We nawe! Mbona unauliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu? Kwani wanabakwa? Ukiona watu wanatombana basi jua mwanamke kakubali; na ndiye mwenye uamuzi wa mwisho labda kama amebakwa. Acha kutetea wazinzi mkuu.Hivi kati ya wanawake na wanaume wepi wana stahili kuitwa wazinzi????? Kama ujuavyo uchu wa mwanaume kula kila mwanamke mzuri anaye pita machoni pake na kuja na maneno mengi matamu ya uongo..........
Na jamaa limeipiga hasa akidhani fibroids zitamwokoa. Aombe tu itoke yenyewe maana atakuwa na complications kibao. Fibroids na mimba kubwa wapi na wapi? Labda daktari aliyempima mwanzo alikuwa kimeo usikute hata fibroids hana jamaa walitaka tu kupiga hela. Sad!Mapenzi ya mjini raha sana mtu mnakutana mnaazisha mahusiano bila hata kujuwa jina la mwisho. Huyo baba mmefahamiana kwa mda gani? Hata kama uliambiwa huwezi kupata mimba ndio ujiqchie hivyo kwani huongopi ukimwi?
Mjadala siyo umalaya, mjadala ni namna ya kulea mimba iliyokataliwa na 'mtia' nia!Acha umalay
Kama nyie wasichana mgekuwa na ujasiri wa kuwakatalia wanaume kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa, mambo haya yasingetokea na mgeliwaokoa hata wanaume katika shida hizo.Ndoa yingi zingesimama na upendo kuongezeka.
Honey!Nilipokutana naye kwa mara ya kwanza aliniambia ananipenda sana, na amekosa maneno mazuri ya kuweza kueleza ni vipi ananipenda......
Baada ya muda kupita niliupokea upendo wake na nilimpenda haswaa/ tulipendana
Yakatokea matunda ya upendo wetu
UPT - POSITIVE
nikamweleza mwanaume anayenipenda
Majibu yake yalikua haya
Nina familia nina mke na watoto wawili
Akinionyesha na ushahidi wa picha
Huku akisema hakuwahi kufikiria kuwa na mtoto nje ya ndoa yake na asingeweza kunioa hivyo nitoe huo ujauzito
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 27
Kwenye maisha yangu tangu kuzaliwa kwangu sikuwah kupata mimba kwenye mahusiano yangu ya huko nyuma.
Na sikuwahi kutumia chochote kujikinga
Miezi 2 iliyopita niliumwa sana tumbo nikaenda hospitalini BOCHI
na kukutana na doctor bingwa wa wanawake. Akanifanyia vipimo na akasema kuwa
Nina fibroids ndani ya uterus yenye 9.5 cm hakuna dawa nyingine zaidi ya OP niliambiwa niludi nyumban ili nijiandae kwa upasuaji siku chache zijazo
dacktar alisema sutoweza kupata ujauzito mpaka ile fibroids itolewe
Kipindi nipo nasubur nilirud kwa OP
nimejikuta nimepata ujauzito
Sikua na mawazo ya kujikinga na mimba kutokana na maneno haya ya dacktar kuwa nisingeweza kupata ujauzito
Nikiwa na miaka 27
Nilitamani kuwa na mama kwa mara ya kwanza.
Bahati mbaya nimepata mimba hii kwa mwanaume ambaye siyo sahihi
Kwahyo mimi ni upcoming single mama
Nimeumia sana mnoo mnooo
Nifanye nini sasa
Mwanaume huyu ambaye alisema ananipenda
Anahitaji nitoe mimba hii
An innocent kid[embryo]Mawazo ya kijinga na ambayo hayana logic .
Je anatoa mimba kwa sababu zipi
-Ugumu wa maisha
-Baba kumkataa mtoto
-Hakujiandaa kuwa single mama.
Ni vizuri ukatoa maelezo ya kutosha .
Abortion is killing of innocent kid.
Ebu tuwekee picha na hilo tumbo lako tuone ili tukujadili vizuriNilipokutana naye kwa mara ya kwanza aliniambia ananipenda sana, na amekosa maneno mazuri ya kuweza kueleza ni vipi ananipenda......
Baada ya muda kupita niliupokea upendo wake na nilimpenda haswaa/ tulipendana
Yakatokea matunda ya upendo wetu
UPT - POSITIVE
nikamweleza mwanaume anayenipenda
Majibu yake yalikua haya
Nina familia nina mke na watoto wawili
Akinionyesha na ushahidi wa picha
Huku akisema hakuwahi kufikiria kuwa na mtoto nje ya ndoa yake na asingeweza kunioa hivyo nitoe huo ujauzito
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 27
Kwenye maisha yangu tangu kuzaliwa kwangu sikuwah kupata mimba kwenye mahusiano yangu ya huko nyuma.
Na sikuwahi kutumia chochote kujikinga
Miezi 2 iliyopita niliumwa sana tumbo nikaenda hospitalini BOCHI
na kukutana na doctor bingwa wa wanawake. Akanifanyia vipimo na akasema kuwa
Nina fibroids ndani ya uterus yenye 9.5 cm hakuna dawa nyingine zaidi ya OP niliambiwa niludi nyumban ili nijiandae kwa upasuaji siku chache zijazo
dacktar alisema sutoweza kupata ujauzito mpaka ile fibroids itolewe
Kipindi nipo nasubur nilirud kwa OP
nimejikuta nimepata ujauzito
Sikua na mawazo ya kujikinga na mimba kutokana na maneno haya ya dacktar kuwa nisingeweza kupata ujauzito
Nikiwa na miaka 27
Nilitamani kuwa na mama kwa mara ya kwanza.
Bahati mbaya nimepata mimba hii kwa mwanaume ambaye siyo sahihi
Kwahyo mimi ni upcoming single mama
Nimeumia sana mnoo mnooo
Nifanye nini sasa
Mwanaume huyu ambaye alisema ananipenda
Anahitaji nitoe mimba hii
mwambie huyooo,hamna kitu kizuri dunian kama kushuhudia uzao wako.Ni
Maumivu ya muda mchache TU mtoto ni Raha saàana sema wewe mapenzi ndo yanakuumiza komaa
Unahisi unaongea na dogo wa 2000 sio?Nayaelew hayo maisha mdogo wangu nimeyaishi nikiwa nalelewa na mama pekee tokea nazaliwa mpaka sasa
Kuna kufanya maamuzi ukiwa unajua fika matokeo yake yatakuwaje, mfano, kunywa pombe kali kila siku,kuvuta bangi mbele ya kituo cha polisi,kulewa kisha ukaendesha gari kwa mwendo kasi, kufanya mahusiano na mume wa mtu au mwanaume asiye mume wako na ukalala nae kitandani utupu na ukijua matokeo yanaweza kuwa ujauzito, hivi vitendo vyote mtu hufanya akijua matokeo yatakuwa ni kitu gani ila bado anafanya.Makusudi kwa vile wewe unafanyag kimya kimya na yeye aliesema hadharani ndo aonekane mjinga kweli lakini?? Mdogo wangu fikiria nje ya box kwamba mpaka leo hujawai kufanya kosa ambalo ulikuja kujutia????
Halafu mimi sio mdogo wako,nimekuzidi umri why unakaza kuniita dogo,tunafahamiana? Unajua umri wangu?Makusudi kwa vile wewe unafanyag kimya kimya na yeye aliesema hadharani ndo aonekane mjinga kweli lakini?? Mdogo wangu fikiria nje ya box kwamba mpaka leo hujawai kufanya kosa ambalo ulikuja kujutia????
Mume wa mtu huwa hawamuoni au kumjua hadi wapate mimba,ila Mwanaume ambaye hana hela akisema "mambo" tayari wameshamjua kuwa hana hata mia mfukoni?Wew haukumuelew alisema kwamba hakujua kuwa alikuwa anatoka na mume wake mtu. Tena mwenye familia ya mke na watoto mkorofi hapo mwanaume
Hakunaga watakatifu ila kuna wale ambao tunaweza waita serious.Ni yule yule anaye waonyesha njia munaowaita watakatifu wakificha maovu yao kwa kisingizio cha dini.
Wataongea kila kitu mradi kuficha ukweli kuwa wana maamuzi ya kipuuzi.Mapenzi ya mjini raha sana mtu mnakutana mnaazisha mahusiano bila hata kujuwa jina la mwisho. Huyo baba mmefahamiana kwa mda gani? Hata kama uliambiwa huwezi kupata mimba ndio ujiqchie hivyo kwani huongopi ukimwi?
So unachotaka kusema kuwa wanawake wapo sahihi kupokea wanaume wenye uchu?Hivi kati ya wanawake na wanaume wepi wana stahili kuitwa wazinzi????? Kama ujuavyo uchu wa mwanaume kula kila mwanamke mzuri anaye pita machoni pake na kuja na maneno mengi matamu ya uongo..........