Dunia inawapendelea zaidi wenye pesa kama huna utahisi kuonewa mara zote, hii ni asili ya dunia

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
344
Reaction score
926
KUNA MUDA DUNIA INAWAPENDELEA WENYE PESA TU 😔

Huu ni ukweli mchungu kwa maskini ila ndio ukweli ama uukatae au uukubali bado utabaki tu kuwa ukweli .

Dunia sio salama sana kwa Maskini japo kuna mambo tunasema ni mpango wa Mungu ila waathirika wakubwa hata kwenye hayo mambo huwa ni Maskini.

Kuna muda Dunia haitoheshimu elimu yako ikiwa huna pesa bali itamuheshimu ambaye hajui kuandika wala kusoma ila ana pesa .

Kuna muda Dunia inahitaji uwe na pesa ili upewe huduma nzuri na hapa wasio kuwa nazo huwa wanatengwa.

Kuna Muda Dunia inahitaji uwe na pesa ili usikilizwe, hapa simaanishi utoe rushwa la hasha bali namaanisha kuwa watu wanamakanika zaid na i hotuba za wenye pesa hata kama zitakosa mashiko ila watasikilizwa kuliko hotuba za Maskini, Bado unashangaa hili?

Hata kwenye nyumba za ibada bado mwenye pesa atasikilizwa hata kwa ushuhuda usio na mashiko atapewa muda ila Maskini atasikilizwa kwa kusindikizwa na maneno ya kejeri na ataonekana mpoteza muda tu bure.

Maskini akiongea ataonekana anapoteza muda na kupiga kelele ila mwenye pesa ataonekana yupo anaelimisha , Huu sio ubaguzi bali ndio mahitaji ya Dunia.

Moja ya hitaji muhimu Duniani ni pesa na hapo Dunia itakuheshimu la sivyo ufanye mabadiliko makubwa sana ili uandikwe kwenye vitabu vya kuvunja historia lakini utafikaje huko bila kuwa na pesa hata kianzio? Pesa bado ni hitaji muhimu Duniani.

Waliosema mahusiano sio pesa kuna asilimia kubwa walikuwa ni Maskini katika harakati za kujifariji tu ila uhalisia kama huna pesa utatumia nguvu kubwa sana kuendesha hayo mahusiano na kwa kweli utapoteza mpaka heshima yako .

Mahusiano pia kuna muda yanahitaji pesa na sio umaskini ndio maana kila siku vilio vya Maskini kulalamika kuwa wameachwa kisa hawana pesa ni vingi sana.

Tutafute tu pesa la sivyo tutaona Dunia ina upendeleo

#Mwanasayansi Saul kalivubha
#fikia ndoto zako.
 
Maskini hana kiapo.
Umaskini ni laana

Nachukia sana umaskini nitakufa nikiwa na pambana kutokomeza umaskini.
Nishawahi kosa demu mkali kisa sina pesa,watu wanafia kwenye benchi hospital kisa no money no service.

"Poverty is like a punishment for a crime you didn't commit "
 
KUNA MUDA DUNIA INAWAPENDELEA WENYE PESA TU 😔

Huu ni ukweli mchungu kwa maskini ila ndio ukweli ama uukatae au uukubali bado utabaki tu kuwa ukweli .

Dunia sio salama sana kwa Maskini japo kuna mambo tunasema ni mpango wa Mungu ila waathirika wakubwa hata kwenye hayo mambo huwa ni Maskini.

Kuna muda Dunia haitoheshimu elimu yako ikiwa huna pesa bali itamuheshimu ambaye hajui kuandika wala kusoma ila ana pesa .

Kuna muda Dunia inahitaji uwe na pesa ili upewe huduma nzuri na hapa wasio kuwa nazo huwa wanatengwa.

Kuna Muda Dunia inahitaji uwe na pesa ili usikilizwe, hapa simaanishi utoe rushwa la hasha bali namaanisha kuwa watu wanamakanika zaid na i hotuba za wenye pesa hata kama zitakosa mashiko ila watasikilizwa kuliko hotuba za Maskini, Bado unashangaa hili?

Hata kwenye nyumba za ibada bado mwenye pesa atasikilizwa hata kwa ushuhuda usio na mashiko atapewa muda ila Maskini atasikilizwa kwa kusindikizwa na maneno ya kejeri na ataonekana mpoteza muda tu bure.

Maskini akiongea ataonekana anapoteza muda na kupiga kelele ila mwenye pesa ataonekana yupo anaelimisha , Huu sio ubaguzi bali ndio mahitaji ya Dunia.

Moja ya hitaji muhimu Duniani ni pesa na hapo Dunia itakuheshimu la sivyo ufanye mabadiliko makubwa sana ili uandikwe kwenye vitabu vya kuvunja historia lakini utafikaje huko bila kuwa na pesa hata kianzio? Pesa bado ni hitaji muhimu Duniani.

Waliosema mahusiano sio pesa kuna asilimia kubwa walikuwa ni Maskini katika harakati za kujifariji tu ila uhalisia kama huna pesa utatumia nguvu kubwa sana kuendesha hayo mahusiano na kwa kweli utapoteza mpaka heshima yako .

Mahusiano pia kuna muda yanahitaji pesa na sio umaskini ndio maana kila siku vilio vya Maskini kulalamika kuwa wameachwa kisa hawana pesa ni vingi sana.

Tutafute tu pesa la sivyo tutaona Dunia ina upendeleo

#Mwanasayansi Saul kalivubha
#fikia ndoto zako.
Umeandika uzi ukiwa unaenda kwenye mishemishe.

Pesa hufata pesa kama huna pesa basi utaitafuta pesa.
 
Hela ni legal pass card ya ku access vitu na huduma

Sasa huna password,uta access vipi huduma,watu na vitu?

Utakua locked out of the system,hutaweza access chochote maana kila kitu dunia sasa hivi vimekua commodified sio bure tena hadi "upendo"
 
Sio kweli, pesa si lolote.

Halafu kuwa na hela nyingi ni kama ushamba fulani tu, yaani ulimbukeni.
 
Back
Top Bottom