Tetesi: Dunia inasubiri Taarifa moja tu ya kutisha kutoka Russian federation

Kahawa, tulieni Putin awape somo.
 
Unaizungumzia Russia kama unaizungumzia South Sudan!!!! Mnalishwa matango pori na media za magharibi, kwa macho ya kawaida unaona yanayoendelea Ukraine hayaendani na hizo propaganda za magharibi. Hali ni mbaya sana kwa Ukraine na washirika wake.
 
Tetesi ulete wewe alafu kazi ya ku prove tuifanye sisi!!!??? Kwanini usije na ushahidi wa kutosha kutoka kwenye vyanzo vyako?
 
Tunasubiri!!!
 
Mtoa mada bila shaka KAMEZA MACONSPIRACY THEORIES HALAFU ANAYALETA HAPA KAMA TOP SECRET

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nahao walofungia RT SPUT NIK nk
Wamefungia ili wawalishe matango pori namnayala kweli
 
Mtoa mada ananifurahishaga ila basi tu hajijui anavyoonekana kituko mbele ya wenye akili. Kama wewe wa magomeni kota umepata taarifa za siri unadhani Putin anasubiri taarifa kwako?

Usiishie kuijua Russia kupitia BBC ifuatilie Urusi kupitia vyanzo vya kueleweka. Narudia tena usiweweseke.
 
Huenda-uwenda 🤣🤣🤣 hata kuandika hujui
Anyway,unasema wamemkata makali,kivipi?
Wameharibu afya yake,kwa kumlisha,au kumnywesha nini?
Hivi Russia intelligence,FSB na KGB,wamelala wasijue hayo yote?
Kama huna cha kuandika kaa kimya🚮
 
Akili fupi sana hizo putin akifanyiwa hivyo ni vita vya dunia moja kwa moja ...labda afya yake iwe mbaya mwenyewe tu
 
Kwani Vita ka plan yeye au ana cabinet yake.tuachane na mambo ya Urusi hayatusaidii zaidi ya kutuongezea gharama tu.Tumshauri mama arudi nyumbani toka USA.
 
Nonsense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…