Dunia inaelekea wapi? Watu wasio na akili wanazaliana kwa kasi, huku wenye akili hawazaliani

Dunia inaelekea wapi? Watu wasio na akili wanazaliana kwa kasi, huku wenye akili hawazaliani

Najua unatuzungumuzia sisi wa Africa.
Jibu ni kwambia Africa utakuja kuongoza Dunia miaka inayokuja ngoja tuzaliane ndugu.
Kingine acha roho mbaya a
Kuzaliwa mtu wew kinakuchoma nini mkuu.
 
Laana zinawasumbua
Wewe ndo laana zinakusumbua. Make hutaki kukubali ukweli. Unakimbilia kwenye issue ya ushoga tu. Inaonekana kabisa wewe ni shoga Tena uliyekubuhu. Si kawaida mtu ambaye sio mlevi Kila ukimuuliza kitu lazima ataje ulevi. Kwa mwanaumme ambaye hajui hivyo vitu hawezi kuwa analitaja Kila sentensi yake. Na huu ndo ukweli mchungu kwako.
 
Concept ya pesa yenyewe ni mzungu ndio kaanzisha, hata "pesa ya Tanzania" ame print mzungu, na thamani yake inatokana na mifumo aliyoweka mzungu, achilia yote hayo hata Tanzania kama nchi imekuwa created na mzungu
Mentir. Systeme ya echange ima exist enzi kwa enz , watu wa ulaya waliechange mbuzi na grain, walivyokuja afriqa wameshangaa tunabadilishana kwa gold na cowrié shells
kila continent imekuwa na medium ya echange, from Afrique, uropa na south ameriqa. Kwa ameriqa wamekuja kuiga.
 
Mbon
Alizaliwa kwenye chain ya umaskn ndo maana akafa maskni bila hata Mtoto. Japo no wachache Sana wanaokosa kupata watoto ambao ni wako nje ya uwezo wa binadamu
Mbona mdogo wake ana watoto 6 ana miliki nyumba kadhaa jijini,ana magari kadhaa na kati ya hao watoto hakuna ambaye ana elimu chini ya degree bila kujali ni degree za nini na wakitimba nyumbani magari yanakuwa km ng'ombe wako zizini ilihali kaka yake hana mtoto wala unafuu wa maisha km alivyo mdogo wake?
 
Sasa kama mlikuwa sawa na wao ikawaje ukaachwa nyuma miaka 599,
umepata wapi hesabu ya takwimu? tu ne sais pas compter
Wao kuwa wachache ni balaa kwa Watu wasio na akili kama wewe maana utarudi kuvaa nyasi na ngozi
mujinga kweli ww umeona kwa fashion show? muzungu anavaa leather na kutembea utupu.

Hiyo ilikuwa akili kubwa muno. Kwasababu palikuwa hakuna no environmet catastrophes. Ukija ulaya utaona banatengeneza mashati kutumia nyasi(bio degradable). Bana tembea uchi kwa velo kwa baiskeli
Kuvaa nyasi na kutembea uchi mbaya imo kwa wapi? Mmako alivua nyasiyake kuttoombener na babako akakuanyamba akiwa uchi
 
hivi unajua kuwa mwanadamu mwenye IQ kubwa kuliko wote duniani hivi karibuni alikuwa Mnigeria? wala sio mzungu? unajua wanigeria wanaogopwa dunia nzima kwa akili?hadi utapeli wazungu wamenyoosha mikono. hao utawaita wajinga?
Jamaa amechukulia ngozi nyeusi ni ujinga
Ameathirika Imani juu ya ngozi nyeupe.
Kila watu wazaliane Sawasawa na ukubwa wa maeneo yao. Tunahitaji nguvu kazi zaidi na zaidi kuikwamua Afrika
 
Inasikitisha kwani wengi wanazaliana na kuwa waumini wa dini za maboti ambazo utaka wafuasi wake kuendelea kuwa wajinga tu na kuchezewa akili kila kukicha.
Nakala: Waarabu wa Luguruni na Mchambawima Zanzibar- Waione kwenye jalada.
 
Hapo ndipo na mimi namkatalia huyu mzungu,hakuna mtu asiyekuwa na akili lkn pia inaonekana hajui sababu mama iliyopelekea huko kwao uzunguni waweke vidhibiti uzazi ila anakariri tu.
Mkuu ni kigezo gani ulichokitumia kuwaita watu weusi ni watu wasio na akili.
Katika reference zako umeiweka nigeria ukiicompare na german.

Hivi Katika maandiko matakatifu si ndio tumeambiwa tumeletwa duniani ili tuzaliane.
Hivi unahisi adam angekuwa na mentality kama yako wewe ungekuwepo leo hii.

Sawa umeudhihirishia umma kwamba jamij yako ni ya watu wasio na akili na ndio wanaooongoza kwa kuzaliana.
Hivi unafamu Mitume walitumwa kwenye ardhi za watu wakorofi na walioshindikana.
Hivyo hata kwenye jamii yako ya wasio na akili ipo siku watu wenye akili wakapatikanapo na wakafanya makubwa katika ulimwengu huu.

According to my view, ungesema jamii illiteracy rate kubwa ningekuelewa lakini kusema kuna watu wasio na akili.
Hapo akili yangu imegoma kukuelewa.
Hakuna mtu asiyekuwa na akili.
Ila tofauti ipo katika uwezo wa kujifunza na nyenzo wezeshi za kujifunzia.
Wenzetu unaowatukuza kwamba wana akili ni unawaona hivyo sababu ya nyenzo zao za kujifunzia ni wezeshi lakini pia mazingira.
 
Wewe ndo laana zinakusumbua. Make hutaki kukubali ukweli. Unakimbilia kwenye issue ya ushoga tu. Inaonekana kabisa wewe ni shoga Tena uliyekubuhu. Si kawaida mtu ambaye sio mlevi Kila ukimuuliza kitu lazima ataje ulevi. Kwa mwanaumme ambaye hajui hivyo vitu hawezi kuwa analitaja Kila sentensi yake. Na huu ndo ukweli mchungu kwako.
Wekea posti moja nimesema shoga. kumayanyani yer mmako. imbecile
 
Le diacours de haine est surfait. c'est hommage pour JF mods & leaders. Ne pas liberte d'expresion.
 
Nb Waziri Dkt Mollel aje awaone wanae wanavyojadiliana.
 
White people si waliiba wee mimali kedekede Africa kwa colonialism systems wakipokezana Mataifa mbali mbali kama Italiy, Germany, UK na sasa USA kupitia neocolonialism system, au unajisahaulisha tu Chifu?

UN wana veto power policy, nchi yako isipokuwepo miongoni mwa zile nchi G 21 duniani tu basi katika mikutano ya Mataifa kiuchumi itabaki kuwa Ndugu mtazamaji na kukubaliana na lolote watalopitisha hata kama ni kuonea nchi zenye rasilimali kama DRC & TZ kwa masharti kandamizi.

Hutaki baki na rasilimali zako, tafuta sehemu za kuzichakata ziwe bidhaa nzuri toka kiwandani, mitaji mikubwa ya kuzindua na kukarabati mitambo ya manufacturing processes, soko la kuziuzia, usafirishaji, uhifadhi nnje ya nchi, ulipaji wa kodi za kimataifa na namna ya kukwepana na fitina zozote za Mabeberu maana tayari ushagusa masilahi yao...

Tambua Mabeberu "USA & EU" wengine hutalii tu mwaka hadi mwaka wakitumia rasilimali walizochuma zama za ukoloni na kuendelea kutafuta rasilimali zingine ili wazidi kuimarisha uchumi kimaendeleo watumie hata mileniam ijayo...

Sana sana wakikuonea huruma watakupatia onyo kwa muda ila ukikaza fuvu tu wanakupeleka mbele ya haki bila kupenda...[emoji28]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ndo akili zenyewe hizo wamezitumia kukuibia wewe usiye na akili, na bado wanaendelea kutumia hizohizo akili kukudhibiti wewe mjinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom