Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Hali imekuwa very tense Kenya. Raila amekuwa na wasiwasi mkubwa kutangaza maandamano,ameona matatizo mengi,ameona mambo mengi yanayoleta hofu,lakini vijana wake wameonekana wako tayari kumchezea simba masharubu. Kwa hiyo tunasubiri kuona jambo gani litatokea. Inaonyesha masses wana akili ya peke yao,wana utashi wa peke yao. Insonyesha Mao Tse Tung hakuleta Mapinduzi ya China ya 1948,yeye aliyaongoza tu.
Inaonyesha Lenin hakuleta Mapinduzi ya Urusi ya 1917. Mapunduzi yalisababishwa na hali duni ya watu.
Kazi ya watu wa vyombo vya usalama siyo kazi rahisi. Ni kazi ambayo watu wanatakiwa kuwa determined kudumisha amani. No kazi ambayo hawezi kuwa sanitized ili walinzi wa usalama wafanye kazi kistaarabu. Na,bila shaka leo Ruto atawaamuru walinzi hawa kufanya mambo ambayo ni unsavoury. Lakini sasa challenge itakuwa kubwa sana kwa walinzi kuuzuia umati wa watu,kama watu watakuwa wengi sana.