Dunia imebadili wengi, alisema ananipenda leo ananiambia nitoe Mimba, hivi kweli!!

Si ulitayawanya mapaja ukaenjoy ? Kwa nn unamuamini mtu kwa muda mfupi hivo bila kuchunguzana kwanza ? Pengine ungejipa muda ungegundua ana familia ,,, !

Ukampa kavu kavu sio,,,,,kula chuma hicho
 
Unavo isemea damu utasema wewe ndio boss wa damu
 
Ndio Ndio wewe muuaji mkuu. Damu ya watoto itakulilia Kwa kuendelea kutoa ushauri huu, unashiriki uuaji.
Tutetee uhai Kwa watoto walio tumboni tusitumie udhaifu wao kuwa kwao tumboni na kushindwa kujitetea tuwaangamize.
Ile dhambi ya kutoa mimba inamuandama msichana daima haishii hapo. Tukubali matokeo yaliyopelekea mimba tunajua.

Hata jamii haimuoni vizuri mtu aliyetoa mimba kuliko aliyebeba mimba.
 
Haya
 
Unaumia mpaka mtoto anapata stress baadae mnasema.
mtoto Hana Tango ana bamia,oungua stress
 
Kama anajiweza kulea azae maana 27 na hizo heka heka za fibroids, ila kama pangu pakavu my friend toaaa fasta.
 
Usitoe mimba kamwe zaa,kubali matokeo ili maisha yaendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…