Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Unajua maana ya "uthibitisho" jombaa?Wmap na COBE satellites ilishabithitisha umri wa miaka wa dunia ni 4 bil na universe ni zaidi ya miaka 13~14 bil kilichokuwa kinaangaliwa ni zile background radiation ambazo ni microwave zilizo dormant na no very tiny ambapo wmap pia ndio ilionyesha dark matter, dark energy
Wilkinson Microwave Anisotropy Probe (WMAP)
Kwa nini unasema hii method ipo weak.
Binadamu tangu lini akaweza kuthibitisha chochote?
Jaribu kurudia ulichosoma kisha utumie nenostahiki kwenye hili bango lako.....
Hakuna ambacho binadamu anaweza kuthibitisha bali tunaweza kutoa ushahidi,ushahidi unapingika lakini uthibitisho haupingiki....