joseph_mbeya
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,123
- 2,935
Ilo nalo la kupinga bro ???Nonesense!, stupid argument. Kwahiyo hao wazungu wa ulaya, wakorea, wajapan na wachina ndio wenye akili pekee hapa duniani?
Akili ni nini?
Kweli waAfrica tulistahili kuwa colonized.
Japo una point.
Tumia akili yako vizuri
Ukweli usemwe sisi ni vilaza mbona ipo wazi bro... sometimes lazima ulubali mapungufu then utafute njia ya kujitatua kutoka kwenye Mapungufu hayoHao wasio na akili unaowazungumzia wewe ni kina nani hasa?
Soma vizuri uelewe. Sijasema usubiri fursa. Walter Rodney, How Europe made Africa poorKwahio tusubiri kuletewa fursa 😃 hao walio endelea fursa nani aliwa pelekea
Kenge kweli, kuita watu weusi na waarabu nchini kwako ku replace wananchi wazawa ni sawa? Wewe kweli mbumbumbuCanada na Japan wanatafuta Wananchi wengine toka nnje ya nchi kuendesha na kusimamia rasilimali zao maana non resources ni nyingi sana zaidi ya Human being resources.
Matokeo hayo ni sababu ya upumbavu uliouandika hapa kwa imani za kijinga kama zako, tena wengine wakiendekeza masterbation kama suluhisho la uselapimbi badala ya kuoa Wife materials na kuishi nao katika ndoa.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Robot haiwezi ku replace watuWala usijali tukifikia hatua hiyo tayar tutakuwa tunaongozwa na marobot. Kwa hiyo hakutaharibika kitu.
Dangote mwenyewe management yake na wataalamu aliowaajiri wengi ni wazungu, wahindi na wachina,Tajiri wa kwanza Afrika Aliko Dangote wa Nigeria
Eti hawana akili
Ni shithole countryKwahiyo Nigeria hawana akili? Umepima kwa kigezo gani?
Wanaweza kuwa mashoga lakini ndio wanaokufanya una hiyo simu yako hapo, unavaa nguo, unapasi nguo, unatumia umeme, au ungekuwa unaishi kwenye vibanda vya nyasi ukifuga mbuziUnadhani ni nini kinachowafanya wasongezeke km siyo ushoga ulio yakumba mataifa hayo unayotaja kuwa watu wake wana unachokiita akili?
Baada ya kampuni zake kukua lakini alianza mwenyewe na sasa ni Boss waoDangote mwenyewe management yake na wataalamu aliowaajiri wengi ni wazungu, wahindi na wachina,
Yaliendelea kwa sababu ya akili, ambao ni masikini hawajaendelea sababu hawana akili.Hapo usingesema wenye akili sema mataifa yaliyoendelea hawazaliani Sana Kama mataifa masikini
Kuhusu akili Waafrika pia tunazo
Wanaweza kuwa mashoga lakini ndio wanaokufanya una hiyo simu yako hapo, unavaa nguo, unapasi nguo, unatumia umeme, au ungekuwa unaishi kwenye vibanda vya nyasi ukifuga mbuziShida nyingine inayowasumbua hao Germany na wenzao ni ushoga
Wewe mwenyewe na familia yako na ukoo wako hamna akili, kataaa au usikatae haiondoi hiyo factHuna akili na ndio maana umekubali kukiri huna,
That's you and your people msio na akili
Wamarekani weusi tunawaona walivyo kule Marekani licha ya kuishi na wazungu kwa miaka zaidi ya 400Kws
Waafrica si kwamba hatuna akili. Hatujapata fursa sawa na hao uliowataja wote. Chukua leo watoto 20 wa Kiafrica na hao wengine walee mazingira yanayofanana kila kitu uone kama hawatakuwa sawa.
Ishu ni quality sio quantity, Norway yenye watu milioni 5.3 inaipa msaada Afrika yenye watu bilioni 1.4Huwezi kuwa Taifa kubwa na lenye ubunifu bila kuwa na watu..
Kwani boss sababu ya uwepo wa maisha ni nini? Masai asiye na simu aliye mbugani na wewe unayejua kutumia simu au kuiunda mmezidiana nini linapukuja suala la sababu ya kuwepo kwa maisha ya binadamu hapa duniani?Wanaweza kuwa mashoga lakini ndio wanaokufanya una hiyo simu yako hapo, unavaa nguo, unapasi nguo, unatumia umeme, au ungekuwa unaishi kwenye vibanda vya nyasi ukifuga mbuzi
Watoto wengi halafu masikini wa kutupwa hasara tupuUkizaliwa unakufa...ya nini sasa watoto wengi