Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Aliwaza nataka kumvua nguo.Nimempenda bure huyo dada! Haikuwa lazima kupokea msaada wako mkuu!
Binadamu haaminiki sasaKuna kijana alikuja dukani hana nauli na story kibao anaomba buku tu.
HApo nimechalala nina buku5 tu na nimesave sijala mchana
Nikaingia imani nikampa buku.
Wiki haijaisha akaja na story ile ile kikubwa kabadilisha nguo 🤣🤣🤣🤣
Hapana mkuu ukute wewe ndio umemuwazia hayo!!Aliwaza nataka kumvua nguo.
Daah
Ahahahammhhhh napenda kuhongwa
Sometimes Kuna madhara ya kupokeapokea tunavyopewa na wanaume lakini ☺️!Aliwaza nataka kumvua nguo.
Daah
Ukitoa unopokea sanaKuna kijana alikuja dukani hana nauli na story kibao anaomba buku tu.
HApo nimechalala nina buku5 tu na nimesave sijala mchana
Nikaingia imani nikampa buku.
Wiki haijaisha akaja na story ile ile kikubwa kabadilisha nguo 🤣🤣🤣🤣
Hata mimi pia napenda vyakupewa
Mungu katupa msuli mgumu wanaume ili tuwasaidie wanawake bila kujali ukubwa wa kipato chao. Ingawa wanaume wengi huwaza kuwamulika tochi wanawake wanapowasaidiaSometimes Kuna madhara ya kupokeapokea tunavyopewa na wanaume lakini ☺️!
Pia haiguaranteee kwamba ukinipa namie lazima nikupe!
C hivyo 2,nilikuwa natabia ya kuwapa watu lift nikiwa natokea nyumban kama sadaka tu kwa mungu siku moja nilikutana and mama 1 amechoka anatembea umbali mrefu nikasimamisha bajaji nmsogezee alinijibu kwa upole baba sina hela nikamwambia sawa nmekuona kwanzia Mbali coz tulipishana wakati naenda wew unarudi, panda twende akanijibu kwa ukali baba tafutaa hela kijana ×2,kihede hede kikaniisha tangu siku hiyo nilichoamua sasa nikikutana na simba,chui,mbogo lakin c binadamuUnamwona mtu kakwama ila ukimsaidia unaweza ukahisiwa wewe ni shoga unamwaga pesa ili uingiliwe.
Au unaweza kuhisiwa wewe ni basha unamsaidia mtu ili umpachike.
Kwa upande wa wanawake ndo naogopa sana, ukimsaidia bila kukuomba au hata akikuomba atahisi unamtaka kimapenzi.
Wazee sometimes wengine wana Imani za kishirikina, ukimsaidia anaweza kuhisi wewe ni mwanga.
Leo nikiwa duka moja nanunua mahitaji ya nyumbani alikuja mwanamke mmoja kufuata bidhaa na kuna bidhaa nillinunua nikamwambia hii ni nzuri anunue ataipenda. Akasema hana pesa atakuja siku nyingine. Nikamwambia chukua nitakulipia akakataa.
Nikamwambia acha ujinga hivi unadhani watu wengine tunawaza mapenzi kila wakati.
Gharama ya hii bidhaa napata Malaya wangapi?
Nikampa cashier pesa nikamwambia ampatie yule mwanamke ile bidhaa nikasepa.
Ni heri mtu ukae na pesa zako uwasaidie ndugu wa damu tu.
Kizazi cha sasa kinawaza uchawi na ngono tu.
Napenda nikifika restaurant nicash pesa za meza yote hata kama sijafuatana nao wale wengine.
Siku moja na cash basi wale wadada wa bank wakahisi kuwa nimempenda mmoja. Mara naona wawili wameondoka ghafla na kumwacha mmoja kidizaini.
Aisee sikuchukua hata namba yake.
Naweza kumpa lift binti Kariakoo to Chanika na mwisho wa safari sichukui namba ya simu yake ingawa road story zilikuwa nyingi.
Hongera kwa moyo wa dhahabu.Unamwona mtu kakwama ila ukimsaidia unaweza ukahisiwa wewe ni shoga unamwaga pesa ili uingiliwe.
Au unaweza kuhisiwa wewe ni basha unamsaidia mtu ili umpachike.
Kwa upande wa wanawake ndo naogopa sana, ukimsaidia bila kukuomba au hata akikuomba atahisi unamtaka kimapenzi.
Wazee sometimes wengine wana Imani za kishirikina, ukimsaidia anaweza kuhisi wewe ni mwanga.
Leo nikiwa duka moja nanunua mahitaji ya nyumbani alikuja mwanamke mmoja kufuata bidhaa na kuna bidhaa nillinunua nikamwambia hii ni nzuri anunue ataipenda. Akasema hana pesa atakuja siku nyingine.
Nikamwambia chukua nitakulipia akakataa.
Nikamwambia acha ujinga hivi unadhani watu wengine tunawaza mapenzi kila wakati.
Gharama ya hii bidhaa napata Malaya wangapi?
Nikampa cashier pesa nikamwambia ampatie yule mwanamke ile bidhaa nikasepa.
Ni heri mtu ukae na pesa zako uwasaidie ndugu wa damu tu.
Kizazi cha sasa kinawaza uchawi na ngono tu.
Napenda nikifika restaurant nicash pesa za meza yote hata kama sijafuatana nao wale wengine.
Siku moja nililipa pesa ya meza mzima, basi wale wadada wa bank wakahisi kuwa nimempenda mmoja wao. Mara naona wawili wameondoka ghafla na kumwacha mmoja kidizaini.
Aisee sikuchukua hata namba yake.
Naweza kumpa lift binti Kariakoo to Chanika na mwisho wa safari sichukui namba ya simu yake ingawa road story zilikuwa nyingi.
NIlitoa kwa moyo na alivyoondoka waliokuwepo wakaanza kunisema lakini yule ni tapeli tu haina baraka zaidi ya kuibiwa ndugu yanguUkitoa unopokea sana