We jinga kweli,yani ubongo wako ndipo ulipoishia hapo.kwahiyo wamejifungia chumbani wakaamua tu kukisia ,bila vipomo na utafiti Wowote wa kisayansi kufanyika.bara la afrika aliyeruoa kafa mijitu karibu yote mijinganaona umejaza matope kichwani.aliyekitengeneza kitu ndo anayejua kakitengeneza.hao ng'ombe wenzio wanachofanya ni kukisia tu.
sio quran wala biblia vyote havijui umri wa dunia.sio malaika wala mitume wanaojua miaka ya dunia.mungu akuandika popote lini ameumba dunia.dunia iliumbwa tangu miaka haijaanza kuhesabiwa.sijui kama unaelewaWe jinga kweli,yani ubongo wako ndipo ulipoishia hapo.kwahiyo wamejifungia chumbani wakaamua tu kukisia ,bila vipomo na utafiti Wowote wa kisayansi kufanyika.bara la afrika aliyeruoa kafa mijitu karibu yote mijinga
Mungu hajui nina uhakika na hilo ila sisi wanadamu tumeshajua umri wa dunia mpaka umri wa jua na tunajua lini jua litapotea
Ukitaka kujua kuwa ww ndo huijui chukua bibilia soma Ayubu 38 itakutafakarishaNdio Mungu hajui umri wa dunia..
[emoji16][emoji16][emoji16]Chuo madrassa hapa hufui dafu
Hiko kitabu kimejaa story za watotoUkitaka kujua kuwa ww ndo huijui chukua bibilia soma Ayubu 38 itakutafakarisha
[emoji16][emoji16][emoji16]Naona umempa bomu mvaa kobaziNdio IQ ya mwislamu inapoishia hapa. Hii dini ndio maana popote ilipopita jamii ya mahali hapo imekuwa mambumbumbu.
Kwa sababu kila kitu kinaanzia kwenye nothingWhy there is something rather than nothing?
Hiyo ayubu 38, inasemaje Kwani ? , TukuchekeUkitaka kujua kuwa ww ndo huijui chukua bibilia soma Ayubu 38 itakutafakarisha
Hivi braza unaelewa ya kwa asilimia kubwa ya maisha yako ni falsafa ya bibbleHiko kitabu kimejaa story za watoto
Zitaje hizo falsafa?Hivi braza unaelewa ya kwa asilimia kubwa ya maisha yako ni falsafa ya bibble
NoHivi braza unaelewa ya kwa asilimia kubwa ya maisha yako ni falsafa ya bibble
[emoji3] unasema Dunia hii itasafishwa tuanzemoja.Basi huenda tukifikia stage flani na hii itasafishwa tuanze moja
Do you understand philosophy?!! First thing firstZitaje hizo falsafa?
Mungu ghani burooAjuaye umri exactly wa Dunia ni Mungu tu.
Kumewahi kuwepo dinosaurs duniani?AMA KWELI SHETANI NI MUONGO SANA
Na bahati mbaya sana anawatumia watu tunaowaamini sana.
Tunawaamini sana Wana sayansi lakini wamejaa ushetani na uongo.
Wanatumiaka kurubuni watu kuwa Binadamu ametokama na Nyani munhu hayupo nk.
Dunia ni mpya mno ni mpya sana
1. Angalia vizazi vi 5 kutoka wewe angalia babu zako walivyoishi kwa ujima.
2. Angalia Miundombinu mipya simu, umeme, ndege , magari nk
3. Angalia sciance na technolojia.
4 Angalia na historia Kabla ya uhuru na Baada ya uhuru.
BIBLIA KITABJ CHENYE TAARIFA ZOTE KINASEMA DUNIA INA MIAKA 6000 TU
KIZAZI CHA ADAM HADI YESU NI MIAKA 4000+2000=6000
Mwenye swali anakaribishwa.
Asalalee, mtu kauliza maswali ya msingi wewe umefikiria kuhara tu!Dunia duara ukifikiri utahara.