Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Netanyahu ana msemo mmoja tu, who ever hurt us we will hurt him. Kinachofuata ni vitendo tu"Our response will be decisive and unforgettable”-Iran
Zingatia zaidi hayo maneno yenye rangi nyekundu.
Ndio maana kuna msemo wa iraeli mkata roho...Ayatollah anaenda kumalizwa na uhakika siku si nyingi, huko Tehran, sbb wayahudi wana tabia ya kuwaua viongozi wazi wazi na wao kupigwa risasi na kuuawa kuna mifano mingi, Ayatollah akae kwenye handaki au wapi watamfuata najua, kama ilivyo kwa Rais wa Iran alivyouawa kwenye ile ajali, Ayatollah nae akae chonjo sana sbb wayahudi ni wakata roho za watu kwa uhakika
Absolutely true😂😂😂😂😂😂😂😂MKUU WEWE NI MUONGOO.
Embu nenda kahungame dhambi ya uongo kwanza.
Wewe nani kakwambia Iran anaiogopa Israel!?
Kama Iran anaiogopa Israel je angeweka jeshi Syria na Kuisaidia Hizbollah??
Hivi unajua kama Hizbollah inayoishambulia Israel tokea Oktoba 7 inasaidiwa na Iran!?
Kama angekua Iran anaiogopa Israel asingejisogeza Syria na Lebanon.
-Halafu uache UONGO kisasi cha Qassem Soleiman pale Iraq kililipwa kambi ya USA ilipigwa ikiwa na wanajeshi tena wengi wao wamepata ulemavu wa viungo na akili.Bahati yao walijificha katika mahandaki madogo ya ile kambi ndio pona yao wakapata ulemavu kwa kuumia viungo na wengine walemavu wa akili hadi sasa.
Ndugu wa hao wanajeshi walilalamika mitandaoni ndio Trump akajishaua kutuma battleships ziende Persian Gulf zikaishia pembezoni tu.
-Tukio la May lilihusisha kurushwa drone na makombora 300+ kama isingekuwa UK,USA na Jordan basi Israel ilikua inageuka majivu.
Maana ilikua ndio mara ya kwanza Iran anashambulia directly into Israel.
Hakuna mtu ambaye alitegemea,na Iran walisema kuwa it was the show of force not use of force.
-USA kujua kuhusu kushambulia ni kulingana na Intelijensia yake,maana hata uvamizi wa Russia ndani ya Ukraine USA wali predict na ikatokea vile vile.
Msitake kutudanganya hapa ilhali tunafahamu kila kitu huyo Israel anayemkingia kifua ni USA na UK.
Na kwa uwepo wa USA kunampa wakati mgumu Iran kwasababu anajua anatafutwa na maadui wengi huku akiwa na struggling economy yenye vikwazo vingi.
⚡️Developing News:
Marekani imekiri ya kuwa haijui ni lini wapi na saa ngapi Iran itaishambulia israel.
View attachment 3060603 Senior American official told the WSJ
Time will tellNot this time Selikavu!
Hawa jamaa wanaingia vitani.
Muda utaongea iran ya Ayatollah watatulia tuuIron dome haina ufanisi wa kudungua makombora.
Na hukuona kama makombora 7 yalipita?
Ombeni USA na UK wamsaidie tena kama walivyomsaidia mwanzo.
Tungojee maigizo ya Iran hapa hakuna jipyaNa ndivyo watakavyofanya. Irani kuhalisia anaiogopa sana Israel na anajua nguvu yake. Anachokifanya ni kutengeneza katukio kuonyesha kuwa amelipa kisasi.
Na inawezekana huwa anawasiliana na Israel na Marekani kuwaomba kulipa kisasi kiaina na ndio maana Marekani muda wote hutoa taarifa ya muda . Tujikumbushe kisasi cha Iran dhidi ya Kambi ya Marekani kule Iraq ambapo hakuna aliyejeruhiwa hata mmoja, na juzijuzi alivyolipa kisasi kwa Israel kisasi kisichokuwa na madhara.
Kwahiyo ninaamini muda huu kamati imeundwa baina ya Israel, Iran na Marekani kupanga namna ya kulipiza ila malipizi yasiyo na madhara.
MTU MWENYE NIA HUWA HANA MATANGAZO MENGI
Lini walishatoa empty threats ?This time sidhani kama Iran wanatoa vitisho tupu (empy threats) mkuu.
Hiyo labda ni Iran ya Mkuranga kwa Shehe Asumani Kisukari. Halafu usisahau kwamba Israel amemiliki nyuklia toka hujazaliwa.inaelezwa kuwa iran IMESEMA Itatoa kipigo kizito Kwa Israel na safari hii huenda ikatimia siraha zake za maangamizi za NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL.
Hali ya hatari imetanda Huko Israel huku wananchi wakikimbizana na kujificha kwenye maandaki.
Waziri mkuu wa Israel benjamin netanyahu ametangaza Hali ya hatari.
Tayari hofu imetanda Huko Israel
Iran wamepanga kutumia mabomu ya NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL.
Marekani wanasema kama iranw itapiga NYUKLIA basi huenda vita vya tatu vitatokea.
Iran imetangaza kuanza kufanya mashambulizi ndani ya masaa YAJAYO.
Apia weeeh!Mataifa yote duniani ni cha mtoto mbele ya Israel na kama hulijui hilo basi safari hii ndio utafahamu.
Watatulia kabisa huku wakimliwaza na wakimsaidia Ayatollah kufuta sharubu zake zilizoloa machozi.Muda utaongea iran ya Ayatollah watatulia tuu
Nyie ndio wale popo hata msimamo hamna. Bure kabisa.Bila kujali matokeo ya nani atashinda, israel nayo inapaswa kuonja joto ya jiwe. Sio wapalestina wateseke pekeyao.
Israel ni wanyama kabisa.
Ayatollah safari hi kawachezea game hata US hajui sa ngapi vitu vina land Israel, safari zile aliwachia na kuwatangazia. Safari hi nyaa yupo kwenye tundu lake pale Tela Aviv anaogopa Iran wasimflush 😄Halafu unategemea Ayatollah abaki salama kweli.
Waisrael wakimbie nchi Yao Wakawe wakimbizi au? Israel watashinda kubali kataaUnasema Israel anamlia timing ilhali sasa hivi Wazayuni wengine wanahama nchi!?
AISEE Wabongo mnajua sana kuropoka.
Raia wa Israel wanalalamika huko juu ya maamuzi ya viongozi wao maana washachoka kuwa internally displaced,wengine wamesusa jana wamekata tiketi maelfu kuondoka Israel kwa muda.
Netanyahu simu kuelekea Washington haziishi,wewe keyboard warrior upo JF ukisema eti Israel anamlia timing Iran.
Wazayuni wakikusikia watakupiga makofi.
😂😂😂😂😂😂😂Naona umeamua kuchanganya picha.Waisrael wakimbie nchi Yao Wakawe wakimbizi au? Israel watashinda kubali kataa
We jamaa huwa nishakuzoea unaropoka sana huwa huongei la maana.Si ndio ninyi mliandamana wiki iliyo pita huku mkibeba mabango ya " stop the war.
Hivi wewe Kosugi, kaa na utafakari.
Hivi Waislamu wana ubavu wa kupambana na Wakristo ?
Na ndio mna Mungu Allah, muweza ya yote.
Magaidi wa Kiislamu wanatuchinja bila hatia nyinyi mpo kimya tu.
Mpo kimya kwakuwa mna wasapoti sana kimya kimya na sisi tunajua hilo kiundani kabisa.
Tukiamka kupambana mtatuweza ?
Kwasasa tunawasamehe tu.
Tunajua kuwa hamjui mlitendalo.