Ufaransa alibadili gear angani. Alishaanza kupeleka jeshi la majini kufungua Hormuz. Ila Iran ilipomuonya alirudi nyuma. Macron alishiriki indirectly vita dhidi ya Iran. Tangu mwaka jana miongoni mwa Air Force zilizoshiriki kudungua makombora ya Iran yanayoenda Israel ni Ufaransa na Uingereza.Actualy i dont recall when alitaka vita na iran, ni moja ya european countries zilizokataa kushiriki hilo jambo na lilimkera trump
Acha kuropoka wewe. Lini Macron alikua sawa na Iran!? Tangu mwaka jana Ufaransa ilihusika na vita dhidi ya Iran. Hata mwaka huu pia kambi yake ya siri pale UAE ilishambuliwa. Alipeleka meli vita Hormuz Iran akampa onyo ndio akarudi nyuma.Macron hajawa na tatizo na Iran. Macron anapishana sana na Netanyau. Mjifunze siasa madogo. Macron anawapigania Wapalestine
Tofautisha 1979 na 2026. Sera hubadilika kulingana na viongozi....ukiachana na hayo maandamano yanayoendelea, Macron ni miongoni mwa viongozi waliojaribu kupinga sera za Netanyahu kuhusu eneo la Gaza.
...France walikua na support kubwa sana kwenye kuingia madarakani kwa Ayattollah Ruhollah Khomein maana aliingia Iran kwenda kufanya mapinduzi akiwa anatoa France.
We matako acha kuandika utumbo. Nchi 159 za UN ziliungana na Palestina na kuiacha Israel tangu UNSC 2023. Sio Ufaransa peke yake. Suala la Lebanon na Gaza ni tofauti na suala la vita dhidi ya Iran.Madogo inawezekana lugha inawapiga chenga huwa hamuelewi. Mimi sijaishia madrasa tu. Nimesoma mpaka nje ya nchi. Naweza Kiswahili, Kiarabu, Kiiengereza na Kifaransa kidogo. Hebu muelewe kuwa Macron na Netanyau hawana urafiki na Israel wanachekea chooni kwa sasa.
View attachment 3693224View attachment 3693225View attachment 3693226View attachment 3693227View attachment 3693228View attachment 3693229
Jengo hilo limepigwa moto inasemekana lilijengwa mwaka 1883 likawa km kivutio wahuni wamelipiga kiberiti huko UfaransaLiko wapi?
Well said, maandamano yapo Belgium, Colombia na baadhi ya nchi zingine, wanalalamika gharama za maisha, juzi nchi za ulaya katika vikao vyao, walisema wamepata hasara ya euro bil 100, na hii kutokana na vita Ukraine na kule Iran.Kuna punguani humu ndani warakwambia eti Macron anashikishwa adabu na Mossad kisa anaungana na Palestina na Lebanon.
Muswada wa kuiunga mkono Palestina na Lebanon ni nchi takrin 150+ za UN ziliunga mkono. Hata kyra zile za kikao cha United Nations Security Council tangu 2024 ziliunga mkono kukamatwa kwa Netanyahu nchi 150+ na kuanzishwa kwa taifa la Palestina. Kikao cha mwaka jana na mwaka huu cha UNGA kilionesha 90% ya viongozi wakiondoka pindi Netanyahu alipoanza kuongea kikaoni.
Yanayoendelea Ufaransa,Albania,Ubelgiji ni athari mama ya vita za RUSSIA VS UKRAINE. Gharama za maisha zimepanda Ulaya kuliko kawaida. Mossad hahusiki huko. Mbona Albania mfuasi wa Israel na yeye kwake kuna maandamano!?
Kwenye Geopolitics hamna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu, wakati wa vita vya Iran Vs Iraq Israel alimsaidia Iran sio kwa sababu Iran alikua rafiki yake ila kwa kipindi kile Saddam Husein alikua moto wa kuotea mbali, alikua na ushawishi mkubwa kwenye Pan Arabism kitu ambacho Israel hakutaka kuskia, Gulf War nyuma yake kulikua na michezo mingi sana.Tofautisha 1979 na 2026. Sera hubadilika kulingana na viongozi.
Hata vita ya 1980-1988 Israel aliisaidia Iran dhidi ya Iraq na Marekani. Je unataka kusema sasa hivi Israel rafiki wa Iran!??
Wagalatia mbona mnakuza sana mambo....Ufaransa na Italia wote walikataa marekani asitumie base zake zilizo kwenye maeneo Yao kumshambulia Iran
Wote wamepinga wazi wazi sera za netanyahu na Israel kwenye vita vyake Gaza Lebanon na Iran
Sasa wanavuna walicho panda next ni Spain na England
Inashangaza sanaIla wabongo tunapenda udini sana. Uzi umebadilika umekuwa wa kidini.
Inashangaza sanaIla wabongo tunapenda udini sana. Uzi umebadilika umekuwa wa kidini.
Awamu hii tumejipanga vya kutosha.lazima atokehuyo mama yenu.makombora tuliyoyapata urusi tutayatumia vyema kudai haki.Labda aachie ngazi ya Garofalo ila sio nchi
Binafsi spendi ujinga wa chadema na ujinga wa CCM
Ila kwa ule ujinga wenu muloufanya last time acha mupigwe tu
Hujui kitu dogo unaharisha tu. Kajitawaze, then uvae nepi ndo uje ukae kitako wanaume wenye elimu na pesa tunapoongea.Acha kuropoka wewe. Lini Macron alikua sawa na Iran!? Tangu mwaka jana Ufaransa ilihusika na vita dhidi ya Iran. Hata mwaka huu pia kambi yake ya siri pale UAE ilishambuliwa. Alipeleka meli vita Hormuz Iran akampa onyo ndio akarudi nyuma.
Huna unalojua. You are such a nincompoop claiming to be clever and intellect. Kiazi mbatata wewe.Hujui kitu dogo unaharisha tu. Kajitawaze, then uvae nepi ndo uje ukae kitako wanaume wenye elimu na pesa tunapoongea.
Ndiyo hicho nachomueleza huyo jamaa hapo. Eti kisa France ilimficha Khomeini na kumrejesha 1979 baada ya mapinduzi anadhani hadi sasa Iran na France marafiki. Ilhali hata mwaka jana June war jeshi la anga la Ufaransa lilishiriki kuyaangusha makombora ya Iran yanayoelekea Israel.Kwenye Geopolitics hamna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu, wakati wa vita vya Iran Vs Iraq Israel alimsaidia Iran sio kwa sababu Iran alikua rafiki yake ila kwa kipindi kile Saddam Husein alikua moto wa kuotea mbali, alikua na ushawishi mkubwa kwenye Pan Arabism kitu ambacho Israel hakutaka kuskia, Gulf War nyuma yake kulikua na michezo mingi sana.
Hakuna shida katika uislamu ila sipingi shida kuwepo kwa mwaarabuNimeifatilia hii ishu na kuhitimisha, tatizo kubwa ni Uislam na harakati za mwarabu nchini Ufaransa ndo tatizo