Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Mkuu,Kuzaa sio tatizo ,ikiwa hautazaa walevi ,wadangaji , wavuta bangi n.k
Kwani ulevi ni Tatizo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,Kuzaa sio tatizo ,ikiwa hautazaa walevi ,wadangaji , wavuta bangi n.k
Wewe ndi kilaza umelaanika na mmakoUkweli usemwe sisi ni vilaza mbona ipo wazi bro... sometimes lazima ulubali mapungufu then utafute njia ya kujitatua kutoka kwenye Mapungufu hayo
Alizaliwa kwenye chain ya umaskn ndo maana akafa maskni bila hata Mtoto. Japo no wachache Sana wanaokosa kupata watoto ambao ni wako nje ya uwezo wa binadamuUnamzungumziaje mjomba wangu ambaye hakubahatika kuwa na mtot hata mmoja lkn bado alikuwa masikini wa kutupwa?
Wewe ndo laana zinakusumbua. Make hutaki kukubali ukweli. Unakimbilia kwenye issue ya ushoga tu. Inaonekana kabisa wewe ni shoga Tena uliyekubuhu. Si kawaida mtu ambaye sio mlevi Kila ukimuuliza kitu lazima ataje ulevi. Kwa mwanaumme ambaye hajui hivyo vitu hawezi kuwa analitaja Kila sentensi yake. Na huu ndo ukweli mchungu kwako.Laana zinawasumbua
📌🔨Hao Hawana Maeneo Sasa wazaliane afu wakaishi wapi mkuu?
Mentir. Systeme ya echange ima exist enzi kwa enz , watu wa ulaya waliechange mbuzi na grain, walivyokuja afriqa wameshangaa tunabadilishana kwa gold na cowrié shellsConcept ya pesa yenyewe ni mzungu ndio kaanzisha, hata "pesa ya Tanzania" ame print mzungu, na thamani yake inatokana na mifumo aliyoweka mzungu, achilia yote hayo hata Tanzania kama nchi imekuwa created na mzungu
Wewe una akili?Wewe ndio huna akili
Mbona mdogo wake ana watoto 6 ana miliki nyumba kadhaa jijini,ana magari kadhaa na kati ya hao watoto hakuna ambaye ana elimu chini ya degree bila kujali ni degree za nini na wakitimba nyumbani magari yanakuwa km ng'ombe wako zizini ilihali kaka yake hana mtoto wala unafuu wa maisha km alivyo mdogo wake?Alizaliwa kwenye chain ya umaskn ndo maana akafa maskni bila hata Mtoto. Japo no wachache Sana wanaokosa kupata watoto ambao ni wako nje ya uwezo wa binadamu
umepata wapi hesabu ya takwimu? tu ne sais pas compterSasa kama mlikuwa sawa na wao ikawaje ukaachwa nyuma miaka 599,
mujinga kweli ww umeona kwa fashion show? muzungu anavaa leather na kutembea utupu.Wao kuwa wachache ni balaa kwa Watu wasio na akili kama wewe maana utarudi kuvaa nyasi na ngozi
ChoiceVariable? hii imekaaje tu l'essayes twoi meme?Wewe una akili?
Jamaa amechukulia ngozi nyeusi ni ujingahivi unajua kuwa mwanadamu mwenye IQ kubwa kuliko wote duniani hivi karibuni alikuwa Mnigeria? wala sio mzungu? unajua wanigeria wanaogopwa dunia nzima kwa akili?hadi utapeli wazungu wamenyoosha mikono. hao utawaita wajinga?
Nakala: Waarabu wa Luguruni na Mchambawima Zanzibar- Waione kwenye jalada.Inasikitisha kwani wengi wanazaliana na kuwa waumini wa dini za maboti ambazo utaka wafuasi wake kuendelea kuwa wajinga tu na kuchezewa akili kila kukicha.
Mkuu ni kigezo gani ulichokitumia kuwaita watu weusi ni watu wasio na akili.
Katika reference zako umeiweka nigeria ukiicompare na german.
Hivi Katika maandiko matakatifu si ndio tumeambiwa tumeletwa duniani ili tuzaliane.
Hivi unahisi adam angekuwa na mentality kama yako wewe ungekuwepo leo hii.
Sawa umeudhihirishia umma kwamba jamij yako ni ya watu wasio na akili na ndio wanaooongoza kwa kuzaliana.
Hivi unafamu Mitume walitumwa kwenye ardhi za watu wakorofi na walioshindikana.
Hivyo hata kwenye jamii yako ya wasio na akili ipo siku watu wenye akili wakapatikanapo na wakafanya makubwa katika ulimwengu huu.
According to my view, ungesema jamii illiteracy rate kubwa ningekuelewa lakini kusema kuna watu wasio na akili.
Hapo akili yangu imegoma kukuelewa.
Hakuna mtu asiyekuwa na akili.
Ila tofauti ipo katika uwezo wa kujifunza na nyenzo wezeshi za kujifunzia.
Wenzetu unaowatukuza kwamba wana akili ni unawaona hivyo sababu ya nyenzo zao za kujifunzia ni wezeshi lakini pia mazingira.
Wekea posti moja nimesema shoga. kumayanyani yer mmako. imbecileWewe ndo laana zinakusumbua. Make hutaki kukubali ukweli. Unakimbilia kwenye issue ya ushoga tu. Inaonekana kabisa wewe ni shoga Tena uliyekubuhu. Si kawaida mtu ambaye sio mlevi Kila ukimuuliza kitu lazima ataje ulevi. Kwa mwanaumme ambaye hajui hivyo vitu hawezi kuwa analitaja Kila sentensi yake. Na huu ndo ukweli mchungu kwako.
Ndo akili zenyewe hizo wamezitumia kukuibia wewe usiye na akili, na bado wanaendelea kutumia hizohizo akili kukudhibiti wewe mjinga.White people si waliiba wee mimali kedekede Africa kwa colonialism systems wakipokezana Mataifa mbali mbali kama Italiy, Germany, UK na sasa USA kupitia neocolonialism system, au unajisahaulisha tu Chifu?
UN wana veto power policy, nchi yako isipokuwepo miongoni mwa zile nchi G 21 duniani tu basi katika mikutano ya Mataifa kiuchumi itabaki kuwa Ndugu mtazamaji na kukubaliana na lolote watalopitisha hata kama ni kuonea nchi zenye rasilimali kama DRC & TZ kwa masharti kandamizi.
Hutaki baki na rasilimali zako, tafuta sehemu za kuzichakata ziwe bidhaa nzuri toka kiwandani, mitaji mikubwa ya kuzindua na kukarabati mitambo ya manufacturing processes, soko la kuziuzia, usafirishaji, uhifadhi nnje ya nchi, ulipaji wa kodi za kimataifa na namna ya kukwepana na fitina zozote za Mabeberu maana tayari ushagusa masilahi yao...
Tambua Mabeberu "USA & EU" wengine hutalii tu mwaka hadi mwaka wakitumia rasilimali walizochuma zama za ukoloni na kuendelea kutafuta rasilimali zingine ili wazidi kuimarisha uchumi kimaendeleo watumie hata mileniam ijayo...
Sana sana wakikuonea huruma watakupatia onyo kwa muda ila ukikaza fuvu tu wanakupeleka mbele ya haki bila kupenda...[emoji28]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sawa semaji kuu la Mabeberu toka Kimbiji TZ [emoji847]Ndo akili zenyewe hizo wamezitumia kukuibia wewe usiye na akili, na bado wanaendelea kutumia hizohizo akili kukudhibiti wewe mjinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
JWewe mwenyewe na familia yako na ukoo wako hamna akili, kataaa au usikatae haiondoi hiyo fact
😂Wewe ndi kilaza umelaanika na mmako