begi la pesa
JF-Expert Member
- Apr 11, 2019
- 1,124
- 1,946
Hao walioongezeka ni wahamiajiIna maana ndani ya miaka 40 ujerumani wameongezeka watu mil 7 tu duuh
Ndio watu wenye akili kuliko wengine, Na Afrika ilitakiwa kuwa colonized ndioNonesense!, stupid argument. Kwahiyo hao wazungu wa ulaya, wakorea, wajapan na wachina ndio wenye akili pekee hapa duniani?
Akili ni nini?
Kweli waAfrica tulistahili kuwa colonized.
Japo una point.
Tumia akili yako vizuri
Watanzania, Wa Nigeria, Wazulu, Wacongo, Waislam , Walatino, n.kHao wasio na akili unaowazungumzia wewe ni kina nani hasa?
, wenye akili wamevumbua teknolojia za kuisadia dunia na kurahisha maisha,hivi unajua kuwa mwanadamu mwenye IQ kubwa kuliko wote duniani hivi karibuni alikuwa Mnigeria? wala sio mzungu? unajua wanigeria wanaogopwa dunia nzima kwa akili?hadi utapeli wazungu wamenyoosha mikono. hao utawaita wajinga?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wenyewe wanamsema wao "NENDENI MKAIJAZE DUNIA".
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mwenye akili anatafuta suluhisho kwenye tatizo ili maisha yawe swadakta kwa vizazi na vizazi, wacha sisi tuendelee kuona mwenye GPA ya 5 ndiye mwenye akili., wenye akili wamevumbua teknolojia za kuisadia dunia na kurahisha maisha,
NAKAZIA, wenye akili wamevumbua teknolojia za kuisadia dunia na kurahisha maisha,
Ngono upunguza uwezo wa kufikiri.Wengi wasio na akili wamewekeza sana kwenye ngono
Mbona mifano ya nchi nilizotaja hawaongei Kiingereza, Kingereza hata Malawi wanaongeaWewe ni mtumwa wa fikra...
Kwanin hao unawaona wana akili kuliko sisi?
India hawazaliani?
Nyie ndio wale mnaodhani kujua kiingereza ndio msomi..
Duniani kote watu wenye akili kama Wajapan, Wakorea, Wazungu wa Ulaya na hata Wachina japo wapo wengi ila hawazaliani tena kivile
Watu wasio na akili au wenye akili ndogo ndio wanaongoza kuzaliana kwa fujo , je Dunia itaendelea kupata tena maendeleo na ubunifu iliyokuwa ikipata kama watu wenye akili hawataki kuzaliana!?
View attachment 2844266
Wewe bumunda si ndio ninachokisema hapa?Ww ndio huna akili kim jong mwenywe analia hadharan anataka watu wazae korea ukizaa unapewa na hela china leo wanahamasisha watu wazae mataifa yao yanakosa nguvu kazi za vijana ww unasema nini
Waafrica si kwamba hatuna akili. Hatujapata fursa sawa na hao uliowataja wote. Chukua leo watoto 20 wa Kiafrica na hao wengine walee mazingira yanayofanana kila kitu uone kama hawatakuwa sawa.Duniani kote watu wenye akili kama Wajapan, Wakorea, Wazungu wa Ulaya na hata Wachina japo wapo wengi ila hawazaliani tena kivile
Watu wasio na akili au wenye akili ndogo ndio wanaongoza kuzaliana kwa fujo , je Dunia itaendelea kupata tena maendeleo na ubunifu iliyokuwa ikipata kama watu wenye akili hawataki kuzaliana!?
View attachment 2844266
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and marrying so many wives."Duniani kote watu wenye akili kama Wajapan, Wakorea, Wazungu wa Ulaya na hata Wachina japo wapo wengi ila hawazaliani tena kivile
Watu wasio na akili au wenye akili ndogo ndio wanaongoza kuzaliana kwa fujo , je Dunia itaendelea kupata tena maendeleo na ubunifu iliyokuwa ikipata kama watu wenye akili hawataki kuzaliana!?
View attachment 2844266
Starehe pekee ya masikini ni sexDuniani kote watu wenye akili kama Wajapan, Wakorea, Wazungu wa Ulaya na hata Wachina japo wapo wengi ila hawazaliani tena kivile