Si ndio ninyi mliandamana wiki iliyo pita huku mkibeba mabango ya " stop the war.
Hivi wewe
Kosugi, kaa na utafakari.
Hivi Waislamu wana ubavu wa kupambana na Wakristo ?
Na ndio mna Mungu Allah, muweza ya yote.
Magaidi wa Kiislamu wanatuchinja bila hatia nyinyi mpo kimya tu.
Mpo kimya kwakuwa mna wasapoti sana kimya kimya na sisi tunajua hilo kiundani kabisa.
Tukiamka kupambana mtatuweza ?
Kwasasa tunawasamehe tu.
Tunajua kuwa hamjui mlitendalo.
We jamaa huwa nishakuzoea unaropoka sana huwa huongei la maana.
Wanaoandamana ni DUNIA NZIMA kupinga udhalimu wa Israel kuwaonea Palestina.
Israel imekua ikiionea Palestina kimakusudi,tokea 1948 imekatalia Palestina kuwa na anga lake,mipaka yake ya bahari na jeshi lake.
Huku ikinyakua ardhi ya Palestina kila uchwao.
Westbank Jenin mwezi uliopita IDF imevunja hadi MAKANISA WA WAKRISTO WENZAKO ili kupisha ujenzi wa makazi ya Wazayuni.
Gaza kuna makanisa mawili yana umri wa miaka zaidi ya 300 IDF wameyalipua kimakusudi tena makanisa ya kihistoria.
Sherin Abu Akleh mkristo mwenzako ni Anglican alipigwa na sniper wa IDF kimakusudi akiwa katika majukumu yake ya uandishi wa habari.
Mwaka huu Wazayuni wamevamia kanisa katoliki Israel na kulitemea mate na makohozi na kufanyia fujo wakatoliki wasifanye ibada.
Halafu wewe fala mmoja punguani usiyejielewa unaleta habari za Udini.
Nani kakwambia vita ya Palestina na Israel ni vita ya kidini!??
Spain,Belgium,Norway,Brazil,Cuba,Venezuela kote huko Watu wameandamana wakisema free Palestina.
Halafu hata Israel raia wanaandamana mpaka leo wameandamana wakisema wamechoka na vita za kimakusudi zinazosababishwa na Netanyahu.
-Waislam tukiamua tupigane na ninyi wakristo hamchukui round kwasababu waislam tunaamini in martyrdom ilhali ninyi ni waoga kufa.