .
 
Shida ni kwamba israhell aliiaminisha dunia kua yeye ni mkubwa hapigiki na ana maguvu

Sasa akikubali kucheza ngoma aloitaka hamas watu watajua udhaifu wake wawazi wazi pia

Na wanao muunga mkono kina us na shost zake pia wanaamini ama waliiaminisha dunia kua wakubwa wana final say ya mambo yote makubwa hapa duniani

Sasa wakiangalia ukraine mambo yameenda tirigivyogo na hapo ghaza mambo yanaenda tirigivyogo

Wanajua wakikubali kushindwa watakua wamefikisha rasmi ule ukubwa walokua wanaamini kua wanao wakati kiuhalisia hawakua nao

Maana wanapigwa ghaza wanaishia kuua wamama na watoto hamas wapo mwezi wanne leo tumeuingia na ukraine napo wamepeleka kila kitu ila wamefeli vibaya sanaaa

Hivi vita ziendeleazo nikwamba hamas wanapigania uwepo wao na haki zao ila israhell Americant na shoga zake wanapigania ushawishi wao wanajua wakikubali tu basi wamepoteza pakubwa sana sana sanaa

Ila kwa hali inavyoelekea watakubali tu hata kishingo upande
 
Wewe acha kuandika magazeti humu, vaa bomu kimbilia Gaza ukawapiganie wenzako, mbona unakuwa goigoi?
 
Israel watakuwa hawafanyi chochote kama hawatamwondoa mtu anayeitwa Hassan Nasrallah kinara wa kundi la kigaidi la Hamas maanake ndio gaidi mkuu.
Nasrallah sheikh tu Kama sheikh Yasin,sidhani Kama anajua hata kushika bunduki
 
Israel watakuwa hawafanyi chochote kama hawatamwondoa mtu anayeitwa Hassan Nasrallah kinara wa kundi la kigaidi la Hamas maanake ndio gaidi mkuu.
Vuta subra mkuu. Hivi punde tu utaskia "Tyip' " kesha lambwa kichwa. Hawa jamaa (Myahudi)cjui hata wanalalaga saa ngapi.
 
Wao wanaua mtu mmoja Hizbullah wenzao wanakunja kambi nzima

Halaf idadi wanawaachieni wenyewe mkitoa msitoe shauri zenu
Kha! Eti wanakunja kambi nzima. Wangekuwa wanauwezo huo au walau walishawahi kufanikiwa kwenye hilo, hayo matangazo na mbwembwe lukuki nafasi isingetosha i.e. visingelienea hapa. Ila kambi za huku bongo ni kweli zinakunjwa sana na idadi haitolewi - c unajua tena.
 
Waache MAYAHUDI waendelee kuchapwa bakora
 
itazuia kutoka wap kwa mfano 🐒
 
Hahahahahaha, ngoja tupambane na makafiri mitandaoni mpaka waombe poo.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
kipind mnashambulia mnashangilia ila mkijibiwa mnauliza sababu ni ipi ya kuuliwa wapiganaj wenu ? hii dini ya wavaa kobaz ili ikuingie lzm ujitoe akili
 
Israel watakuwa hawafanyi chochote kama hawatamwondoa mtu anayeitwa Hassan Nasrallah kinara wa kundi la kigaidi la Hamas maanake ndio gaidi mkuu.
ngoja wavunje miguu yake kwanza ikifika kichwa bas kujirud kama zaman inakuwa ngumu
 
Hamas charter haisemi hivyo! Wao ni kuwa peace itapatikana tu pale watakapowateketeza wote.
 
Hezbollah hata akiuawa askari mdogo au mkubwa wanatangaza hila israel wanaficha hata idadi ya majeruhi na km israel wangekuwa wana tangaza idadi yao waliokufa km hezbollah mngewahurumia badala ya kuwasifia mfano oficer wa mossad alieuwawa bomu la kutega kwenye gari tel aviv mpk leo israel hata jina hawajamtaja na vyombo vya israel wamepgwa mkwara wasitaje lakini tunajua wengi tu washakufa na wataendelea kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…