Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Ilikuwa ni zaidi ya maombi ya kazi,mpaka ufanikiwe,utaandika vijibarua mpaka ukome!.😆Ya mtongozano imekuwa rahisi sana, ukipata namba ya simu tuu ,mambo ni moto👍
Zamani nasikia mtongozano ulikuwa vita ,, mwaka mzima au miezi sita .duuuuu
Hongera mdau kwa kupata wa kukupenda hivyo... Sisi wengine hiyo chance hatujawahi hata kuipata wa kupendwa hivyo..🤣🤣Nashukuru Mimi ni kizazi cha millennia sugu yaani ni millennia plus gen Z yaani ni wabishi tuliokubuhu😁, tumerithisha utamaduni kwa Gen Z wasiwe laini laini Kwenye mapenzi.Nashukuru demu wangu mmoja katika wengi alinifuata yeye mwenyewe kwa nauli yake(alikuwa anauza duka la baba yake akakomba mauzo hapo amemaliza kidato cha nne) kwa kuvuka mikoa zaidi ya 5 mpaka akafika geto tena hapo ametoroka kwao bila hata kuaga,nashukuru ndio mke wangu wa ndoa kwa sasa na tuna watoto wanne na anaheshima mpaka machawa wa Samia wakasome na hata mahari alinitolea nusu ili kufanikisha lengo.HIVI HUYU MTU NAMUACHAJE KWA MFANO YAANI NDOA NI ZAIDI YA HEAVEN🔥🔥
Ukiwa chawa unakuwa hopeless kabisa.Nilichojionea kwa nyakati hizi ni kwamba,mtu unampenda mwanamke,unamuomba appointment akija unampa facts zako na lengo lako,asipokuja,hata ule muda wa kumnyenyekea haupo tena na ndiyo imetoka mazima na kama kulikuwa na kanamba unakafuta kabisa na ku block kabisa...
Labda wale wenye rika la balahe kwao ndiyo unyenyekevu unakuwepo lakini kwa sisi matured gentlemen's yaani husumbuki kabisa tofauti sana na nyakati za zamani.
Bahati mbaya wale balehe wanakuwa ni fresh from school or collage hivyo wanakuwa hawama fedha,matokeo yake huambulia mashangingi yaliyokubuhu na kwa hili vijana wengi sana wamejikuta wakigongana na maradhi yetu haya hatari sana wakiwa na umri mdogo.
World is moving so fastly!View attachment 3702226Tulikuwa na ufundi wa hali ya juu sana wa kuziremba barua za mapenzi kwa bic tu.😆😆
Ukiwa chawa unakuwa hopeless kabisa.
Nawadeiz Mnalengeshewa tu sio!! Kazi kwenyu nakila la kheri