Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Unamwona mtu kakwama ila ukimsaidia unaweza ukahisiwa wewe ni shoga unamwaga pesa ili uingiliwe.
Au unaweza kuhisiwa wewe ni basha unamsaidia mtu ili umpachike.
Kwa upande wa wanawake ndo naogopa sana, ukimsaidia bila kukuomba au hata akikuomba atahisi unamtaka kimapenzi.
Wazee sometimes wengine wana Imani za kishirikina, ukimsaidia anaweza kuhisi wewe ni mwanga.
Leo nikiwa duka moja nanunua mahitaji ya nyumbani alikuja mwanamke mmoja kufuata bidhaa na kuna bidhaa nillinunua nikamwambia hii ni nzuri anunue ataipenda. Akasema hana pesa atakuja siku nyingine.
Nikamwambia chukua nitakulipia akakataa.
Nikamwambia acha ujinga hivi unadhani watu wengine tunawaza mapenzi kila wakati.
Gharama ya hii bidhaa napata Malaya wangapi?
Nikampa cashier pesa nikamwambia ampatie yule mwanamke ile bidhaa nikasepa.
Ni heri mtu ukae na pesa zako uwasaidie ndugu wa damu tu.
Kizazi cha sasa kinawaza uchawi na ngono tu.
Napenda nikifika restaurant nicash pesa za meza yote hata kama sijafuatana nao wale wengine.
Siku moja nililipa pesa ya meza mzima, basi wale wadada wa bank wakahisi kuwa nimempenda mmoja wao. Mara naona wawili wameondoka ghafla na kumwacha mmoja kidizaini.
Aisee sikuchukua hata namba yake.
Naweza kumpa lift binti Kariakoo to Chanika na mwisho wa safari sichukui namba ya simu yake ingawa road story zilikuwa nyingi.