Dunia ina mambo Macron katupiwa fupa ahangaike nalo kwa sababu ya kiherehere chake

Sasa haya maandamano kwanini yasingetokea kipindi cha ruhullah yanatokea leo
 
Na sisi watanganyika lazima tumwondoe huyu mama tarehe 29/10/2026. Lazima nchi tuichome moto mara 10 ya ilivyokuwa maandamano ya mwanzo ili kumlazimisha huyu mmama kuachia ngazi
 
Una uhakika vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran hakushiriki?

Macron ni mpuuzi mmoja anayeshabikia Mwamba Netanyau afunguliwe mashtaka na kuwatambua magaidi wa Kipalestine. Sasa Israel wanasheherekea sana anachopitia. Sababu ni mpuuzi, bwege sana.
 
😁😁😁 wewe unafatilia nini acha kelele

Madogo inawezekana lugha inawapiga chenga huwa hamuelewi. Mimi sijaishia madrasa tu. Nimesoma mpaka nje ya nchi. Naweza Kiswahili, Kiarabu, Kiiengereza na Kifaransa kidogo. Hebu muelewe kuwa Macron na Netanyau hawana urafiki na Israel wanachekea chooni kwa sasa.
 
Nachojaribu kusema ni huu uongozi wa Ayattolah una mkono wa France katika kuichukua Ile nchi ya Iran.

mtamkana sana, atulie sasa dawa iingie vizuri
Iran ashikilie hapohapo, hakuna kufungua Hormuz
Madogo inawezekana lugha inawapiga chenga huwa hamuelewi. Mimi sijaishia madrasa tu. Nimesoma mpaka nje ya nchi. Naweza Kiswahili, Kiarabu, Kiiengereza na Kifaransa kidogo. Hebu muelewe kuwa Macron na Netanyau hawana urafiki na Israel wanachekea chooni kwa sasa.
 
Na sisi watanganyika lazima tumwondoe huyu mama tarehe 29/10/2026. Lazima nchi tuichome moto mara 10 ya ilivyokuwa maandamano ya mwanzo ili kumlazimisha huyu mmama kuachia ngazi
Labda aachie ngazi ya Garofalo ila sio nchi
Binafsi spendi ujinga wa chadema na ujinga wa CCM
Ila kwa ule ujinga wenu muloufanya last time acha mupigwe tu
 
Nachojaribu kusema ni huu uongozi wa Ayattolah una mkono wa France katika kuichukua Ile nchi ya Iran.
Kwasababu ruhullah alikaa uhamishoni ufaransa
Hili nilikuelewa sana ila kwanini kwasasa sera zao zinaonekana kupishana
Ama zinapishana kwenye media ila huko back wanajuana
 
Kwahio ukisema umesoma nje ndio utamtisha nani sasa😁
Ufaaransa chini ya macaroni maandamano jambo la kawaida sana
Unaikumbuka yellow vest au nayo aliiunga mkono iran
Kama wewe ndio umesoma nje bora urudi st kayumba ukapigwe msasa maaana huko nje itakua ulienda kushangaa maghorofa tu na wazungu
Na usikute uliona wacongo man wamejichubua ukahisi wazungu kumbe weusi wenzio
 
Kwasababu ruhullah alikaa uhamishoni ufaransa
Hili nilikuelewa sana ila kwanini kwasasa sera zao zinaonekana kupishana
Ama zinapishana kwenye media ila huko back wanajuana
....Ufaransa hua tunamweka kundi moja na mataifa ya magharibi tu lakini hajawahi kua na sera kali ya mambo ya nje hasa hasa middle east yeye hua anaangaliia Afriica.

....kipindi cha Nicholaus Sarkorzy Ufaransa ilianza kubadilika sana jamaa alishikamana sana na USA & UK, Sarkozy alisaidiwa na Gadaffi kuingia madarakani lakini alikuja kumgeuka vibaya sana.

....Jaribu kuchunguza uhusiano uliopo kati ya Ufaransa na mataifa ya mashariki ya kati, ni kwamba tu wazungu kwenye lao hua ni wamoja lakini Ufaransa bado anawapenda sana wairan.
 
Kimemlamba alikua Ana mdomo mrefu kwa Netanyahu na Israel
mossad wameingia kazini wanachoma kiberiti nchi yake haamini macho yake kwenye hayo maandamano wanaume wenye muonekano wa middle East ndio wamejaa front wazungu wamabaki kushangaa tu
😀😀😀umenikumbusha sijui ni Spain ile

Miezi kama miwili iliyopita waziri mkuu wao alimkosoa sana Netanyahu huku akiwabembeleza Palestina.

Kilichotokea baada ya wiki kuna malaki ya watu walivuka mpka kama wahamiaji haramu kutoka moroco
 
Unabisha hovyo tu

Jiulize kwanini kwenye hayo maandamano bendera za Palestina ni nyingi zaidi kuliko za Ufaransa?

Mossad wanamionesha Macron rangi halisi ya waislamu.

Kiufupi waslimu na waafrika hawapaswi kuchangamana na taifa lolote lililostarabika
 
Elimu ya Tanzania ni ngumu sana ndo maana hatutaki nyie mkasome shule nzuri. Bado hujaelewa kitu mpaka hapo? Ni lugha ndo mtihani au basi tu we ni slow learner? Huwezi elewa ndo athari ya ninyi Gen Z miaka hii ndo kabisa hamna elimu sababu hamjapata shule nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…