Tetesi: Dunia inasubiri Taarifa moja tu ya kutisha kutoka Russian federation

Anapolala Putin ni watu wachache sana wanapajua kwa sasa. Chakula chake pia kinaandaliwa mbali sana na ni dakika za mwisho waandaaji wanatajiwa Pa kukipeleka.
Dollar INA nguvu ya kununua.. lkn
 
Anapolala Putin ni watu wachache sana wanapajua kwa sasa. Chakula chake pia kinaandaliwa mbali sana na ni dakika za mwisho waandaaji wanatajiwa Pa kukipeleka.

Sasa ndio maisha gani hayo ? Rubbish !
 
We itakua unamsemea yule spider man wa mchongo sio mwamba wa miamba mjomba Putin
 
Acha propaganda na wewe. Ukraine huwa anapewa silaha za kujikinga tu, hajawi kupewa silaha za kushambulia kwa vile nchi za Magharibi zilikuwa haziamini kuwa Ukraine inaweza kushindana na Urusi. Bbaada ya kuona udhaifu wa Urusi ndiyo sasa wameanza kupeleka silaha za Mashambulizi ambazo zinategemewa kufika kesho, kwa hivyo mapambano halisi yataanza baada yapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…