Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
Micro + Millions of years= evolution.
Micro - Millions of Years (Macro) = Death of evolution. Ndio maana nasisitiza Concept ya evolution ni kama Dini ambayo mungu wake ni Millions of Years (TIME) ukiitoa hiyo Hakuna evolution.
Therefore without millions of years (unproved time because there is no reliable ageometer with reliable assumptions to accept this).
With Macro evolution tunahitaji Additional of new genes in gene pool ili Mbwa azae Chura mwenye genes za chura which is scientifically and genetically impossible and impractical (Nasisitiza hadi anakufa darwin alikuwa hajui hilo ndio maana wanaoforce wanadanganya additional of genes can appear due to mitosis wakati mitosis inafanya kiumbe kuwa dhaifu kupunguza sio kuongeza genes).
Mifano Michache ya kwa nini EVOLUTIONIST huwa wanapanic wanapokutana na vitu wasivyovipenda au kuwaumbua na kusingizia ni result of contamination. Sasa mfano Diamond is very solid compaund and impible to be contaminated.
Kwa kipimo hichohicho kinachotumika kuqualify hizo MILLIONS OF YEARS za evolution ili itokee (Macro) ndicho kimepima na kugundua Diamond zimetokea Miaka MILLIONI 900 iliyopita. Lakini Ukweli ni kwamba Diamond zinatokea haraka sana na kwa Muda mfupi. Mfano Canada ‘kimberlite pipe’ Kuna kipande cha Mti kilikutwa kwenye mwamba wenye diamond na ukiangalia scientific formation of diamond zinaprove wrong hivyo vipimo.
LEO Kuna makampuni mwengi yanatengeneza diamond kwa masaa na sio tena miaka Million 900 kama evolutionist (Chemical evolutionist) wanavyodai.
Kwa Kipimo hichohicho cha radioactivity concept ukifa wewe kesho keshokutwa tukakupaka majivu na kukuficha pangoni Tukawaita wadau bila kuwaambia umri wako wakupime majibu hayatacheza mbali na Millioni 4 au 10 Years old.
Mkuu ndio maana nasisitiza Macro Evolution ni kama DIni tu inayoenezwa kwa INDOCRINATION. Ndio maana huwa nawashangaa wanaokomalia vitu hivi huku wakidharau na kuponda mambo mepesi yenye logic zilizowazi kama Creation and design. Hapa hakuna sayansi ila ni Vita dhidi ya Mungu, ni miongoni mwa silaha za shetani kama zilivyotumika russia miaka hiyo na nchi nzima kupotoshwa na itikadi zisizo na mashiko.
Ila uamuzi unabaki kwa mtu mmoja mmoja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vitu vya kujietetea upande wako unavijua lakini evolution huijui asee.
Umri wa dunia unaokubalika ki sayansi ni bilioni 4.5 kama hukubali uufanyie kaz halafu peleka UNESCO halafu wata kwambia.
Kinacho tokea unachanganya kati ya evolution na geology, evolution haiko kwenye geology iko kwenye biology, sasa nilisha kwambia pia kuwa evolution of man inahitaji miaka milioni 20-100 tuu, ikienda mbali ni milion chini ya 400, ambayo hata kama kuna mabishano ya namna gani geology hauja wahi ku argue dunia ina miaka 6000, hata wakio kuwa wabishi na wanavifaa primtive wali pata age ya dunia kuanzia miaka 100,000-150,000,000. Kwa huyo simply creationist na miaka yao 6000 hakuna anaye waunga mkono kwenye sayansi zaidi wao kujisapot wenyewe.
Evolution haijawahi kusema mbwa ata zaa chura. Evolution haijawahi sema binadamu alikuwa nyani. Evolution inasema binadamu na nyani wana ancestor mmoja kama vile, chui na simba na paka wakivo na ancestor mmoja. Evolution inahitaji vitu kadhaa itokee.
evolutuion haitokei kwenye single line ya kizazi kimoja hapana, ni mkusanyiko wa watu wengi ambao watabadilika kadri watakavo kuwa wana kutana au kutengana na kadir mazngira yatakavo wabadilisha, watabadilika kutokana na natural selection na kuongezeka kwa miaka kuta wadistingush karibu kwenye kila kitu, basi pia accidents za kimazingira na za ki muingiliano zina toa population zenye characters tofaut na original ancestry lines. Hivo chura na mbwa hawaja share common ancestor wala population zao hazijawahi kuingiliana. Ila mbwa na fisi wana share common ancestry.
Kwa hiyo, evolution haipo ili kupinga au ku prove uwepo wa Mungu hili pia nisha wahi kwambia sana, unaweza ukaamini evolution ipo na ukawa una amini Mungu yupo. Evolution ina deal tu na orign ya viumbe. Na hata uki prove kuwa evolution si kweli bado haifanyi uwepo wa Mungu uwe ni kweli